MAMBO AMBAYO NIMEJIFUNZA KATIKA NDOA YANGU

*Leo naomba kushare nanyi mambo ambayo nimejifunza katika ndoa yangu huenda yakawasaidia katika kuziimarisha ndoa zenu nanyi ikhwaaty.*

Nimejifunza kua hakuna ndoa kamilifu,kila ndoa ina raha yake na changamoto zake.....

Nimejifunza kua huwezi kupata Mume ama Mke mwenye sifa zote unazozitaka, sababu kila binadamu ana mapungufu yake almuhimu ni uvumilivu na kusameheana.

Elewa kuwa hakuna mwanamme anaependa kutawaliwa hivo ni lazima umfanye yeye ndio Kichwa cha nyumba, kila mwanamme anapenda mwanamke msikivu na mwenye kumtii.

Ndoa inaimarika zaidi mnapomaliza mizozo yenu nyinyi wawili kuliko kupeleka kesi kwa wazazi labda kuwe na tatizo kubwa litalowatatiza.

Ndoa inaimarika zaidi iwapo kama utaficha mapungufu ya mumeo kwa ndugu na jamaa.

Mumeo  anapokuudhi ukimueka Kitini na kumueleza kwa utaratibu anakuelewa zaidi kuliko kufoka.

Unapojiweka karibu na wazazi Wa mumeo ndoa yako inaimarika kwa asilimia mia moja.

Usione tabu kumuonesha mumeo jinsi unavompenda na kumjali na siku zote jishushe chini mbele yake usijikwaze .

Kila mwanamme anapenda muonekano mzuri Wa mkewe,usafi na heshima.

Na utafanikiwa asilimia zote iwapo utamkabidhi Allah shida zako kumuomba na kumlilia utapoona furaha ya ndoa yako inayumba.

*Ukiyapenda yachukue.*

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : MAMBO AMBAYO NIMEJIFUNZA KATIKA NDOA YANGU
MAMBO AMBAYO NIMEJIFUNZA KATIKA NDOA YANGU
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/01/mambo-ambayo-nimejifunza-katika-ndoa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/mambo-ambayo-nimejifunza-katika-ndoa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy