$hide=mobile

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 03

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA MTUNZI Isaya e malenga PHONE 0769881678 NO 3 Muendelezo------@@ Akika nilipata ofu kubwa rohoni kwangu, sikuj...

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA
MTUNZI Isaya e malenga
PHONE 0769881678

NO 3

Muendelezo------@@

Akika nilipata ofu kubwa rohoni kwangu, sikujua nifanye nini kwani ata nguvu za kujitetea tu, sikiwa nazo, Waziwazi nilijua huu ndio mwisho wa maisha yangu, Nilifunga macho ili Tonny afanye kile atakacho, nae akuwa na huruma ata kidogo aliinua kisu chake juu, na kutaka nichoma tumboni kwangu kabda ajafanikisha kufanya ivyo, kengere ya getini iligongwa kwa ishara ya mtu anabisha hodi, Tonny alisitisha jambo lile, na halaka akatoa ule mzoga wa Doreen, kisha kufuta dam zilizo tapakaa chumba kizima na kubadili nguo zake, alitoka mbaka getini kwa hajili ya kuangalia nani?? Alie bisha hodi!, Wakati huo wote nilitulia tuliiii,,, nikisubili kifo changu!! Kwenda kwake nnje ni kama alinipa mda wa kumuomba na kutubu kwa mungu, sikuweza ongea kwani homa imenizidia sana, ivyo kwa ishara tu, nikaomba msamaha kwa mungu kwa zambi zangu zote nilizo tenda, nilijua sina nafasi tena katika dunia loooh!! Chozi nisilo litalajia likanidondoka!!  Tonny alilejea ndani akiwa na mgeni, kwakuwa Mimi nilikua chumbani sikuweza mfaham ni nani!!?? Lakini maongezi yao niliyasikia vyema tu, "karibu sana mwanangu!!??" Yalikua ni maneno ya Tonny "asante boi, naona ndani mwako kupo vyema mkeo yupo wapi?. Lilikua ni swali lililo mfanya Tonny akae kwa mda bila ya kuongea na kisha kutolea maelezo malefu juu ya swali lile!! "Sikufichi lafiki angu yule mganga alie tupa mari alinipigia sim, kuwa nimekosea masharti yake kwani ile misukule ilitoka ivyo mke wangu na dem frani ivi, waliiona kwaiyo wote wanatakiwa kufa," what?? Yule mwenzake akauliza kwa sauti ya juu kidogo kisha Tonny kwa unyenyekevu akajibu ndo ivyo!!, "ooooh!! Unamakosa Tonny kwanini uku mshilikisha mkeo mapema mbaka yanakuja tokea yote aya na kwa tahalifa yako yule mzee sum, tena sum kabisa!! Ukikosea masharti tu, ndo basi!! Aijalishi amekwambia ufanye nini?. Apa tuondoke mapema tuende kwa yule mzee tukaangalie inakuaje lasivyo utakufa kama sio kufilisika Tonny!! Alikulupuka halaka halaka akaingia ndani, kisha akabeba shati mana alivaa singlendi tu, na kisha wakaondoka zao, apo hilikua ponea ponea yangu

Nikiwa pale kitandani nilijitahidi sana japo niifikie sim yangu ya mkononi ili nipige sim kwa ndugu na malafiki waje niokoa lakini jitiada zangu zinagonga mwamba kwani sikuweza ata inua mkono tu, duuuh!!! Niliangua kilio ambacho akikuleta mafanikio kwangu, nilijikuta nikitezama ukutani ambako kulikuwa na picha zetu za siku ya ndoa, nilizitezama sana picha zile uku nikikumbuka siku ambayo mimi mwenyewe kwa mdomo wangu niliitikia mala tatu"ndio nimelizia kuwa na Tonny bin joseph katika hali ya shida na raha" duu!! Niliyakumbuka sana maneno yangu uku nikijisemea Ama akika viapo vingine unatakiwa kufikili kwanza kabda ya kutenda  sasa hii ndio shida niliyo ikubali, tena mbele ya kadamnasi ya watu, kweli kesho yako ndiyo siri yako, kama ningalijua basi nisinge olewa kabisa, sikukata tamaha nilijalibu tena kuinuka lakini bado hali ilikuwa tete kwa upande wangu,kwa mala ya tatu tena uku nikijisemea mungu nisahidie Mimi!?? Akika niliweza jigeuza pale kitandani na kudondokea chini, japo kuwa niliumia sana kwani kichwa ndicho kilicho tangulia lakini sikuwaza juu ya ilo, sasa kuifikia sim ilikuwa shuuli pevu kwani ipo juu kwenye mkoba wangu wa mkononi, niliona bola niailishe zoezi ilo ila nianze zoezi jipya ambalo kidogo litakuwa na matumahuni kwangu, kama mala ya kwanza nilitamba kwa kutumia tumbo misili ya mtoto mdogo wa miezi kazaa, uku njaa nayo ikinifanya nizidi ishiwa nguvu, nilifika mbaka sebreni kwa shida sana, niliweka kituo kwa kujipa mda mfupi wa mapumziko lakini nikiwa nimelala pale chini gafla upepo mkali ulivuma, upepo huu ulinipa shaka na ofu kubwa juu yangu, kwani madilisha yote yalifunguka uku yakijibamiza bamiza!! Kwa makelele ya juu sana!!! kutokana na hali yangu ilivyo basi nilijisemea " izi ni dalili za kufa kwani izraeli mtoa roho yupo karibu nami" iyo ilikuwa ndiyo imani yangu, lakini kwa mbali nilianza sikia sauti za hajabu sana, tena zikikoroma tu, misili ya simba jike aliopo mawindoni!!! Zilinifanya niogope sana na kujikuta natetemeka kwa uoga zaidi basi mkojo,jasho,machozi, vilinivuja kama maji ya mvua yakingwayo juu ya paa, niliwaona wale Misukule wakiwa wametoka kwenye chumba chao na kuzagaa ovyo katika nyumba nzima, walikua wengi kama kumi na kitu ivi lakini mmoja kati yao nilivyo muona tu, nilipatwa na mshituko mwili wangu ulisisimuka kisha nilipiga kelele sana, kwani mtu uyu niliwai muona kwa picha na Tonny aliniambia anamsamini sana ata kama ayupo katika dunia, lakini kumbe yeye mwenyewe ndie alie muweka mahali apa, oooh!! Akika dunia inasiri kubwa sana shukuru wewe unae ishi maisha ya bila kukutana na majaribu ya haina hii, ooh!! Mama Tonny" niliita kwa sauti ya uoga sana, akuitika mtu yule bali alinifwata kule niliko kwa ishara ya kwamba kasikia, alikua mchafu sana!!!! tena sanaaaaa!!! kwani nywele zake azukueleweka kabisa pia alikua na kucha kubwa, na alitoa alufu kali yaani (ananuka sana) alinisogelea karibu sikuwa na chakufanya kwani sina uwezo ata wa kuinuka mahali apa, alianza ongea lakini sikuweza muelewa nini?? kamahanisha kwani alipo funua mdomo wake ulijawa na mate mengi sana na ulimi wake ulikatwa, ivyo alibakiwa na kakijipisi cha ulimi kadogo tu, kiukweli  nilishikwa na uchungu sana kama mama aliye mzaa anamfanyia ivi je sisi wa kukutana nae tu????, mmmh kweli binadam ni wabaya na kila mtu na makucha yake, nilijitahidi niinuke nikatafute japo msahada lakini ndo aiwezekani,, lakini mungu uwa amtupi mja wake, na ukubwa sikuzote ni dawa,, Gafla mlango ulifunguliwa na mtu alie onyesha anahasila kama baba wa familia kafukuzwa kazi, tena aliufungua mlango kwa kupiga teke lenye uzito, nilipo mtezama alikuwa ni mjomba angu!!,,, apo kwa mbali faraja na matumaini ya kutoka ndani ya jengo hili nilianza kuyaona, niliita kwa furaha yenye uchungu ndani yake "ancleeeee!!!??" Alinikimbilia na kunikumbatia kisha akasema pole sana mwanangu,,, kwani ndoto niliyo ota ndio iliyo nileta mahali apa,, kama mungu tu kaniongoza nimeona Doricas!,! Doricas pole sana!! Uku ile misukule ikiwa imetoka nnje kwani mlango auku fungwa,

Mjomba alinibeba na kuanza kutoka nnje, ikiwa wale misukule wapo tu, wakizagaa nnje ya nyumba ila ndani ya geti Akika kwa kumuona mjomba maali pale na wakati ule wa shida siku weza kabisa amini, nilijitikisa na kujiongelesha Amka Dorcas na uondoke mahali apa, lakini sikuweza shituka ivyo nikaamini kuwa nipo katika mikono sarama ya mjomba, kila atua aliyo piga mjomba nilimuhuliza ivi ni wewe kweli mjomba?? Alijibu ndiye mimi!, shika hii,, kama wewe unamzarau mkubwa eti kisa ana elim au pesa nduguyangu unakosea sana kwani walio nena "ukubwa dawa" wala awakukosea kwani leo hii mjomba anakuwa msahada tena katika mazingila ambayo ata mimi sikuweza amini!!
Lakini Tonny ni kama mchaw au sijui nitumie jina gani pengine litamfaha mana ile mjomba kashika tu geti!! Tonny alitokea tena akiwa na asila kali sana kwa mwendo alio ingia nao na gari ,alishuka kwenye gari na taratibu akaanza kutufwata kule tulipo sura yake ilivimba, macho yalikua mekundu, alionyesha wazi anaasila sana!! Tena kwa kuwaona misukule wake wakiwa nnje, na kumbuka yeyote atae iyona au jua siri hii basi azabu yake ni kifo!! Nilipatwa na simanzi kwani nilijua apa naweza mpoteza mjomba, kimoyo tu nikajisea eeeh!! Ndoa mwanaram!! Ulie nileta kwenye shida hii na mjomba yangu kuja jumuika loooh!! Mjombaaaa jamani adi simanziii------

Najua shauku yako ni kujua kuwa mjomba atatoka au vipi??? Na je nini atma ya binti Doricas?? Mimi wala wewe atujui !!, usikose sehem ijayo---

Ndugu na mpenzi wa simulizi iza, usisahau kushare kulike na kucoment punde tu, usomapo simulizi hii kwa mawasiliano zaidi karibu namba ipo apo juu

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 03
SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 03
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_1.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya_1.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content