SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 05 | BongoLife

$hide=mobile

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 05

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA
MTUNZI Isaya e malenga
PHONE 0769881678

NO 5

Muendelezo-----@@

Moyo Wangu ulifadhaika, Amani ikatoeka, ile furaha na tabasamu muruwa katika uso wangu lilipotea gafla, sikuwa na matumaini ya kwamba Tonny anaweza niacha salama,,, na unyama alionao akika nilipatwa na uwoga adi mkojo ulinitoka, uku kijasho chembamba kikinivuja nilijiwazia sanaaaa, lakini fikra zangu zote zilikuwa ni kwa Ayubu, mtu aliye nipa msaada na kujikuta naingia nae kwenye mausiano mazito ya kimapenzi, Tonny aliongea kwa upole sana, "samahani mke Wangu kwa yote yaliyo tokea!!!??? Naomba tuludi nyumbani" kwanza sikuamini kabisa kama Tonny angeweza kuongea kwa ukarim wa hali ya juu kama vile, akika nilishindwa kumuoji sana lakini kwa ujasili nilimwambia "siwezi ludi kulee, ni kama kuzim" akika siwezi!!!!!!" Aliendelea kunishawishi kwa upole wa hali ya juu, lakini nilisimamia msimamo wangu, kwani nilijua atakama leo hii kajishusha adi kupiga magoti na kunitaka radhi. Nikiingia tu, kwenye lile geti mateso yanaanza ivyo sikuitaji kabisa kumsikiliza Tonny, nikafunga mlango kwa asila kali kisha nikaingia ndani, nilijiuliza maswali mengi kichwani mwangu na sikuweza pata majibu, mbona Tonny kabadilika sana??? Kweli uyu ndiye Tonny?? Leo kanipigia adi magoti?!! Au anataka niludi anitoe kafara nini??,akuu katu sitoludi kule siwezi nitakufa bule mtoto wa watu, nilijiwazia kimoyo moyo, uku Tonny akiwa nnje na kupiga kelele za kuitaji nimsamehe, alipiga sana kelele lakini sikuitaji ata kuwaza juu ya kelele zake ijapo kuwa nilitawaliwa na huruma kwa kumuona akiwa analia na kujipa azabu ya kupiga kichwa chake katika kuta ya nyumba, alivujwa na dam nyingi sana, wala akuwaza juu ya ilo aliendelea kujipigisha pale ukutani,

Nikiwa ndani nilisikia sauti ya Ayubu ikimuongelesha Tonny "eeeeeh!!! Wewe!! vipi uoni yakwamba unajiumiza nini tatizo!??." Tony alijibu kwa ufupi uku akiendelea kujigongesha ukutani "Msamaha" ayubu alimshika na kisha kumtaka asiendelee fanya vile kwani dam nyingi sana imemtoka, wakati uwo wote niliwatazama kwa dirisha tu, sikutaka kutoka nnje kwani mme wangu Tonny ni kama adui mkubwa kwangu, kwa mateso aliyo nipatia sikufikilia kabisa kumsamehe mwanaume uyu atakama maandiko yanasema "samehe saba mala sabini" nipo tayali kupata zambi kwa hajili ya kwenda kinyume na sheria hii, na atakama wanasema "usiukumu" lakini kwa aliyo nitendea Tonny naukumu kuwa anazambi kubwa, tena sana zaidi ya sana
Kutokana na wema na ukarim wa Ayubu alimkalibisha ndani Tonny, ikiwa chumba chenyewe ni kimoja tu, na akina ata vitu Tonny alitoa mshangao sana nilipo mtizama usoni kwake!! Kwani alionyesha anamaswali mengi sana, maongezi baina yetu yalianza mala baada ya Ayubu kumuoji Tonny "nashindwa kuelewa!! Unashida gani wewe!?" Tonny akuficha alikuwa muwazi "nimekuja apa kwa lengo la kuitaji msamaha kutoka kwa mke wangu halali wa ndoa Doricas kwa mengi mabaya niliyo mtendea" kwa asila kali nilimkatisha uku nikiongea kwa nguvu utafikili naongea na mtu aliyopo mtaa wa saba " tenaaaa!! Ukae kimya mana nisije nikakuitia mwizi bule, unamjua mke wewe!??. Ivi ningekua mke wako ungenitendea yote yale,,??, aya na vipi kuusu Doreen!?? si ulimlagai na kutoa huwai wake?? Kamwe siwezi ludi kuzim ata siku moja!!?? Nyumba kubwa magari mengi lakini mateso yaliyamo bola ata uwe ombaomba mtaani" niliongea kwa mfurulizo sana, gafla Tonny alibadilika na akaja juu sana, nilishitukia kibao!!! Ayubu alimshika Tonny kwa lengo la kumpohoza nae akapigwa ngumi, kisha Tonny akasema "pumbavu!! Umeamua kutoa siri zangu eeeh!! Kumfanya uyu mjinga wako ajue kuwa nimemuua Doreen!!?? Sasa mtu yeyote akisikia au shuudia siri zangu lazima afe. Ivyo umemponza mwenzako, duuuu!! Yale majivuno ya kumjibu nitakavyo Tonny yameniponza na kumuingiza Ayubu kwenye matatizo, kwani Tonny aeleweki yani dakika hii yupo ivi na dakika ijayo yupo vile, Kumbuka Ayubu nae ni mwanaume tena aliye pitia maisha magumu sana. Ivyo akujilegeza walianza pambana!! Walitupiana ngumi na mateke mengi sana, kiukweli Tonny akufua dafu kwa Ayubu aliyeonyesha umakini wa hali ya juu katika ulushaji wa ngumi, kafuraha kalinijia kwa mbaliii!! Niliona siyo mbaya endapo na mimi nikachangia, nilichukua gongo moja kubwa ambalo uwa tunatumia kufungia mlango na kisha kulihinua juu kwa lengo la kumpiga Tonny, nilikua tayali ata kupoteza huwai wake kwani kila nilipo kumbuka mateso aliyo nipa niliona bola afe tu, lakini kutokana na uwanawake wangu nilijawa na uoga mkubwa kufanya vile na nilijiuliza sana, atimae nikafunga macho na kuliachia gongo lile,, looooh!!! Nilisikia sauti tu, iliyo lalama kwa mda mfupi na kisha kimya "haaaaaaa!!," dam zilinilukia nilijihisi kuloa, mwili ulinisisimuka, gafla niliisi baridi kaliiii,, nilijisemea kimoyo moyo nimeua!!! Eeeeh!! Nimeua, mda wote huo macho yangu niliyafunga sasa nafungua ili nihakiki kama niliye mpiga ndie Tonny kweli au,  akika sikuamini kwa nilicho kiona mana nilisisimuka gaflaaa, na kuzimia pale pale!!!!!!!!! kwani nilimpiga Ayubu na sio Tonny Duuuuuu----;

Nakuja kufungua macho nipo kwenye chumba kimoja kichafu, na kisicho eleweka kabisa!!! nilipo jalibu pepesa macho uku na uko, apakuwa na mtu mahali pale kwani kimya kilitawala sana eneo lile, nilijalibu kupiga kelele labda nitasikika na mtu lakini sikuona dalili zozote za kwamba nimesikika. Nilijalibu kujitutumua labda nikumbuke mala ya mwisho nilikua wapi?. Sikufanikisha kwani sikuweza kumbuka kitu chechote kile, yani kwa lugha nyingine nilipoteza kumbukumbu, duuuu!! Huu sasa ni mtiani mwingine kwangu, wakati naendelea kuwazawaza alinitokea mtu sikuweza mfaham kwa kuwa sina kumbukumbu zozote akilini kwangu, mtu uyu alicheka kwa sauti ya vitisho sanaaa!! Na kuita Doricas!!!??, aliludia tena Doricas!!?? Nilibaki tu, kushangaha uyo Doricas ndo nani??.,alijongea mbele nilipo, kisha kuninyanyua juu, na kuongea maneno aya kwa ukatili wa hali yake,,,, "ndoa ni maliziano baina ya Mme na mke, ivyo Mimi na wewe tuliliziana lakini umeonyesha usaliti kwangu, moja umeshindwa ficha siri zangu na umelopoka lopoka kwa watu!!! Mbili umeshika mimba nnje ya ndoa!!!??" Ivyo sasa nakupa nafasi ya wewe kubaki huru na maisha kwa masharti kazaa lasivyo unakufa Doricas"
Kwanza unatakiwa kushilikiana na Mimi kama Mme wako katika utafutaji wa mari kwa njia ya kishilikina,!! Mbili unatakiwa kuwa msiri katika kila jambo la ndani ya ndoa yetu,!! Tatu unaitajika kushiliki kutoa kafara ya kung'arisha nyota yako" kama auto kuwa tayali kifo kinakuhusu, duuu !!,, kwa maneno mazito aliyo yasema yalinipa mshituko na kupata kumbukumbu kuwa alikuwa ni Tonny, looooooh!!!! Usikimbilie ndoa ukazani kunamazuri ndani yake, mateso katika ndoa ni kwakila mmoja alie ndani ya ndoa yanaweza yasiwe mateso ya haina hii ila mateso yapo tu, kwanza nilichanganikiwa!!! Nilijiuliza yupo wapi Ayubu!??. Oooh!! Ayubu!! Samahani kwani nimekuua kwa mikono yangu japokuwa Siku tarajia!, niliangua kilio na uzuni kubwa mala baada ya kukumbuka Ayubu ayupo tena kwenye uso wa dunia na sababu ni Mimi!!?? mmmh!! Ninakiumbe chako tumboni Ayubu, lakini samahani katika mahamuzi nichukuayo kwani bola nikufwate uko uliko na sio kufuga misukule,, siwezi ishi tena na Tonny!!! atakama nimefunga nae ndoa!! Niliwaza kwa sauti ivyo Tonny alisikia kila kitu, na kisha nikavaa ujasili na kukubali kufa tu, nilikionea huruma sana kiumbe kilichopo tumboni kwangu, kupoteza maisha bila ata ya kuona jua,,, na anakufa bila kosa ila ndo imesha toke wacha tufe, nilimpa maneno ya mwisho Tonny "naomba uniue niende aliko baba,mama, na Ayubu nimpendae, sizani kama ninasababu ya kuogopa kifo wakati huu kwani ndio mda wangu, lakini Tonny kumbuka *malipo ni apa apa duniani mungu atakuhumbua tu," kisha nikafumba macho kumuacha Mme wangu wa ndoa Tonny afanye atakavyo,, amakweli ndoa ndoano, kwani unaweza fikiri waliopo ndani ya ndoa wanaraha lakini sio wote, matajili wengi wanabeba siri kubwa za mafanikio* Duuu Tonny katili ndo ananiua ivyoooo looooh!! Masikini mwanangu tumboni anacheza cheza tu, aelewi mambo yaliyopo uku nnje----;----

Najua shauku yako ni kutaka kujua nini kilifwata, Mimi wala wewe atujui kitu, usikose sehem ijayo

Comment, like, na share simulizi hii kumpa nguvu muandishi,, kwa nawasiliano zaidi namba zangu za wats up zipo apo juu

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 05
SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 05
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_68.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_68.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy