$hide=mobile

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 04

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA MTUNZI Isaya e malenga PHONE 0769881678 NO 4 Muendelezo----@@ Tonny alitusogelea talatibu, tena akiwa anatisha...

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA
MTUNZI Isaya e malenga
PHONE 0769881678

NO 4

Muendelezo----@@

Tonny alitusogelea talatibu, tena akiwa anatisha sana usoni kwake, kwani alivimba sana na jicho lake lilibadilika langi na kuwa nyekundu sana, nilimtezama Mjomba kwa huruma na masikitiko ya hali ya juu sana kwani nilijua huu ndio mwisho wetu, sikujiwazia sana Mimi Bali nilimuwazia sana Mjomba angu aliye kuja kwa lengo la kuniokoa na anakumbana na kifo,, Ama akika kwa ukatili wa Tonny nilijua wazi kuwa Mjomba ndo basi tena, nilipo mtezama usoni Mjomba angu alionyesha uoga wa hali ya juu na sura yenye viulizo,?? na kujikuta ananidondosha chini,,, niliumia sana lakini kwa wakati hule, wala sikuweza sikia maumivu, Tonny alimshika mjomba na kutaka kumchoma kisu, lakini cha hajabu au cha kunishangaza nilipiga kelele sana,, haaaaaaaa!!! haaaaa!!! Haaaaa!! Kumbe nilikuwa njozini ivyo aikuwa kweli kwamba mjomba alikuwa maeneo yale, ukweli ni kwamba bado nilikua pale sebreni ambapo safari yangu ilikomea kwa maumivu makali pamoja na njaa,, nililala ivyo nilipitiwa na njozi ya hajabu tena ya mchana, kumbuka waenga usema "njozi ya mchana ubeba kubwa maana" duuuu!!!, sikuweza kabisa kuielewa njozi hii nini maana yake!?? Niliachana nayo niliwaangalia wale misukule nilio waona kwenye njozi, ikiwemo mama yake Tonny sikuwaona apo niliamini kuwa nilikua nikiota tu, safari yangu ikaendelea ya kutembelea tumbo ili nikapate msahada nnje, kila nilipo songa mbele nilizidi pata uchovu wa hali ya juu sana. Kwani kikubwa kilicho nitesa ni njaa na maumivua makali ya kupigwa na Tonny ambae ndie mme wangu halali wa ndoa oooh!!! Ama akika ndoa ndoano nilijiona nimepata kumbe nimepatikana, kipi nitalingia saizi kama sura imeumuka kama mkate uliozidishwa Amira, umbo alisomeki apa mnene na apa mwembamba, jamani uku kuolewa usije ukazani sifa kwani wanasema "usijidai kufunga ndoa bali jidai kuyaweza maisha ya ndani ya ndoa bibi weee"

Nilijitahidi jikokota na atmae kufikia lengo, Akika nilifika getini, nilikumbuka mala ya kwanza nilifika adi apa lakini mnyama Tonny alitokea, ivyo saizi niliomba sana na kumlalamikia mungu ili niweze toka katika hii kuzimu ndogo, nilishika geti ndogo la kupita watembea kwa mguu, na kisha kulipiga piga uku nikipiga kelele kwani sikuwa na nguvu za kufungua geti lile, Duuuu!!! ilikua kama bahati tu, kwangu!! Kwani alitokea msamalia mwema na kusukuma geti lile nilipo muona tu, sikutaka ata kukaawia mana isije Tonny akatoke bule!!! nilimuomba anisaidie " msahada kaka yangu!!!? Plz nisaidie nakufa!!??" Mtu uyu aliongea kwa rafudhi ya kijijini sana, na kwa halaka tu, nilijua uyu ni mmakonde,, na mgeni na mji mana kila nilipo msistiza tuondoke alizubaa tu, na kuanza nioji "nikusaidiee vipi?? Sikuelewiiii!?? Nayaona magali nyumba nzuri afu mimi nikusaidie yani duuu!! Unanichanganya, kiukweli mimi naomba kazi dada yangu!??"" Aliyasema ayo tena uku akiwa zoba zoba sanaaa, kiukweli nilijikuta nachoka zaidi kwani nilijua iwapo tukachelewa kidogo tu, basi Tonny atatokea na atatoa uwai wangu, oooh!! Kutokana na njaa kali taratibu macho yangu yalianza fumba na mdomo kuwa mzito ivyo nilishindwa kuongea na yule kijana tena, sikujitambua kabisa, ivyo sikujua nini kiliendelea,,,,
Nakuja shituka kwa kufungua macho yangu taratibuuuu!!! Nakutana na yule kijana tena akiwa ameshika kitambaa pamoja na bakuli kubwa lenye majani na maji ya moto ndani yake, akinikanda sura yangu, macho yangu na yake yaligonganaaaaa!! Lakini sikupata kuisi chechote kwani nilikuwa katika maumivu sana!! Aliniimbia nyimbo nzuri, yenye kunipa matumaini ya kupona uku akiwa ameshikilia gitaa lake alilo lipiga vyema sana, akika kijana uyu alionesha ukarim na utu wa ali ya juu, nilivuta pumzi ndefu oshiiiiiii!,, na kusema akika mungu nimeuona ukuu wako kweli nimetoka kwa Tonny sitojalibu ludi pale tenaaaa kamwe,
Baada ya kuwa angalau nipo vizuri kijana yule aliniletea vipande vya mkate na kisha kuanza nilisha kwani mikono yangu aikuwa imala ivyo sikuweza peleka kinywani, mda uwo wote alikuwa mnyenyekevu na mwenye kunipa moyo kwa amasa zake, akuchoka niambia pole na kisha kunipa matumaini kuwa nitapona, apa nilipata funzo jipya "sio kila mwanaume au mwanamke ni mbaya kwani wapo!! Wakarim na wenye mioyo safi" mwanaume uyu asiye na fedha wala Mali, kwani ndani kwake tu, palikuwa na vitu vichache kama godoro ndogo mahalufu kama magodoro ya wanafunzi lililo tandikwa chini, akuna meza wala vyombo!! Kulikuwa na tololi tu, ambalo ndio kama mtaji wake apa mjini kwani ni muuza maji tu, loooh!! Nakanusha methari isemayo "samaki mmoja akioza wote wameoza" sio kweni uwezekano wa kumtoa yule mmoja upo, Nilipata nafasi ya mazungumzo nae nilimuuliza maswali kazaa " samahani naweza nikalifaham yina lako!!?? Nilimuoji kwa sauti ya upole sana," nae alinijibu " naitwa Ayubu lakini kutokana na maisha yangu kuwa magum na yenye mateso ndani yake watu uniita Mateso, duuu!! Nilifuraishwa na jibu lake "sasa ayubu kwani?? Wewe kwenu kabisa ni wapi? Akusita nieleza ukweli "kwetu ni mtwara na sina mda mlefu tangu nije apa dar es salam, niliamua kuja uku kutafuta maisha kwani mimi ndie mtoto pekee wa kiume na wakwanza katika familia yetu,"" Niliweza kumfaham Ayubu kwa kina sana, usiku uliwadia apo tulipata changamoto kidoga katika ulalaji, chumba ni kimoja na godoro moja mbaya zaidi ni ndogo sana, akuonye hali yoyote ya matamanio kwangu, kwani wema wake ulijawa na ukweli ndani yake  alikubali alale chini kabisa na akujifunika kitu chochote kile nilimuonea uruma sana , japokuwa alisema asha zoea maisha aya kwani mwanzo alikua akilala nnje tu, duuu!! tulilala na atmae pakakucha, asubui nilipo amka sikuweza kumuona Ayubu kwani alijiimia miangaikoni, nilitulia nikiwaza kwani tayali tamaha za kimwili na upendo wa dhati ulisha dondoka kwa fukara uyu, kiukweli "nilimpenda kwa mda mfupi tu, hii ni kutokana na ukarim wake, ni mtu anae jali sana!, mida ya saa nne Ayubu alitokea akiwa na lambo mkononi kwake, alinitaka samahani kwani aliondoka bila ya kuaga kwa kuwa alijua endapo ataniamsha utakuwa usumbufu kwangu,, yapo alizidi nichanganya kabisa na kunifanya nidate, nilimkumbuka Tonny anae ondoka usiku na akiludi asubui kipigo, lakini uyu kaenda kazini bila ya kuaga na ananiomba msamaha, duuu!! Ama kweli huu ndio upendo wa dhati, talatibuuuu!! Nilianza mrembulia jicho ili anitamani, ata ivyo nilikua na ham sana ya kujamiana kwani tangu niwe na Tonny sikuwai Fanya tendo ilo, tambua nami ni binadam si jiwe, ivyo napata matamanio,, alinipa chai na kisha alitoa dawa mfukoni mwake na kunipa maelekezo juu ya unywaji wa dawa izo, kwasiku mala tatu, viwili viwili, akika nilijivunia uwepo wake kwangu, kwa siku za mwanzo zote ilibidi awe ananiogesha mana sikuwa na nguvu kabisa! Alijitaidi katika kunifaliji na kunipa mazoezi ya apa na pale,, nyumba  ilijawa furaha ya hali ya juu sana, kwani tulicheza michezo ya kila aina,

Mda sasa umepita nimesha zoeana vya kutosha na Ayubu, majilani walitushangaa na wengine kuto amini kwamba tuliweza ishi chumba kimoja kama mtu na dada yake, lakini ndo ivyo, kwani Ayubu alinifanya kama Dada yake atakama nilikua naisia kwake, baada ya kukaa mda mlefu pamoja na mwanaume uyu alio onyesha upendo wa dhati kwangu Leo usiku nimeamua kumpa zawadi, tena Zawadi nono sanaaa!! Japokuwa aligoma sana kushiliki tendo la ndoa nami lakini nilikuwa tayali ata kuvua nguo zote na kulala mtupu kabisa, ama akika mwishowe nilifanikiwa kumtega, na kwa furaha na raha zetu, alifanya ivyo nami!!! Nilifulai sana kwa ufundi wake wa kunipapaso na kupitisha ulimi kila mahali, alikua na spidi na akuchoka mapema, penzi lake lilikuwa tam kuliko!!!  Jamani kumbuka "Bola kula miogo kwa amani lakini sio pirau kwa masemango" tuliendelea na maisha yetu tena tukiwa kama mtu na mkewe atakama akuna ndoa kati yetu, kidogo chake kilinilizisha kabisa!! Siku moja Ayubu akiwa kazini nilipata ugeni "hodiiiiii!??? Wenyeweeee!!! Nami kuitika uku nikiwa na furaha tu, karibuuuuu!!! Nilipo enda fungua mlango! Nilipatwa na mshangao kwa sura niliyo iyona, kelele zangu zilisikika haaaaaa!!, haaaa!!!
Duuuu!! Alikua ni Tonny!??? Sijui kajuaje kuwa nipo apa?? Na anataka nini???,

Najua tu, unashauku kubwa ya kujua kifwatacho. Mimi wala wewe atujui, usikose sehem ijayo

Usisahau kulike kucoment na kushere kwa mawasiliano zaidi namba ipo apo juu. Karibuni

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 04
SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 04
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_95.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_95.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content