FURSA WADAU HASA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Kuna kitu nimewaza leo badala ya kulia kila siku mtaji mdogo. maeneo ya charambe hapa kuna eneo linauzwa na bank pamoja na mtu binafsi kama heka mbili na point kama milioni 35 japo lipo kwenye muinuko na bonde ila linafaa sana kufuga samaki kwa bondeni kuku bata mbuzi na ngombe. pamoja na kilimo cha migomba cha kisasa kwa ajili ya mifugo kama ngombe na mbuz.  na upande wote wa mbele frem. tuseme. tuseme mpo 15 mpaka 50 mchange hata milion 2 tu kila mmoja. Na si lazima linunuliwe hilo la gali tunaweza kuingia ndani tupate la Milioni 1 mpaka 5 . hatujafanya kitu?  Mjue kila kitu mwanzo mgumu.

 FURSA NYINGINE  Afu nahitaji kwa wale wanaotaka kulima pasion alafu hana miche ila ana shamba na anaweza kumudu kuyawekea miti na kuyatunza tuingie makubaliano. Ila awe na uwezo wa  shamba la kuingia miche mia tano (500/=) nakuendelea. Miche nitatoa mimi kwa makubaliano.  Utaalamu na upandaji nitafanya mm kwa utaalamu. Au kama kuna kikundi kina shamba na wako na utayari wa kulima hili zao. Ni miezi saba mpaka tisa tu yanakuwa tayari na yana kipato kizuri sana. Hata mkoani naruhusu maana ni uaminifu wa mtu tu. Ila ikiwa DAR AU PWANI itakuwa vizuri sana.  Huu ni ujumbe wangu kwa wanaharakari wote wanaoamini kwenye kilimo na ufugaji pamoja na ushirika.

BY HIGH VISION

Chapisha Maoni

0 Maoni