UTOAJI TALAKA | BongoLife

$hide=mobile

UTOAJI TALAKA

*Kuna baadhi yawatu huwa wanakimbilia kutoa talaka  na wingine kudai talaka kwa makosa  pengine  ni madogo madogo tu na yanahitaji  suluhisho siyo mafarikiano*

*Kosa dogo utakuta  mke anasema nipe talaka  yangu kuna  wengi wakunioa*

*Labda nikwambie  kitu my friend  watu  hukuona  mzuri pale unaheshimika leo upo kwenye  ndoa  najua  kuna wanaume  wanakwambia mumeo  angechelewa  Kidogo tu ningekuoa au pingine  wanakushawishi  uachike ili akuoe wewe si kweli anamanisha laa hash bali ni gia tu zakukupima akili zako zimeishia wapi*

*Kuna mmoja alidanganywa  achika nitakuoa  mimi kwani  nakupenda  kweli  akaachika  kadai talaka  hadi  kwa kadhi kupewa  kurudi  kwa yule  aliyedanganya  akamwambia  yule  aliyemdanganya  akamwambia  siweze  kukuoa kama nimeweza kushawishi ukamuwacha  mumeo kesho utashawishiwa na mwingine nami uniwache akabaki kulia*

*Na wewe Mwanamume najua kuna wanawake wanakuvizia vizia na kukwambia wanakupenda  hata  ikitokea umemuwacha  mkeo basi  yeye yupo tayari kuolewa na wewe  na watoto wako atakulelea  nawe  kichwa  kinakuwa kikubwa kosa dogo  tu unajigamba  ondoka nitaoa mke mwingine nawatoto Wangu nitalea mwenyewe*

*Hiyo ni gia tu my friend una watoto sita unadhani ni mwanamke gani mjinga atakuja kulea term yako hiyo kwani yeye Hana watoto, hata wakuchora alafu aje akulele watoto wako sita  kibaya zaidi ni watoto wadogo Hawajiwezi*

*Kitu gani labda utakachompa  mpaka afanye hivo na hata akifanya kuna kitu anakitaka  akishakupata  tu Kama  ni Mali  akishakufilisi tu anakwambia  nakuwachia wanao ulee mwenyewe*

*Maana huwezi ishi na wewe kwa sababu kwanza  kakudanganya  umemuacha mkeo na ukamuwacha kweli so ataishi kwa akili kwani atatokea  mwingine atakushawishi tena utamuwacha yeye*

*Fikiria kabla ya kutenda ili ukija kutedwa usijute*

* *

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : UTOAJI TALAKA
UTOAJI TALAKA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/utoaji-talaka.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/utoaji-talaka.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy