SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 06 | BongoLife

$hide=mobile

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 06

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA
MTUNZI Isaya e malenga
PHONE 0769881678

NO 6----Itimisho

Muendelezo----@@

Nikiwa nimefumba macho ili Tonny atimize dhamira yake ya kutoa huwai wangu, nilisha jizila sasa ni bola kufa kuliko aya mateso niyapatayo, na kweli kwa unyama wa Tonny alinikata kidogo katika maeneo ya kifua yaani titi, looooh!! Nilipata maumivu sana, nililia haaaaahaahaaa!!! Lakini Tonny kwa ukatili alisema "usizani utakufa kwa raha, kama ulivyo fikilia lazima uteseke kwanza ndipo ufe!! Pumbavu sana wewe" duuu!! Tonny ni katili sana alinikata titi langu la kulia tena uku akicheka kwa zarau na furaha, akika sikuamini kuwa mimi ndie nilie kubali kuolewa na mnyama kama uyu, aliliweka pembeni titi langu kisha akasema "Je upo tayali kushilikiana na mimi??" Duu!! Ndugu msomaji ivi ungekua wewe ungejibu nini??? Lakini kwakuwa nilisha jizila na nilikua tayali kufa sikusita kukataa kwa mala nyingine!! Nilimwambia siwezi kabisa kumtoa mtu huwai na kufuga misukule!! Alikasilika sanaa akasema "kufa ufi ila chamoto utakiona mjinga wewe,, unazani me izi pesa napata kijinga Eeeh!! We si ulipenda ua penda na boga lake," alianza nipiga tena akujali kwa zile dam nyingi nivujikazo, looooh!!! Tonny ni mwanaume katili sana yani akujali kabisa kufanya vile kwangu, na akuwaza kuwa Mimi ni mke wake halali wa ndoa, mateso ninayo yapata sijui ungelikua wewe ungefanya nini?

Gafla sim ya Tonny ikaita na yeye akapokea na akasema "nimejalibu kumshawishi lakini asikii haambiliki!!??" Mtu yule alisikika "basi muweke yeye kama kafara ya kung'aza nyota yako, mana ukizembea kijana utakufa wewe kama sio kufilisika" Tonny alijibu kwa kigugumizi sana! Ha,!! Ha,!! Sa-sawa mganga" "*basi njoo alaka kilingeni tufanye kazi" alikulupuka alaka na kisha akaenda uko, dam nyingi ilinitoka ivyo nilijiisi kizungu zungu sana!! Na kisha nikadondoka chini!! Duuuu!! Niliona kimvuli cha mtu akiingia ndani kule niliko mana milango yote ilikua wazi, sikuamini mala baada ya kumuona Ayubu mbele yangu tena akiwa kafungwa fungwa plaster,, kama mtu aliopo hospitalini!! Nilikataa kwenda nae kwani nilijua mda mfupi mbele nakua msukule, niliwaza sana juu ya mimba niliyo nayo, lakini Ayubu akulizia kabisa majibu yangu! Alinibeba kwa nguvu na kisha kuondoka japo nae akuwa mzima na akuwa na nguvu ila nilimuona akijitutumua kiume Sana,, atimaye tulienda kwa lafiki ake mana kama tungeli enda kwake Tonny anakujua, nilitokwa na dam sana!! Kwote tuliko tembea zilivuja japo kwa nnje azikuonekana kwani alinifunika nguo nyingi sana, sasa sina kiungo kimoja duuu!! Maumivu makubwa moyoni kwangu!! Sijui nimemkosea nini mungu mbaka anipe mtihani mzito kama huu, ilaaa sawa!! Nashukuru kwa yote!! Yatokeayo, lafiki ake Ayubu alikua mkarim kama alivyo ayubu, alinitoa shaka na kunihahidi kupona, alikua ni mtaharam wa madawa ya kienyeji,  ivyo alianza niganga, wakati anafanya ivyo gafla hali yangu ilibadilika sana!! Sikuona tena mwanga,, nilianza sikia kelele za hajabu sana! Sikushangaa sana kwani nilijua ndo natolewa kafara sasa, duuu!!!

Kwambali nilimsikia lafiki ake Ayubu akisema, "uyu anachezewa na watu, sasa apa kafika, mana kunanguvu ya kishilikina inataka kumbeba," kisha nikaisi ubalidi sanaaa!! kwani kunamaji alinimwagia, unafuhu ulianza onekana mana macho yangu yalifunguka, nilibaki kusikia tu, kwa mbali zile sauti za hajabu zilizo ambatana na kicheko cha hajabu sana!! Nae lafiki ake Ayubu alitoa kibuyu chini ya kitanda chake na kunitaka nisiogope!! Aliniambia niongee chochote nitakacho hisi naitaji msahada nacho, alaka nikasema "Tonny!!? Naitaji afe, ili nihishi kwa Amani!! Pili naomba niondokane na aya majanga mazito,!!" Kabda sijaendelea kuongea nilisikia maneno ambayo ata sikujua yatokapo "haaaahaaaahaaa!! Uwezii uweziii shindana nami ata siku moja!! Wewe ni mtoto sanaaa kwangu!!" Lafiki ake ayubu akasema "sikuogopiiiii!!!! Na unitishiii!!" Walianza jibizana kwa majigambo kila mmoja akijitambia ni bola kuliko!! Mwenzake,,, Mimi na Ayubu tulijawa na ofu mana tulishuudia kila kitu, gafla tuliona moto mkalii ukitusogelea lakini ukazima alaka, mala bahada ya upepo mkali kuvuma uliotoka kwenye kinywa cha lafiki ake Ayubu, gafla ngurumo za ladi zilisikika na kisha mwanga mkali wa ladi, lakini ukakwepeshwa, duuu!! Pale pale nikazimia mana sikua na ujasili wa kushuhudia yote ayo----
Nilizimia palepale!! Akika aya mambo yapo nduguzanguni watu uteseka sana ndani ya ndoa zao, tena unyama na ukatili wanafanyiwa ila sema tu, uvumilivu pekee ndo unao wafanya waonekane bado wapo ndani ya ndoa, neno ndoa ni neno ndogo lenye mahana na siri kubwa sana, nililala kwa mda mlefu sana nakuja kushituka ni asubui tena Ayubu akiwa pembeni ananipepea nilivyo zidi pepesa macho niligundua kua nipo hospitalini nilimsikia Ayubu akisema "Ameamka!!! Daktalii!! Doricas ameamika!!, alaka alaka madaktali walikuja  na kuniwekea bahazi ya vitu, walijalibu kutoa mpira nilio tumia kula, na kupumulia akika niliweza kupumua!! Bila uwepo wa mipira ule,,, ilikua furaha sana kwa Ayubu, duuu!! Baada ya Siku kazaa sasa nimelejea katika hali yangu japokua sikua na titi moja kwani lilikatwa na mnyama Tonny! Loo!! Tonny uyu,, sio mtu ni mnyama, mda mlefu nilikaa hospitalini bila ya kujielewa kwani eti!! Wanadai ninamiezi mitatu nimelala tu, na ilifika wakati walikata tamaha!! Aya yote ndugu zangu awakuyajua kwani nao ndo nawasimulia wanaona kama hadithi itungwayo lakini ndiyo yaliyo nikuta

Halaka sana, alakati ya ndoa ya pili bahina yangu na Ayubu ilianza kwani Tonny alikwisha faliki, mda sasa!!!!, japo kanifanyia ukatili ila namuombea kwa mungu apumzike sarama,  maneno ya mfungisha ndoa yakasikika "mvishe pete sasa ishara ya kulizia kuishi nae katika hali ya tabu na furaha", duuuuuuuuuuu!!! Uwezi amini kabisa!! Pale nilipo fungua macho na kumkuta Tonny ndie anae nioa!!! Loooo!! Nilipiga kelele sana mbele ya watu kibao walio kuja katika sherehe ile,,, kwani ilikua aina kadi ivyo watu walijaa Sanaaa! Nilipo jiangalia sikuona dalili ya mimba na Titi langu lipo ivyo kumbe mateso yote yale aikua kweli kwani ilikua ni fikra tu, nilichoka sana na kumtezama Tonny mala mbili mbili!!!! Sikutaka kabisa Amani kuwa ilikua ni Fikra tu!!!!"" Duuuuuu!!! Apo ndo inatakiwa Nile kiapo cha ndoa
Je ungekua wewe ungelizia kiapo icho!???
Ungemchukuliaje Tonny???
Je ungeamini kuwa yote ni mawazo tu??

Duuuuu!!, kumbe ni mawazo sasa je nifunge hii ndoa au niache!?? Yupo wapi Ayubu wangu??  Looh!, Ayubuuu!! Nilijisemea kimoyo moyo uku nikiwa nimeshikilia pete ya ndoa, uku nikiwa na kigugumizi kumvisha Tonny!! Watu walinishangaa sana kwani uzuni ilinitapakaa usoni kwangu kiwango cha kuvuja machozi mengi sana!!,

Ndugu mfwatiliaji wa simulizi hii napenda kutoa shukrani za dhati kwenu-- msikose simulizi ijayo yenye visa na matukio tofauti tofautu!!!!

Comment like na share simulizi hii kumpa nguvu mtunzi!!! shukrani

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 06
SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 06
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_83.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_83.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy