CHOMBEZO MUHINDI MTAMU SEHEMU YA 01 | BongoLife

$hide=mobile

CHOMBEZO MUHINDI MTAMU SEHEMU YA 01

'CHOMBEZO YA MAPENZI'

      'INAITWA'

 --MUHINDI MTAMU?.--

MTUNZI;Isaack kanyankole
NO;0625915000
KUTOKA;DSM TZ
EPISODE;01

      UTANGULIZI

Hii ni chombezo hivyo anayepaswa kuisoma umri ni kuanzia +18, maana hii chombezo itakuacha hoi na pia ukipata mambo ya kujifunza kupitia chombezo hii kali.. Iliyosukwa vema, weka mbali na watoto..


   ...SONGA NAYO...

Katika nyumba moja kulikuwa na mgogoro kati ya mume na mke, mwanamke akiwa anaonekana wazi kuchukizwa na kitendo cha mume wake.

    'Mume wangu huyu mtoto tutamfanyia usafi lini mbona unakuwa kiganganizi jamani au unataka awe anachekelewa na wanafunzi wenzake akishaanza shule ona Arnod,Mukhisin,Idd wote hao watoto walifanyiwa usafi jana ila wewe uligoma huku ukidai mpaka tumpeleke kwa babu yako sasa utampeleka lini'. Mwanamke huyo aliongea huku akiwa anaamka na kukaa kwenye kitanda.

'Mke wangu najua ni usafi ila mimi sitaki mtoto wangu atailiwe hospitalini mimi nataka babu yangu amtahili maana najua fika atakuwa safu haswaa'. Mwanaume huyo aliongea huku akiwa anamgusa mke wake. Lakini mke wake alitoa mke wake alitoa mkono wake kwa hasira.

'Na pia leo sikupi unyumba'. Mke aliongea huku akiwa anajigeuza na kulala akiwa amemgeuzia mgogo mume wake.

'Sawa kama umeamua hivyo ila kesho nampeleka mtoto wangu kijijini ili aweze kufanyiwa usafi'.

'Sawa ila uje amepona maana wewe unakuwa king'ang'anizi bado una mila za kizamani'.

'Sio mila za kizamani mbona tukiwa kwenye mchezo unalia mpaka machozi yanakutoka huku ukidai uwezi kugawa penzi langu kwa mwingine maana nakukuna kisawasawa'.

'Ahaaaaa sawa bwana nimekuelewa kwahiyo ndo babu yako aliyekufanyiwa usafi eti ehee maana mpini wako ni muhindi mtamu na umekomaa vilivyo duh'. Mwanamke huyo aliongea huku akiwa anamgeukia mume wake na kumkubatia.

   Hasubui na mapema mwanaume huyo aliamka mapema na kumuasha mtoto, mke wake nae aliamka mapema na kumtengea mumewe maji ya kuoga, mwanaume huyo alioga baada ya kumaliza kuoga alijiandaa vema. Na mkewe alimvalisha nguo mtoto wake.
  Mwanaume huyo alienda mezani na kunywa chai huku akiwa na mtoto wake.

'Nawatakia safari njema ila kumbuka huyo ni mtoto msinyofoe bwana'. Mwanamke huyo aliongea kimasihara huku akiwa anamuaga mumewe.

'Sawa bwana... Siku tatu atakuwa ameishapona usiwe na shaka kwahilo'. Mwanaume huyo aliongea huku akiwa anaelekea barabarani aliweza kupata gari iliyokuwa inaenda kijijini kwao. Ndani ya takribani kama dakika kama thelathini alikuwa anaelekea kwenye nyumba ya udongo. 'Dah babu yangi kweli ana mambo ya kale wajukuu wake tunataka kumjengea nyumba ya tofali anapinga huku akidai ni mambo ya kisasa yaani mmmmh uzee bwana'. Mwanaume huyo alijiongelea huku akiwa anaingia ndani.

'Shikamoo babu'.

'Marhahaba mjukuu wangu karibu sana, vipi umekuja kwa suala lile ambalo ulinambia ehe'. Babu huyo aliongea huku akiwa anatokwa na udenda.

'Ndio babu nimekuja kwa suala hilo na vipi kuhusu bibi'.

'Dah bibi ako katoka kaenda shamba'.

'Oho sawa'.

'Basi mlete mtoto huyo ukiwa umemvua nguo zake'. Babu huyo aliongea huku akiwa ananyanyuka na kuelekea kwenye chumba kingine. Na mwanaume huyo kweli alifanya aliyokuwa ameambiwa alimvua nguo mtoto huyo na kuingia kwenye chumba alichokuwa ameingia babu huyo.

'Mlaze hapo chini nilipoweka kitambaa'.

'Sawa'. Mwanaume huyo aliongea huku akiwa anamlaza kwenye kitambaa hicho. Na babu huyo alikuja na mwanzi uliokuwa umekaa kama kisu huku akiwa anauwekea dawa fulani.

'Mshike kwa nguvu maana hii dawa inaingia kwenye misuli'. Babu huyo aliongea huku akiwa anamsogelea mtoto huyo. Na kweli kitendo cha kumkata kwa kutumia mwanzi huo mtoto alipiga kelele huku akiwa anajirusharusha!!!??..


     ..BAADA YA MIAKA KUMI NA NANE..

  Nikiwa nimeitimu kidato cha sita, nikiwa nyumbani nikiwasaidia wazazi wangu kazi za nyumbani za hapa na pale huku nikiwa najishughulisha vibarua vya hapa na pale. Jina langu liliweza kupitishwa kwenda kwenye kambi ya jeshi.

'Mama, baba jina langu limepitishwa kwenda kwenye kambi ya jeshi'. Niliongea huku nikiwa nina furaha ya uwoga wa kwenda jeshini maana sikuwa napenda kabisa mambo ya kiaskari.

'Mwanangu najua upendi kazi hiyo ila unatuona kazi ambazo tunafanya tumekusomesha kwa shida sana fanya kwenda moja kwa moja ili uweze kutusaidia katika maisha yetu'. Mama aliongea huku akiwa amenyongonyea.

'Mama mimi naogopa mimi naenda ila ninatoka mimi nataka kusoma'.

'David wewe ni mwanaume harafu unaonesha uwoga mbele ya mwanamke wewe bora ungezaliwa mtoto wa kike na hata wa kike wanakuzidi mbona wapo maaskari wa kike'. Baba aliongea huku akiwa amenikazia macho. Ilinibidi nimkwepeshe maana alionekana kuchukizwa na kitendo hicho.

'Sawa nimekubari nitaenda moja kwa moja'. Niliongea huku nikiwa nawakumbatia wazazi wangu wote.

'Asante mwanangu'. Mama aliongea huku akionekana kufuraishwa na hicho kitendo cha kukubari.

'Usiogope mwanangu tutakuombea mimi na mamaako usiwe na shaka na lolote'.

'Sawa baba'.


   Na kweli tuliweza kununua vitu vilivyokuwa vikiitajika, siku ya siku ya safari iliwadia niliwaaga wazazi wangu na kwenda moja kwa moja mpaka mkoani maana ndo gari la jeshi lilipokuwa. Kitendo cha kufika niliweza kuwakuta  vijana wengi sana wakiwa wamekaa kwenye varanda.

'Kila kijana ajipange msitari mara moja'. Ilikuwa ni sauti ya kamanda mmoja akiwa anatuamrisha akiwa anatembea. Kila mtu alisimama kwa haraka na kupanga msitari.. 'Ok vizuri anza kuhesabu namba'. 
  Tulihesabu namba na baada ya kumaliza kuhesabu namba tulipanda kwenye gari hilo huku kila mmoja akiambiwa kupakata begi alilokuwa amekuja nalo. Dah mateso yalianzia hapo, kila mmoja aliyekuwa kwenye gari alianza kuogopa.

'Yaani nyie vijana mtanyooka tu na pia mtajuta sana... Maana nasikia vijana wengine mnataka kupitia huku moja kwa moja na kuwa maaskari ni lazima mtakipata cha moto yaani hao bora waache maana awatakufa ila watavunjika viungo'. Askari mmoja aliongea huku akiwa anazunguka kwenye gari hilo.

'Mungu wangu!, hapa lazima nitatoroka sio kwa hii kazi'. Niliwaza huku nikiwa natetemeka sana.

'Najua kuna wengine wanawaza kutoroka ila sio kazi nyepesi kutoroka risasi'. Askari huyo aliongea akiwa anakaa karibu yangu huku akiwa ananitazama usoni. 'Dogo acha kuogopa mbona kwenye kula uogopi ni kawaida tu kuvunjika viungo'. Safari hii askari huyo aliongea huku akiwa ananigusa bega hapo ndo nilihisi kupigwa na shoti ya mwili mzima. Hivyo nilibaki nimemkodolea macho tu,.

'Aya jamani tumefika kila mtu ashuke huku akijirusha kwenye tope hilo huku akiwa amebeba mzigo wake'. Askari aliyekuwa kwa nje aliongea. Hivyo kipa mtu alishuka huku akiwa anajirusha kwenye tope wale waliokuwa na machozi ya karibu walianza kulia. Huku wakiwa wamebeba mzigo tulienda tunaruka kichura mpaka kwenye mto.

'Aya sasa kila mmoja aingie kwenye maji na kuoga'. Askari aliyekuwa nyuma yetu aliongea huku akiwa anazunguka huku na kule. Hivyo kila mtu aliingia kwenye mto huo na kuanza kuoga. Baada ya kumaliza kuoga tumevaa nguo tulienda mpaka kwemye hema kubwa. Kila mtu alikaa chini, na baadhi ya wanacheshi walikuja na viwembe na kuanza kutunyoa nywele.

'Ok kwasasa mnaweza kuanza kuizungukia kambi'. Askari aliyekuwa anaonekana mwenye cheo katika sehemu hiyo aliongea huku anaonekana kumrisha. Sote tulitoka, na kuanza kuzungukia kambi hiyo.

'We kijana njoo hapa'. Ilikuwa sauti ya dada mmoja aliyekuwa anaonekana wazi alikuwa ananyadhifa katika kambi hiyo.

'Naam'. Niliitikia kwa uwoga mkubwa sana.

'Ongozana na mimi'. Askari huyo wa kike aliongea kwa amri na sio ombi, hivyo niliongozana nae, tulitoka kwenye kambi hiyo na kwenda kwenye msitu mkubwa. Askari huyo akuwa anaongea lolote lile ila baada ya kufika kwenye mti fulani askari huyo alinigeukia huku akiwa amefungua kombati yake. Niliziba uso wangu kwa viganja huku mjomba nae akiwa anataka kutoka kwenye sero!!!!!!???....


ITAENDELEA.....
   Usikose kipande hata kimoja cha story hii maana kuna ujumbe mkubwa.....


Na kama ujalike page yangu unachelewa nini like page yangu inayoitwa
STORY ZA KUSISIMUA&MIKASA
'KARIBU'

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : CHOMBEZO MUHINDI MTAMU SEHEMU YA 01
CHOMBEZO MUHINDI MTAMU SEHEMU YA 01
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/chombezo-muhindi-mtamu-sehemu-ya-01.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/chombezo-muhindi-mtamu-sehemu-ya-01.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy