DONDOO 20 ZA KUIFANYA NDOA YENU KUWA MARIDHAWA


*DONDOO 20 ZA KUIFANYA NDOA YENU KUWA MARIDHAWA*

*1. Kuaminiana, kusaidiana, na kuwa na mtazamo chanya.*
_2. Mfurahishe mwenza wako na umfanye ahisi kuwa ni mtu maalumu muda wote._
*3. Kuwa mcheshi, msaidizi, mwingi wa heshima na mburudishaji kwa mwenza wako.*
_4. Kamwe usifukue makaburi ya makosa ya zamani._
*5. Mshajiishe, mhamasishe na umpe matumaini mwenza wako.*
_6. Usimlinganishe mwenza wako na wengine hata kwa kitu kidogo._
*7. Mfanyie ‘surprise’ mwenza wako kwa kitu kipya.*
_8. Pendeni kukaa pamoja muda mwingi kwa kadiri iwezekanavyo._
*9. Jiandae kwa ajili ya mwenza wako kama upendavyo yeye ajiandae na kuonekana maridadi kwa ajili yako.*
_10. Msikilize mwenza wako kwa umakini na usimkatishe katika mazungumzo......._
*11. Epukeni kugombana, kupuuzana, kuongopeana, kutiliana shaka, kukasirikiana na utovu wa adabu.*
_12. Kuwa muwazi na jasiri wa kujadili matatizo na wasiwasi wako kwa mwenza wako._
*13. Iwapo mwenzako amekasirika, basi wewe tulia na ukae kimya mpaka apoe.*
_14. Epuka majibizano na mabishano. Sema ‘kumradhi’ hata kama kosa ni lako au la._
*15. Daima iombeeni ndoa yenu ili iwe maridhawa na uhusiano wenu uwe imara.*
_16. Daima mshukuru mwenza wako._
*17. Kila siku mwambie mwenza wako ‘Nakupenda’. Hakikisha neno hilo halikauki katika maisha yenu.*
_18. Kuwa muelewa kwa mwenza wako._
*19. Unapoongea na mwenza wako hakikisha macho yako yanawasilisha ujumbe maalumu.*
_20. Tengenezeni utaratibu wa kula pamoja, kuwa pamoja na kusali pamoja kila siku._

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : DONDOO 20 ZA KUIFANYA NDOA YENU KUWA MARIDHAWA
DONDOO 20 ZA KUIFANYA NDOA YENU KUWA MARIDHAWA
https://3.bp.blogspot.com/-laIRcbVguRQ/XC_BAgXxbkI/AAAAAAAABxg/ID6Ib7gqK4YBRoLV6OHk12J8Na-QgxLKQCLcBGAs/s640/IMG-20181226-WA0004.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-laIRcbVguRQ/XC_BAgXxbkI/AAAAAAAABxg/ID6Ib7gqK4YBRoLV6OHk12J8Na-QgxLKQCLcBGAs/s72-c/IMG-20181226-WA0004.jpg
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/01/dondoo-20-za-kuifanya-ndoa-yenu-kuwa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/dondoo-20-za-kuifanya-ndoa-yenu-kuwa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy