ATHARI YA UTANDAWAZI KATIKA FAMILIA | BongoLife

$hide=mobile

ATHARI YA UTANDAWAZI KATIKA FAMILIA

Nyakati na Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania.Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors .

Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa kuzalisha vizazi bora vya watoto wenye adabu,hekima  na maarifa.

Nyakati hizi mwanamke jinsi anavyozidi kuelimika  ndivyo anazidi kupoteza vinasaba maridhawa  vya mke mwema na mama bora .

Uadilifu,unyenyekevu,lugha nzuri ni majukumu ya mwanamke kwa mume kwa sasa imekuwa misamiati kwa asilimia kubwa kwa wanawake wasomi wenye ndoa zao.

Mzazi anafurahia mtoto kuzungumza lugha ya kiingereza kwa ufasaha,lakini mtoto hana adabu,ni mjeuri na mwenye kiburi,social media wazazi tunapost picture za watoto wetu kwa ubora wa mavazi na uzuri wa sura lakini hatujivunii haiba na tabia njema za watoto.

"She is my happiness" mwingine utasikia "He is my handsome" lakini mtoto anamjua vyema house girl kuliko Mama.Wengi wamejificha kwenye kazi inachukua muda wangu mwingi nashindwa kukaa na mwanangu.

Wengine tumelelewa na wazazi ma -Nurse anaingia night lakini,tulisoma  na kuimba table ya 1-12 ndio tulipewa ruhusa ya kwenda kucheza,tulifundishwa kufua na kupiga pasi na bado mzazi alikuwa busy na kazi.

Mtoto ni wa mama ,mama akikosa busara na hekima ya kulea watoto anaharibu kizazi chake,ukweli mchungu Tanzania divorce rate kubwa ni ya wanawake wasomi na wanaume wasomi,ndoa za watu ambao sio wasomi kuna ushirika na upendo mkubwa sana.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke mwenye akili asiye na elimu na mwanamke mwenye elimu asiye na hekima na busara.

Busara ina unyenyekevu,uvumilivu,adabu na utu, wanawake waliokosa busara utawagundua kwa show off na kauli zao.Jiulize mtoto wa kike wa miaka 8 anafuliwa chupi,anaandaliwa chai,kumiminiwa chai na anawekewa sukari baba na mama wanaona ni haki.

Mtoto wa kike anasoma kidato cha nne anatumia IPhone  6 ,baba anatumia Techno ,mama anatumia  Techno, mtoto anaongea na simu usiku kucha ,hakuna anayehoji simu kapata wapi,na pesa ya kununua airtime anapewa na nani?

Wazazi huwa wanahoji mimba ya nani na sio simu kakununuliwa na nani?Mabinti wanapenda kusema,"Nataka mwanaume mrefu aliyejazia "baba yake mfupi na ana kitambi ,mama yako sio mjinga binti.

Wanaume wanapenda kuoa mwanamke mwenye kazi nzuri na elimu nzuri ,baba yako hakuwa mjinga kuoa mama yako darasa LA saba na yupo kwenye ndoa miaka 40  na hakuna picture ya anniversary ya ndoa miaka 40 kwenye social media.

Vijana ambao hamjaoa wala kuolewa ,kigezo cha mke/mume mwema ni akili yake na sio elimu yake. Mungu humpa mtu kilicho bora.

Tujifunze kulea watoto kwa adabu,unyenyekevu na nidhamu na kukemea na kuadhibu kwa haki,tusijifiche mwenye kivuli cha kazi na ubusy.Binti anayefuliwa chupi miaka 10 anawezaje kuwa mke mwema?

Jiulize ni Mara ngapi umesali na mwanao kila aendapo shule? Ni Mara ngapi umeosha vyombo na binti yako? Ni Mara ngapi umemwambia mwanao  baba/mama yako  ni mtu bora kwangu na kwako?
Good
©Oletoima.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : ATHARI YA UTANDAWAZI KATIKA FAMILIA
ATHARI YA UTANDAWAZI KATIKA FAMILIA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/athari-ya-utandawazi-katika-familia.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/athari-ya-utandawazi-katika-familia.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy