JINSI YA KUPIKA BIRIANI YA KUKU WA KUCHOMA NA TANDURI

*SOMO LA JINSI YA KUPIKA BIRIANI YA KUKU WA KUCHOMA NA TANDURI*

*MAHITAJI*

1- Mchele - 4 vikombe
2- Kuku - 1
3- Vitunguu - 3
4- Nyanya/tungule - 4
5- Zabibu kavu - ½ kikombe
6- Tangawizi na kitunguu (thomu/galic) - 2 vijiko cha supu
7- Pilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supu
8- Mtindi (yoghurt) - 2 kijiko cha supu
9- Masala ya tanduri - 2 vijiko vya supu
10- Pilipili manga - 1 kijiko cha chai
11- Hiliki - ½ kijiko cha chai
12- Mdalasini - kijiti kimoja
13- Ndimu - 3 vijiko vya supu
14- Chumvi - kiasi
15- Zaafarani (saffron) - 1 kijiko cha chai
16- Mafuta - ½ kikombe

*JINSI YA KUMUANDAA KUKU*

1- Baada ya kumsafisha kuku, mkate vipande vikubwa vikubwa kiasi upendavyo, muoshe mchuje atoke maji.

2- Katika bakuli, tia tangawizi, kitunguu thomu ilosagawa, pilipili mbichi ilosagwa, chumvi, ndimu, mtindi, masala ya tanduri na uchanganye vizuri, kisha mtie kuku na uchanganye tena na acha arowanike kwa muda wa kiasi saa au zaidi.

3- Panga kuku katika sinia ya kuchoma ndani ya oveni. Kisha mchome (grill) hadi awive, mtoe acha kando.

4- Mwagia juu yake masala yatakayobakia katika sinia baada ya kumchoma.

*JINSI YA KUTAYARISHA MASALA YA NYANYA*

1- Weka mafuta katika karai, tia vitunguu ulivyokatakata, kaanga hadi vianze kugeuka rangi.

2- Tia nyanya ulizokatakata, tia pilipili manga, hiliki, mdalasini, chumvi, na zabibu. Kaanga kidogo tu yakiwa tayari.

*NAMNA YA KUTAYARISHA WALI*

1- Osha na roweka mchele wa basmati.

2- Roweka zaafarani kwa maji ya moto kiasi robo kikombe weka kando.

3- Chemsha maji, tia chumvi, kisha tia mchele uive nusu kiini.

4- Mwaga maji uchuje mchele kisha rudisha katika sufuria au sinia ya foil.

5- Nyunyizia zaafarini, na rudisha katika moto upike hadi uive kamili

6-.Epua, kisha pakua wali katika sahani au chombo upendacho, mwagia juu yake masala ya nyanya.

7- Kisha weka vipande vya kuku ulivyochoma, biriani ikiwa tayari.

*Anza na Ulichonacho Anza Sasa*

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : JINSI YA KUPIKA BIRIANI YA KUKU WA KUCHOMA NA TANDURI
JINSI YA KUPIKA BIRIANI YA KUKU WA KUCHOMA NA TANDURI
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/01/jinsi-ya-kupika-biriani-ya-kuku-wa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/jinsi-ya-kupika-biriani-ya-kuku-wa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy