UTAMU WA JIRANI SEHEMU YA 20 | BongoLife

$hide=mobile

UTAMU WA JIRANI SEHEMU YA 20

*UTAMU WA JIRAN EP 20*


haswa wewe ndio my precious”
hakika mausiano yetu yalizidi kupamba moto huku siku nazo zikizidi kukauka hatimae wiki zikapita miezi ikapita hadi pale ikaja kufikia mwezi wa tatu ambapo ujauzito wa precious ulianza kujitokeza dhahili
inabidi muwe mnaudhulia clinic mara kwa mara ili kupata maendeleo ya mama na mtoto”ilisikika sauti ya doctor edward akitupatia ushauri tukiwa ofisini kwake
baada ya mazungumzo ya muda tukatoka ofisini pale na kuanza safari ya kurudi nyumbani ambapo tulikutana na baadhi ya wazazi waliokuja kuangalia maendeleo ya ujauzito
babe natamani awe mtoto wa kike”
usijali utapata ila na mimi natamani awe wa kiume”nilimwambia precious huku tukipanda gari na kuondoka pale clinic
mapenzi yalizidi kupamba moto kati yangu na precious hata michepuko nikaanza kuisahau kwa mda huo
sikutaka kumuumiza precious endapo atanifumania hivyo njia sahihi ambayo niliiona inaweza ikapunguza ghasia kwangu ni kubadilisha namba ili michepuko isinipate kwa urahisi
maisha yalizidi kusonga huku ujauzito wa precious ukizidi kukuwa na mtoto akiendelea vizuri tumboni kwani alishafikia hatua ya mwisho kwenye kugeuka
d ilisikika sauti nyuma yangu kipindi hicho tulikuwa tukitoka ofisini kwa dokta edward
niligeuka nyuma kuangalia nani aliyekuwa ameniita
ulijifanya mjanja kunikimbia si ndio”
kivipi na hiyo mimba vipi”

Tililika nayo…..Na hiyo mimba ya nani”
si ya kwako ”
mmmh”
unaguna nini”
hamna vipi lakini maisha yasemaje”
hivyohivyo mbona umetukimbia?
Maisha ndugu yangu si unajua kutafuta”
aaah kutafuta gani huko hadi unasahau majirani zako”
ila usijari nitawatembelea siku si nyingi”
haya, naona umekuwa baba kijacho”
wewe na we mbea”
nimekuwa mbea sababu haujanitambulisha”
haya njoo umuone wifi yako”nilimshika mkono mery na kuanza kwenda nae mahala nilipokuwa nimepaki gari
wakati huo precious alikuwa ameshaingia ndani ya gari na kunisubili mimi tuondoke
babe huyu ni rafiki yangu anaitwa mary alikuwa mpangaji mwenzangu”
nashukuru kukufahamu mary”aliongea precious huku akimuangalia na kumpa mkono
da mary huyu ndiyo wifi yako mama kijacho anayenifanya nijione ninakila kitu kwani uwepo wake ni amani moyoni mwangu”
nami pia nashukuru kukufahamu wifi
baada ya kuwatambulisha mary aliniaga na kuondoka mahala pale kwani alidai kuwa mmewake alikuwa akimsubili kwa doctor
baada ya kuingia kwenye gari nikaliwasha kisha nikaondoka huku mkono wangu wa kushoto ukitembea juu ya tumbo la precious
haikuchukua mda mrefu sana tangu tutoke hospital ya Nyakahoja tukawa tumeshafika nyumbani
leo nitaingia mwenyewe jikoni”nilimwambia precious kisha nikamuachia busu kwenye paji lake la uso na kuingia jikoni
ambapo nilipanga kupika mtori wa nyama kama alivyokuwa akitaka
baada ya kutoka pale sebuleni nikaingia jikoni na kuanza kuandaa mtori kwa kuanza kuzichemsha nyama mpaka zikaiva kipindi hicho nilikuwa nimesha menya ndizi na nyanya
hivyo baada ya nyama kuiva nikaanza rasmi kupika hadi nikamaliza na kuandaa chakula mezani kisha nikaenda kumuita precious ambae alikuwa ameshapitiwa na usingizi
nikamuamsha na ndani ya dakika chache akawa amekwisha amka na kuelekea nae mezani na kuanza kula
alfu babe kuna jambo nataka kukueleza” mmmhuuu”nilimwitikia huku nikipeleka kijiko mdomoni na kusababisha nitoe sauti kubwa kiasi
nimebakisha miezi miwili nijifungue nilikuwa ninaomba niende kujifungulia nyumbani”
kwani wazazi wako wanatambua kama unaujauzito”
ndio wanatambua na wao ndiyo walionipa huo ushauri”
mmmmh”
niluhusu babe si unajua nahitaji kukandwa nikishajifungua”
inabidi tuende wote”
hapana nitaenda mwenyewe ni kisha jifungua ndio utakuja kunifata kipindi nitakachokuwa nimeondoka utakuwa unaisimamia baa”
lini unatarajia kwenda ”
hata kesho asubuhi ili mradi leo uende ukanikatie tiketi ya ndege leo”alimalizia precious
tulizidi kuongea mambo mengi ya msangi hadi tulipomaliza kula kisha na mimi nikajiandaa kuelekea airpolt kukata tiketi ya ndege inayofanya safari zake dares salaam kutokea mwanza
baada ya kujiandaa kwa mda nikatoka kisha nikaingia ndani ya gari verosa na kuianza safari ya kuelekea ilemela ambapo uwanja wa ndege upo
hazikupita dakika nyingi kwani ndani ya dakika 45 nikawa nimeshafika uwanja wa ndege,kisha nikapaki gari na kuanza kuelekea kwenye ofisi za precision air line
kukata tiketi
kesho kutakuwa na ndege itakayoondoka saa 8:15 am na nyingine saa 2:15pm “aliongea mdada ambae nilikutana nae ofisini hapo
baada ya maongezi ya mda nikakata tiketi ya asubuhi na kurudi nyumbani ambapo nilimkuta precious akiweka nguo kwenye begi lake
inaelekea una hamu sana na safari”nilimuuliza huku nikimpa tiketi ambapo alianza kuisoma kisha akanikabidhi
ntakumiss sana my precious”nilimtolea maneno hayo huku nikimwangukia kifuani mwake na taratibu nikaanza kushuka hadi kwenye tumbo lake ambalo lilikuwa kubwa kwa kipindi hicho
kama wa kiume aitwe Eliudi na wakike Teckla”nilimwambia precious huku nikilibusu tumbo lake kulipa baraka
natamani sana kuitwa mama wa familia”aliongea precious huku akinishika kichwa na kuninyanyua na nilipofikia usawa wake akanza kunipa mabusu mfululizo huku akiniambia nisije nikamsaliti kwani nitamuumiza yeye na mtoto na anaweza akachukua hatua mbaya
baada ya maongezi ya mda mrefu kiasi tukiwa chumbani tukatoka na kuelekea sebuleni na kuweka cd ya series (jumong)
kisha tukaanza kuangalia huku tukiweka mipango imara ya familia
muda ulizidi kuyoyoma hadi ikafikia mda wa kula ambapo tuliingia mezani tukala kisha tukaelekea chumbani na kujitupa kitandani
tukiwa bado tunaendelea na maongezi mbalimbali
japo maongezi yetu yalizidi kunoga lakini yalikuja kushambuliwa na adui mmoja anayeitwa usingizi hakukuwa na upinzi pindi adui huyu alipotutembelea hivyo tukajikuta tukipitiwa na usingizi mzito sana hadi pale alarm ilipoanza kuita na kututoa ndani ya usingizi ule mzito
khaaa tumechelewa”ilisikika sauti ya precious maskioni mwangu punde alipoamka baada ya alarm kuita
hivyo akaniamsha na mimi kisha akaanza kujiandaa kwa safari ya kuiwahi ndege mda huo ulikuwa umeshatimu saa 7:38 am hivyo ikabidi ajiandae harakaharaka na mimi kuelekea kwenye gari huku nikiwa ndani ya bukta kisha nikaiwasha na kumsubili precious kuianza safari…….

ITAENDELEA..

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : UTAMU WA JIRANI SEHEMU YA 20
UTAMU WA JIRANI SEHEMU YA 20
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/utamu-wa-jirani-sehemu-ya-20.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/utamu-wa-jirani-sehemu-ya-20.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy