USHAURI KWA WADADA AMBAO AWAJAOLEWA | BongoLife

$hide=mobile

USHAURI KWA WADADA AMBAO AWAJAOLEWA

"Mke mwaminifu ni furaha ya mumewe, mumewe ataishi kwa amani miaka yote, ndoa zote tamu zina misingi mizuri ya uchumba. Mwaka 2018 unaenda kwisha, chunga moyo wako na ubongo ktk swala zima la mahusiano. Huwezi tengeneza future nzuri au kuwajibika ukiwa heartbroken. Baadhi ya wanawake pesa ndio imekuwa kigezo kikubwa sana ktk kutengeneza mahusiano.
Angela Jolina na utajiri wa $200 ndoa imemshinda, Jennifer Lopez anabadili wapenzi kila uchwao pesa anazo ila mapenzi ya dhati hapati. Chagua mwanaume kwa upendo wake wa dhati ili akutreat kama princess na usichague mwanaume mwenyewe pesa akutreat kama housegirl."

‍♂​‍♂​‍♂​‍♂​‍♂​

COMMENTS

BLOGGER: 1
  1. *Leo ningependa kutoa hili darasa hasa kwa wadada katika nyakati hizi ambazo wadada wengi wenu mnajikuta mnapata watoto mkiwa nyumbani kabla ya ndoa kutokana na changamoto zilizo nje ya uwezo wenu (kwanza ningependa kusema poleni na eeeeh mwenyezi mungu tupiganie hili lisiendelee) narudi kwenye mada dadazangu ukisha jiona unamtoto au unawatoto jitahidi sana uishi kwaupendo❤️Sana na kila mtoto awe wako au hata sio wako kumbuka kua na mtoto au watoto sio ndo kukosa mume/ Sasa Basi unaweza kumpata mwanaume nae anamtoto mwisho wasiku unaanza kumchukia mtoto wa mumeo kisa mnaugomvi na mzazi mwazake au chuki2 binafsi hii haitokujenga maisha yanamalipizo hapa hapa duniani vile utakavyo mchukia mtoto wamwezako ndivyo vile watakavyo mchukia mwano kifupi jitahidi kua na upendo❤na watoto wawanaume zenu hakuna kitu kibaya mwanaume unaenda kutafuta unakuta mtoto wako anakosa amani kabisa mungu hapendi maisha2 haya tunapita asanteeni niite charasiwaverse����darasa✍�� linalotembea����*
    *SHOW.LOVE TZ*

    JibuFuta
Use [video]youtube-or-vimeo-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : USHAURI KWA WADADA AMBAO AWAJAOLEWA
USHAURI KWA WADADA AMBAO AWAJAOLEWA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/ushauri-kwa-wadada-ambao-awajaolewa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/ushauri-kwa-wadada-ambao-awajaolewa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy