BUSARA CHACHE KUELEKEA 2019 | BongoLife

$hide=mobile

BUSARA CHACHE KUELEKEA 2019

*SOMO LA BURE KWA AJILI YA WOTE!*

BUSARA CHACHE KUELEKEA 2019

Ukitaka kuachana na nzi tupa kwanza mzoga ulionao, Namaanishaa Ukitaka mafanikio punguza kwanza marafiki hewa, wanafiki na watu wasio na maana kwenye maisha yako.

KUMBUKA..!
Usaliti siyo bahati mbaya, ni makusudi. Kumpa nafasi ya pili msaliti ni kujitesa mwenyewe

NAKUAMBIA KWELI..!
Ukihisi wanakusema ujue ujiamini ila ukiona wanakusema ujue unaakili.

NAKUSISITIZA..!
Mheshimu mjinga uokoe muda na kuepukana na balaa.

NAONGEA NA VIJANA WENZANGU..!
Acha akili za kicheche kila saa wewe kufikiria mapenzi tu, Think deeper fanya mambo yenye malengo kwenye maisha yako.

NAONGEA NA WADADA..!
Facebook siyo dampo la kupost picha zako zisizo na maana, uheshimu na kuusitiri mwili wako, wanaume tunataka mtu anaye jiheshimu siyo mtu anayetupa presha mitandaoni (mithali 31-30).

UTAFANIKIWA..!
Acha ujuaji (much know) hakuna anayejua kila kituapa duniani, sikiliza ushauri ufanikiwe.

SIKILIZA MAMA YANGU..!
Familia aijengwi kwa umbea wa mtaani, shirikiana na mumeo utaijenga familia imara.

SIKILIZA KAKA YANGU..!
Mke mzuri atafutwi messanger, instagram wala kwenye group la whatsap, mke mzuri anapatikana kwa kumshirikisha Mungu siyo kwa matamanio ya macho.

ACHA DHARAU..!
Kufika mbili kunaitaji kuanza moja stage after stage, kamwe huwezi toka stage moja kwenda mwingine kama una chuki, dharau wala kujiona daima utabaki mkia tu.

NINA UHAKIKA..!
Hofu na woga ndiyo chanzo cha kurudi nyuma kimaendeleo, punguza hofo.

HALIPINGIKI..!
Kumpenda asiye kupenda ni sawa na jutegemea jasho kwenye ulimi, na kumsahau uliye mpenda ni sawa na kumkumbuka usiye mjua.

KIMPANGO WAKO..!
Ufupi na urefu ni mpango wa Mungu, kama unasimu yako kubwa sijui iphone sijui samsang sijui nini sijui nini bado unategemea like na comment ya TECNO 340 tu hakuna sababu yakujiona mkwasi sana.

"Dawa ya mnafiki ni kuwa mnafiki zaidi yake "

NAKUKUMBUSHA TU BEST..!

___________**________**__________
NAKUHESHIMU NA NINAKUPENDA NO MATTER WHAT!

COMMENTS

BLOGGER: 1
  1. Jamani wadau siitaji matusi wala kejeli naombeni ushauri,nlikua na mpenzi wangu tulipendana sana na tulidumu kwa miaka miwili katika uhusiano ndipo nlipoanza kugundua makucha yake baada yakusoma sms kwenye simu yake aliyo andikiwa yakimapenzi na baada yakumuuliza aliniambia ni mfanyakazi mwenzake nlifanikiwa kukuta sms hizo mara tatu na siku nyingine akakosea sms aliyokua akimtumia mtu mwingine ya kimapenzi na kuja kwangu nlipomuulza alikasirika na kunijbu ni rafiki yake na mara na hata nlipojaribu kumwangalia kwenye mitandao yakijamii nlikuta posti za ajabu na nkaamua kumpotezea ila nashindwa kwani nampenda sana .Nifanyeje ili niweze kumsahau

    JibuFuta
Use [video]youtube-or-vimeo-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BUSARA CHACHE KUELEKEA 2019
BUSARA CHACHE KUELEKEA 2019
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/busara-chache-kuelekea-2019.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/busara-chache-kuelekea-2019.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy