MADHARA YA KUPIGA GITA/PUCHU/ PUNYETO | BongoLife

$hide=mobile

MADHARA YA KUPIGA GITA/PUCHU/ PUNYETO

*MADHARA YA KUPIGA GITA/PUCHU/ PUNYETO*

Tunahitaji mahusiano ili tuongezeke na hili haliwezi kufanikiwa bila kushiriki tendo la ndoa kati ya watu wa jinsia mbili tofauti.
*Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubaleghe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.*
Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.
*Kutokana na maisha na tamaduni zetu za Afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua/kupiga gita/kupiga puchu. Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii.*
Kupiga punyeto au kujichua hujulikana pia kwa Kiingereza kama “Masturbation”, ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.
Tuangalie sasa madhara yake kwa Uchache...
Haya madhara yafuatayo ndiyo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:


*Madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume*


1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.
2. *Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili*
3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)
4. *Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara*
5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana
6. *Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia*
7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua
8. *Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.*
9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho
10. *Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.*
11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.
12. *Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.*
13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida
14. *Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu kama vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi*
15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.
16. *Kujichua siyo soluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua*
17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huhitaji kwa ajili ya chochote
18. *Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.*
19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi kama utaendelea kujichua
20. *Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.*
21. Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa na kimataifa.


*MADHARA KWA WANAWAKE*


Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua au kufanya punyeto;
1. *Inaharibu kizazi na kukusababishia matatizo ya hormone kutobalance*
2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara
3. *Unakuwa unakosa hamu ya tendo LA ndoa pamoja na ladha ya tendo inapotea mazima*
4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu... Pia husababisha Fangasi ukeni na ktk kizazi.
5. *Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto*
6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo hivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.
7. *Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe mwanamke.*
8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hivyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.
9. *Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara*
10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
11. *Punyeto na Uangaliaji wa picha pamoja na video za ngono ndivyo vichocheo vikubwa vya tabia na vitendo vibaya na viovu vya kaumu lutti/kufanya mapenzi kinyume na maumbile*.
12. Punyeto inakusababishia miguu kuuma kila Mara.. Na hasa ukitembea kwa haraka au ukitembea mwendo wa urefu kiasi miguu itakuuma maeneo ya magoti mpaka kwenye nyayo... Na pia inapelekea nyonga kukusumbua mnooo.
13. *Pia punyeto inaathiri mfupa wa makalio na kumfanya muhusika ashindwe kukaa kitako kimoja kwa muda mrefu.... Kwa sababu mfupa wa makalio unakua umelika/umemeng'enywa na kuathiriwa vibaya mnooo... Na Upigaji wa punyeto/gita/Puchu*
Mtahadharishe muhusika juu ya madhara yake. Wabloku watu wa namna hiyo kwa sababu hawakutakii mema na wanakupeleka jehannamu! Waonye vijana na wapendwa wanaoelekea katika hatari hii bila kujua. Jihusishe katika mambo mema yanayojenga akili na kuleta tija katika maisha yako ya hapa duniani na kesho aakherah.
*“Wala msijitie kwa mikono yenu katika maangamizo.” [Al-Baqarah: 125]*


NAMNA YA KUACHA KUPIGA PUNYETO/KUPIGA GITA/KUPIGA PUCHU ZA AINA ZOTE (MASTURBATION)


*Fanya mazoezi...*
*Kunywa maji mengi na yakutosha.*
*Kama unapenda kuangalia film za ngono na picha za ngono acha.*
*Usipende kukaa chooni muda mrefu pamoja na bafuni.*
*Pia usikae mpweke kwa muda mrefu.*
*Pendelea kukaa na watu ili kuujenga ubongo upya mtazamo wake.*
*Usioge uchi... Oga ukiwa umevaa kufuri au tayt.*
*Usilale uchi lala ukiwa umevaa nguo nyepesi kama suruali na flana/dela nk.*
*Usiangalie TV vipindi ambavyo vinaamsha hisia.*
*Usiangalie miziki kwani nayo inashawishi.*
*Usiongee na simu mambo ya mapenzi... Au SMS kwani navyo ni vishawishi.*
*Chukia kabisa hiyo hali ya upigaji puchu.*
*Lala mapema na amka mapema.*
*Tafuta mafuta ya mzaituni na mafuta ya miski nyeupe uchanganye... Pamoja kisha uwe unajipaka muda wa kulala kichwani na mwilini.*
*Kwa kufanya hivi utafanikiwa.*
*Pia muombe sana mwenyezi mungu ili uweze kufaulu huo mtihan.*
(NA KWA WALE WALIO PATA MADHARA/ATHARI ZITOKANAZO NA KUANGALIA PICHA NA VIDEO ZA NGONO PAMOJA NA KUPIGA PUNYETO... HAWANA BUDI....KUWASILIANA NASI....

Pia Dawa zinapatikana Ofisini Magomeni Mwembe Chai Mtaa wa Zinga Barabara ya Sinza/Tandale Uzuri..
*Dr. Bihizi*
+255715524946
....ILI KUPATA TIBA HARAKA MNOOO)

Kwa ushauri zaidi kuhusu afya ya uzazi fika Ofisini magomeni mwembe chai mtaa wa zinga
*NB*
*Usikubari mpaka Ukaaibika na kufedheheka... Tuone tutakutatulia tatizo lako*
*kwa matibabu ya matatizo ya Uzazi aina zote kwa wanawake na wanaume na nguvu za kike na za kiume pia na maradhi mengine mbali mbali.....*
*Je? umeathirika na umepata madhara yaliyotokana na punyeto? Na unahitaji kuondokana na hiyo hali ? Habari njema ni kuwa hilo ni jambo linalotibika na utarudi kwenye hali yako ya kawaida, na kurudisha nguvu zako zipo dawa maalumu za asili kwa ajili hiyo kuna KABONGO POWER... SUPER MUNAWWARA... BOOSTER GWANYA... Dawa hizi ni mujarabu kwa kuondoa madhara yote yaliyo sababishwa na upigaji punyeto/masturbation/puchu/kupiga Gita*
Kama umeathirika mpaka maumbile yamesinyaa na kurudi ndani Tumia Dawa ziitwazo *BWIDA MIX NA PUCHU POWER* Zinazosaidia
_kurefusha uume ulosinyaa na kurudi ndani
_misuri ilolegea kutokana na tatizo hilo.
Mwisho wa siku ni Aibu na Fedheha...
*Usikubari mpaka Ukaaibika na kufedheheka... Tuone tutakutatulia tatizo lako*
*kwa matibabu ya matatizo ya nguvu za kiume Dawa hizi zinapatikana Magomeni Makanya mtaa wa Zinga 7... Barabara ya Sinza/Tandale Uzuri.... Kituo kinaitwa Nursery*
*Mawasiliano.*
*Dr Bihizi*
+255715524946
+255787524946
+255767524946
*Insta*
Mchara gwanya
*Fb*
Sungu bwida
Lwanga mbimbi
Nyagata kadyege
*E-MAIL*
mcharagwanya@gmail.com

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MADHARA YA KUPIGA GITA/PUCHU/ PUNYETO
MADHARA YA KUPIGA GITA/PUCHU/ PUNYETO
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/madhara-ya-kupiga-gitapuchu-punyeto.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/madhara-ya-kupiga-gitapuchu-punyeto.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy