UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MWANAMKE  MWENYE MUME | BongoLife

$hide=mobile

UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MWANAMKE  MWENYE MUME

*_UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MWANAMKE  MWENYE MUME _* 
                                                                       *```SHANGA ''Ni Pambo la  Urembo  kwa mwanamke kama mapambo mengine yaliyoruhusiwa kujipamba kihalali.*```

*```Shanga ni Pambo ambalo  linalovaliwa katika  kiuno  chake au kwenye makalio  yake hizo ndio  sehemu kuu za kuvaa shanga kwa mwanamke.*```

```Zipo shangza za aina nyingi kwa upambaji wa mwanamke.```

```1⃣Kuna ambazo unaweza kuvaa kwenye matiti.```


```2⃣ Kuna ambazo unaweza kuvaa kwenye mapaja .```


```3⃣ Kuna ambazo huvaa kwenye miguu zimezoweleka kwa jina la ''kikuku".```

```4⃣ Kuuna ambayo huvaliwa kiuno kwa mwanamke.```

*Hii namba 4⃣ndio hasa nitakayoizungumzia leo*

*_❤UMUHIMU NA FAIDA ZAKE  KWA WALE WAVAAJI SHANGA KWA MWANAMKE❤_*       
                                                                                                                                                     *1* _Ni pambo  linalompendezesha  mwanamke  akilivaa na  ni pambo linalompendeza huwa anapendeza macho ya mwanamme kwa kuliona kwa mkewe._
                      
*2* _Shanga  hutofautisha baina ya kiuno cha mwanamme na mwanamke._
                                                                                       *3* _Humvutia mume wakati anapoziona,mwanamme ambae anaejuwa umuhimu wa  shanga  akiziona  kwa  mkewe huwa zinamvutia sana na huwenda ikawa sababu ya kumfurahisha na kumtuliza kwa kuona jambo hilo._

                                                                                     *4* _Shanga huamsha                                                                     hisia za mume anapoziona na mume anapoona pambo hilo huweza kuhamasisha  katika kuziamsha  hisia  zake kwani humchanganya kila anapoziona kwa mkewe_.

*5* _Mume hupata shauko wa kuchezea na  kukichezea  Kiuno  Cha mke kwa kuwepo kwa Shanga zile inampa raha ya jimai na mapenzi makubwa kwa mkewe._

*6* _Ni kichocheo Cha  Mapenzi kwa wanandoa  ambacho  hupelekea Mume na Mke kuanza kuamshana hisia zao  za Kimapenzina kuona tu mara moja wameshafika  katika  uwanja  wa  huba na  mapenzi motomoto._

*7* _Shanga husaidia katika kutambuwa kwa Mume saivi naruhusiwa au siruhusiwi kufanya jimai_

_Mke aliefundwa na aliekuwa muelewa  wa shanga  huwa anajuwa kuna Shanga ambazo zinaonyesha Ishara Ya Ruhusa na ipi inaonesha ishara ya kuwa sio, ruhusa hayo ni katika ufundi wa mwanamke mwenyewe._

*Mfano kama Shanga Nyekundu '' Hizi huonesha  kuwa sio ruhusa  maadhura ni kwamba wekundu wa msimbazi wako uwanjani hivi hiruhusiki kufanya lolote katika uwanja*


*Shanga Nyeupe, Bluu, manjano, , wardi hizi inaonesha ishara ya ruhusa ya tendo la jimai.☑*

*Na Shanga ya Kijani hii ni kuwa  ruhusa  ipo✅ ila iwe  taratibu,kutokana na kuwa na hali ujauzito wa mwanamke,hapa vishindo vipunguzwe,mambo yawe utaratibu kwenye 6*6*.

*Ama  shanga nyeusi mume ajue kuwa anaruhusiwa la huko kwa bibi kuna pori ambalo halijafyekwa.⚫*

 *Katika ishara  ya  uvaaji wa rangi  za,shanga  kwa  mke, huwapa ladha ya utamu  wanandoa kila  wanapochezeana na kugusana sehemu hizo zilipo shanga*


*8* _Na mwanamke anapovaa shanga anaonyesha kuwa  Jinsi gani  anavyothamini  hisia  za  mumewe katika ndoa yake,kwani katika ndoa ni jambo linalopendeza  kila  mtu  kuweza kuthamini hisia  za mwenzake ,kwa  kumfanyia vitu  ambavyo  vitakavyoamsha hisia zake  za kimapenzi na kumtuliza mwenzawake._

 *9* _Shanga ni kitangulizi cha mahaba na mapenzi kabla ya tendo la ndoa ._

*10* _Vilevile  huweza kuzuwia  mfupa wa uti wa mgongo usipanguke wakati unafanya  zoezi la jimai._                          


*```Hayo ndio mambo ya shanga.*```                               

*Asiependa shanga si mjuzi wa mambo.      *  
                                                  *_❤@alh_@*

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MWANAMKE  MWENYE MUME
UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MWANAMKE  MWENYE MUME
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/umuhimu-na-faida-za-kuvaa-shanga-kwa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/umuhimu-na-faida-za-kuvaa-shanga-kwa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy