FAIDA ZA KULA VYAKULA AMBAVYO HAVINA WANGAA | BongoLife

$hide=mobile

FAIDA ZA KULA VYAKULA AMBAVYO HAVINA WANGAA


Tafiti nyingi zimegundua kuwa magonjwa mengi yana uhusiano mkubwa na matumizi ya vyakula vya wanga ( carbohydrates ). Ambapo katika maisha ya binadamu wa sasa karibia milo yake yote umejaa vyakula vya wanga na ndio maana jamii ya sasa inakabiliwa na maradhi mengi ya kiafya yanayoletwa na ulaji wa vyakula vya wanga.

Tafiti zilizo fanyika na madaktari wanaopambana na janga la cancer wamebaini kua ulaji wa vyakula vyenye wanga kwa wingi vina sababisha cancer cells kuendelea kukua kwa kasi na sababu ni kwamba cancer cells zinategemea glucose ili ziweze kuzaliana na glucuse hiyo hupatikana kwenye vyakula vya wanga.
Hapo utauliza je cell za binadamu zitafanyaje kazi zikikosa glucose kutokana na kutotumia vyakula venye wanga?
ukweli ni kwamba cell za binadamu zinauwezo wa kuendelea kufanya kazi yake bila kuwepo kwa glucose. Hili linawezekana pale ambapo cell za binadamu zinajiendesha kwa kutumia protein iliopo mwilini. Protein inaweza kutumiwa na cell za binadamu kama source ya energy kama ilivyo glucose. Sema tofauti yake ni kuwa cell hutumia glucose nyingi kupata energy ukilinganisha na kama ingetumia protein. Ni kama gari la petrol na diesel, gari la petrol linachanganya haraka but linatumia petrol nyingi but gari la diesel lina chukua mda kuchanganya but mafuta yanatumika kidogo na halichemshi mapema kama la petrol. Sasa hapo kwenye mwili wa binadamu glucose ndio petrol na protein ndio diesel.

punguza matumizi ya vyakula vya wanga au achakabisa kuvitumia ndipo utajua kwanini zamani watu hawakuwa na soda wala mikate walishindia matunda na nyama wakaishi miaka 100+ lakini watu sasa 50 years umeshazeeka.
Chukua hatua kabla ujaja jutia.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : FAIDA ZA KULA VYAKULA AMBAVYO HAVINA WANGAA
FAIDA ZA KULA VYAKULA AMBAVYO HAVINA WANGAA
https://3.bp.blogspot.com/-zfMMArBOJ6Q/XEC8q6RThAI/AAAAAAAAB0E/78TkxbMPxRcGMxLtgzpT2vnK_rRNTl9uACLcBGAs/s640/imagesPIZRXL1R.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-zfMMArBOJ6Q/XEC8q6RThAI/AAAAAAAAB0E/78TkxbMPxRcGMxLtgzpT2vnK_rRNTl9uACLcBGAs/s72-c/imagesPIZRXL1R.jpg
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/faida-za-kula-vyakula-ambavyo-havina.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/faida-za-kula-vyakula-ambavyo-havina.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy