FAHAMU MADHARA YA MABAKI YA CHAKULA TUMBONI NA NAMNA YA KUYAONDOA | BongoLife

$hide=mobile

FAHAMU MADHARA YA MABAKI YA CHAKULA TUMBONI NA NAMNA YA KUYAONDOA

FAHAMU MADHARA YA MABAKI YA CHAKULA TUMBONI NA NAMNA YA KUYAONDOA !!

Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?!

Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu ndani ya nyumba yako halafu unauweka kwenye ndoo, kila mara ikijaa unauacha uchafu huo ndani halafu unaweka kwenye ndoo nyingine lakini hautoi nje. Ebu fikiria usipoutoa uchafu huo kwa wiki, mwezi hata mwaka unahisi kitatokea nini na je utaendelea kuishi kwenye hiyo nyumba...THUBUTU.?!

Ninachoongelea hapa ni matokeo ya chakula kinachobaki tumboni mwako kwa sababu hakijasagwa vizuri au kimeshindwa kutoka wakati unaotakiwa.

UNAJUA MADHARA YAKE NI YAPI UKIENDELEA NA HALI HIYO?

Madhara yake hufanya mabaki hayo kugeuzwa kuwa sumu ambayo miili yetu hunyonya na hatimaye huathiri mifumo yetu.

1. Kutopata choo.
2. U.T.I.
3. FANGASI.
4. Kuota nyama kwenye sehemu ya haja kubwa.
5. Matatizo kwenye kibofu cha mkojo.
6. Ngozi.
7. Kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi.
8. Kushindwa kumpa mimba mwanamke na kuwa na uzito uliopitiliza.
9. Matatizo kwenye hedhi.
10.Saratani.
11. Matatizo ya homoni.
12. Uzito uliopitiliza.

Hichi ni chanzo kikubwa sana kwa wanaume wengi kusaidiwa tendo la ndoa na vijana wa nje...Ni mwanaume gani angependa mke wake asaidiwe kazi na vijana wa nje ?

Hichi ni chanzo kikubwa sana cha msongo wa mawazo, hakuna amani kwenye mahusiano, kutokujiamini na mwishowe hupelekea wanaume kuwa na michepuko...Ni mwanamke yupi anapenda kuona mme wake ana mchepuko?

Kuelewa upana wa hii hali itabidi ujue maeneo makuu ambayo huathirika sana sumu zikizidi mwilini.

- UTUMBO MPANA.


Hupata madhara baada ya uchafu kukaa kwa muda mrefu bila sisi kujua.

- INI.


Baada ya utumbo mpana kushindwa kazi yake ini huanza kudhurika kwanza.

Je unamfahamu mtu yoyote ambae anasumbuliwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara?! Hii hutokea kama kiashiria kuwa ubongo unalia hautaki sumu kwenye damu sababu ini limeshindwa kufanya kazi...pia mwili unakuwa hauna nguvu umechoka muda wote, matatizo ya kumbu kumbu, cholesterol, hauna hamu ya kufanya mapenzi na matatizo ya mifupa.

- FIGO.


Ini ikishindwa kufanya kazi inamaana figo itaingilia kupiga kazi. Sasa figo ikizidiwa husababisha maumivu ya mgongo, shinikizo la damu n.k

- MAPAFU.


Husaidia kuzuia sumu baada ya figo kushindwa kazi. Mapafu yakizidiwa husababisha mtu kuwa na harufu mbaya mwili, matatizo kwenye mfumo wa kupumua na aleji mwilini.

- NGOZI.


Sehemu kubwa ya utoaji uchafu mwilini iko kwenye ngozi, kama hivyo viungo vyote vitashindwa kazi basi sumu huamia kwenye ngozi, utakuta mtu ana matatizo ya ngozi, anaonekana mzee kuliko umri wake.

Sasa kama unaoga kila siku kwa nje uwe msafi na mwenye muonekano bora kwa nini hautunzi ndani ya mwili wako pia pawe pasafi ?!

Hayo yote yanasababisha miili yetu kuanza kuzeeka kwa ndani na sio nje kama wengi wajuavyo.

NIAMBIE CHANGAMOTO YAKO KUBWA NI IPI NA TUTAISHUGHULIKIA SASA. 

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : FAHAMU MADHARA YA MABAKI YA CHAKULA TUMBONI NA NAMNA YA KUYAONDOA
FAHAMU MADHARA YA MABAKI YA CHAKULA TUMBONI NA NAMNA YA KUYAONDOA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/fahamu-madhara-ya-mabaki-ya-chakula.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/fahamu-madhara-ya-mabaki-ya-chakula.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy