SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 02 | BongoLife

$hide=mobile

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 02

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA
MTUNZI Isaya e malenga
PHONE 0769881678

NO 2

Muendelezo------@@

Baada ya kuona watu wa ajabu. Walio koroma tu, wala awakuongea kwani watu awa walikua wachafu sana, nilijiuliza sana watu awa wanawezaje chafuka ivi ingali yakuwa wanaishi ndani tu, na kwanini Mme wangu aliwafungia mule ndani??.. Sikuwa na uelewa juu ya Ushilikina ila kwa stori za mtaani tu, niliwai sikia juu ya misukule, nillijisemea Misukule!!!??? Ooooh!!! Misukule ndio,,, Doreen Aliendelea piga kelele za juu sana, suala lililo mfanya Mme wangu akasilike sana na kujikuta akisema kwa ukali "we mjinga ebu kelele!!!??? Kipi kinacho kufanya ulie apa,  tena kimya lasivyo utakufa!!,, "" aliongea akiwa na asila ya hali yake, uku akiwaingiza wale watu ndani kwa kuwasukuma tena bila ata huruma,  moyoni nilifurai sana kwani ili ndilo funzo pekee kwa wanawake, wenzangu wanaofakamia ndoa za watu, ijapokua ofu na uwoga ulinitawala sana, sio jambo la kawaida kabisa,  masikini Doreen mwanamke asiye na roho ngum asa katika mambo kama aya alijawa na ofu sana uku.  Akiongea maneno yasiyo eleweka kabisa, mme wangu alimaliza kuwaingiza wale watu ndani kisha akatusogelea na kusema " Natumaini ninyi ndie watu wa kwanza kujua siri hii nzito" ivyo sito penda kabisa mvujishe siri hii, kwani nimewaonea huruma sana lasivyo ilibidi mfe kabisa kwa kushuhudia siri hii nzito pumbavu nyie,,, aya Doreen!!!!!?? Na,na,nam!! Kwa uoga aliitika  kisha Tonny akasema twende nikupeleke, akika Doreen alimuogopa sana Tonny kwa vitu vya ajabu alivyo viona,  alikuja mwenye furaha na anaondoka mwenye simanzi,, walitoka nnje na kuniacha Mimi pale nikitafakari-------

Baada ya mda mfupi Mme wangu alilejea. tena akiwa na asila sana, akunioji wala niuliza moja kwa moja alifikia kunipiga.  Alinipiga bila ata ya huruma akinishutumu kuwa mimi ndie nilie fungua ule mlango,, nilimwambia sio mimi kwani siku nzima ulinifungia ndani, wala akutaka elewa,, alinipiga sana!!! Tena sana toka nizaliwe sijawai pigwa kama vile hii ndio mala ya kwanza, kutokana na kipigo kikali nilipoteza faham kwa mda mfupi, nakuja zinduka nyumba ikiwa pweke sana, kwani apakuonyesha uwepo wa mtu yeyote katika jumba ilo kubwa la kifahari nilijitaidi japo niinuke niende chumbani nilishindwa kwani kipigo nilicho pigwa ni babu kubwa, niliapa kuondoka ndani ya nyumba ile kwani ni nyumba nzuri sana ukiiona kwa nnje lakini mateso ya umo ndani ogopa kusimuliwa, nduguzanguni usije ukapuuza methari hii kwani uwenda yakaja kukukuta "usione vyaelea ujue vimeundwa" usikuchanganye muonekano wa nnje bila ya kujua ndani,,,, nilifakamia ndoa bila jali kuwa nayo inamakuhu yake. Ama akika leo ni majuto kwangu!!! Niliita sana kwa lengo la kuitaji msahada lakini wapi?. Mme wangu alikwisha ondoka mda mlefu, oooh!! Sikua na ujanja wa kuinuka kwani sikuwa na nguvu kwa halaka tu nilijigundua kuwa nimetokwa na dam nyingi sana,, ata ivyo mwili wangu ulisha vimba vimba yaani (manundu) du!! Ninani wa kuniokoa kwenye jaazi hili nzito ??? mbona bola nikiwa na fukara ila niishi maisha ya Amani, ona tamaha yangu ya pesa imenifikisha pabaya oooh!,! Mungu nisaidie mimi kisha nikalala palepale kwenye simeti ya balidi bila ata ya kujifunika chochote kwani sikuwa na uwezo ata wa kujiinua mwenyewe,, kesho yake pakakucha kwani mwanga wa jua uliingia adi ndani, nilijua kuwa kumekucha sasa ni asubui lakini kila nilipo jalibu inuka ilishindikana hii ni kwasababu sikuwa na nguvu, nilijipa imani Tonny akiludi nimwambie hali alisi kuwa sina nguvu lakini siku nzima akutokea, njaa Kali sana ilinitesa nikiwa nimelala palepale chini, nilipata wazo nitambae mbaka nnje uwenda raia wema wataniona na kunisaidia mana kwa hali hii naweza kufia humu ndani,,, nililianza zoezi langu aikuwa laisi kama unavyo zani atimae nililifikia geti na kuanza piga kelele kwa mbali nilisikia mlio wa gari ivyo nikajua kama nitajitahidi sauti hiwe juu watanisikia tu, haaaaaaa!!?. Msahadaaaa! Lakini kumbe niliingia choo cha kiume kwani alikua ni Mme wangu Tonny ,, alikasilika sana kwa kitendo nilicho Fanya alinibeba kama mnyama na kwenda nitupa chini ya simeti chumbani  na akujali kuwa naumwa sana, kwani alinishika na kunisurubu tena, duuu!! Apa sasa sio kuanza kuichukia ndoa!?? Bali kuikana kabisa nklimuomba Tonny kwa mateso aya bola aniludishe nyumbani kwani!!?? Nimeshindwa mimi, ata sijamalizia kuonge aliinua mguu wake aliovalia kiatu kikubwa chenye kilo zake(buti) na kunikanyaga usoni kwangu ni maumivu ya hali ya juu niliyapata lakini sikua na mtetezi ivyo niliishia kulia tu, alikaa kitandani kisha akatoa sigara mfukoni mwake na kuvuta!!, uku moshi wa sigara ile akinipulizia mimi kwa kejeli tena uku akinihaidi kifo cha mateso makali Sikujua ni kosa gani nimemtendea Tonny mbaka kufikia kunifanyia unyama na ukatili kama huu,!!!?? Lakini basi ewe Mungu nakuachia mana peke yangu siwezi nilijisemea moyoni, (ujue binadam sijui tupoje tunapo kuwa kwenye raha na starehe mungu atumshilikishi ila sasa kwenye shida duuuu!???)

Duuu Tulikaa pale kwa mda mfupi tu, sim yake ikaita nilimsikia akionge na sauti moja ya mzee kikongwe "Eeeee!! Hallo mganga wangu?? Sitaki saram yako!! Tena sitaki kabisa mbona unaenda kinyume na mahagizo tulikwambia usije mfanya mtu yeyote ajue siri hiyo labda mkeo kama atakubali kushiliki pamoja na wewe katika kulea iyo misukule, sasa mizim inasema mtu kaona na bado yupo hai!! Tunaitaji ndani ya saa moja mtu uyo asiwe mbele ya uso wa dunia" kisha akakata sim mme wangu alivuta pumzi ndefu kisha akajitupa kitandani, oooooshiiii!! Loo!! Kimoyo moyo nikasema mimi na Doreen tumekwisha mana ndio tulio ona na kujua siri ya Tonny, Tonny alinigeukia kisha kwa asila akaninyanyua pale chini nilipo, akanifuta dam nilizo kuwa nikivuja na kuniweka kitandani wakati huo akampigia sim Doreen yaani kimada chake, nilijua tu nini dhamira ya Tonny ni kutaka toa huai wa binti uyo, akika nilimuonea huruma sana Doreen kwani nilijua endapo akaja nyumbani Leo, basi utakua ndio mwisho wa maisha yale, loooh!! Yule secretary mcheshi nilio tokea mpenda Leo anafikia atma ya maisha yake, kweli wanaume wa watu sum, ona anakuja jibebesha majukum ambayo akustahiri kabisa, kidogo tu mtu alibisha hodii!!! Moja kwa moja alikua ni Doreen, aliingia kwa mala ya pili ndani mwangu, lakini safari hii mambo yalibadilika kwani?? Alipo muita mpenz Tonny!!!?? Wala Tonny akuitika bali alimpiga kibao na kumwambia "HII NDIO TAMATI YA MAISHA YAKO" tena alionge kwa msisitizo uku akimtolea jicho kali lililo tisha sana, Doreen alitaharuki kwa mshangao wa hali ya juu, aliuliza nini kosa langu,!!??, jibu lilikua "upaswi kujua, na hili ndilo fundisho kwa malaya kama ninyi, nimekupa kazi bado unataka na mapenzi eeeeh!, kufa sasa!!!" Kiukatili sana Tonny alikata shingo ya Doreen kama kuku, tena uku nashuhudia tendo lile,,, akika Tonny ni katili afanani kabisa na yule wa zamani, ooooh!! Ooooh!!! Oooh!! Akiwa kaloa dam nyingi sana katika nguo zake Tonny aligeuka kwa uchungu na kuanza nisogelea pale kitandani, ooh!!! Nami ni mwisho wangu!!!! Nilijisemea-----

Je shauku yako kujua nini?? Kilifwata, usikose sehem ijayo

Shere,like, pia comment 

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 02
SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 02
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_30.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_30.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy