SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 01 | BongoLife

$hide=mobile

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 01

SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA
MTUNZI Isaya e malenga
PHONE 0769881678

NO 1

mwanzo-------@@

Katika maisha ya sasa ndoa ni jambo la eshima sana kwa mwanamke, kwani ukizalia nyumbani usaminiki kabisa, eshima yako inapungua tofauti na ukiwa na mme, Kila siku naomba na kufunga nipate mme bola hili tu, niondoke apa nyumbani nikaanze maisha mapya,, sikuwai fikilia kuwa maisha ya ndoa nayo uwa yanachangamoto zake,,
Mungu amtupi mja wake, nikapata mchumba mwenye kunijali na kunisamini sana, kwani nilikuwa ni mrembo nilio wavutia wanaume wengi kunitogoza, mda mwingine kwa siku wanaume watatu awakusita niambia ukweli juu ya isia zao, lakini wote niliwakataa tena kwa kuwapa maneno mabaya, Akika walipata tabu sana, lakini mwanaume mmoja tu, ndie nilimpa nafasi ndani ya moyo wangu, kwani nilimpenda sana Tonny, alikuwa mwanaume mtanashati, mwenye malengo na maisha, mcheshi, na sifa nyingine nyingi,,!  Mala kwa mala alipenda nipa maneno mazuri yaliyo nivutia sana, "mamy love you so much, I'll merry you" akika sikuelewa kizungu kwani elim yangu ni ya darasa lasaba tu, lakini nilicheza na isia zake akiwa ananena maneno aya na niliona ni jinsi gani Tonny ananipenda,,, nilimuomba aje nyumbani kwetu kutoa barua na ikibidi anioe kabisa, ombi langu lilimvutia sana Tonny kwani akuitaji tuchezeane, ivyo alaka barua ikaja nyumbani na tarehe ya ndoa ikapangwa akika niliona kama bahati kwangu kwani nilijua ni jinsi gani wanaume wa sasa wanachezea na kuacha lakini mimi mungu kanibaliki ndoa, kwa shauku ya kuolewa niliona kama siku zimesimama,, Marafiki zangu walionyesha wazi wazi wivu wao, kadi za muhaliko zilisambazwa kila kona na apa kuwa na mchango wowote kwani Tonny alikuwa na uwezo wa kifedha, Siku zilisogea atimae tarehe ya ndoa yetu iliwadia, nilijawa na furaha  sanaaa, lakini  mjomba na shangazi walijawa na furaha kupitiliza kwani wao ndio walezi wangu(mama na baba walikwisha fariki mda mlefu) ile ndio Siku niliyo pendeza na kuonyesha uzuri wangu nikiwa ndani ya shela nzuri lenye mvuto. Mekap pia ilining'aza na kunipa muonekano wa kipekee, watu walikunywa, walicheza, walikula mbaka kusaza, ama akika ni Siku ya kipekee ambayo nitaikumbuka daima, tulipiga picha nyingi sana za ukumbusho, tukiweka mapozi mbali mbali,,, Atimae Doricas binti mgao nimekuwa Doricas binti Tonny, kwani ni mari yake alali,

Maisha katika jumba moja la kifahari yalikuwa ni mazuri sana kwani kila mmoja wetu akuweza pitisha masaa bila kusikia au kumuona mwenza. Mda mwingine tulienda wote ofisini kwake, kulikuwa na secretary wake wa kike ambae nilitokea kumpenda sana kwa ucheshi alio nao, alipenda sana kututania jina lake "Doreen" alitutania sana!!! Ilikuwa furaha isiyo kifani, mapenzi yetu yalinoga sana,, yani kama wali basi umetawaliwa na viungo vya kila aina, watu wa nnje walijawa na wivu, jinsi walivyo ona mapenzi yetu yakisonga tena kwa kasi ya mwendo kasi!!, Lakini yote kwa yote akuna kizuri kikosacho ubaya, katika maisha yangu yote ya ndoa Tonny akuitaji kabisa shiliki tendo la ndoa na mimi!!! Sikuelewa ni kwanini???? Niliwaza Au Tonny kidisa!!??? Mmmh!!! ila uwezi jua ni kwanini!!,?? labda anavuta subila kwanza!!!, nilimuwekea mitego yote ya kumnasa Tonny ili tufanye tendo ilo,,  lakini wapi?? Mwisho wake ulikuwa mabusu na kunishika shika tu, jambo lililo nipa asila sana kwani anapandisha isia zangu afu ataki nitekelezea,, oooh!!! Kwa uchunguzi wangu wa halaka tu nilijua kuwa Tonny sio kidisa kwani niliona akisimamisha, oooh!! Sasa kwanini ataki shiliki tendo ili nami?? Ilibaki kuwa maswali tu, kichwani mwangu!!,?? Nilitamani kujua sili iliyopo nyuma ya panzia lakini niliogopa kabisa kumuhuliza mme wangu, kwa kuwaza labda ningeanzisha mgogoro baina yetu na kupunguza upendo,, sasa leo nimezamilia aswa kushiliki tendo la ndoa na Tonny, nilijisemea moyoni,, usiku uliingia nikamshika mme wangu kimahaba zaidi,, tena nilijalibu kufanya kila aina ya utundu ili avutiwe kujamiana na mimi leo, lakini Tonny alifanya kama kawaida yake ya kunichezea na kuniacha akuitaji kabisa jamiana nami, niliona ni ujinga na nika vunja upole nikamuuliza!!  Mimi na wewe sio mtu na dada ake bali ni wanandoa lakini wanishangaza utaki kabisa shiliki tendo la ndoa na mimi!,?!! Kwanini Tonny!!!??., majibu yake mafupi yenye kejeri yalizidi nitia asila "kwani wewe ujui!!??? Labda auna mvuto kwangu!!!???"" Looooh!!!!, kwanza sikuamini ivi tonny ni wewe Au umelewa???? Akujibu kitu na kisha akainuka kitandani akavaa nguo na kuondoka zake, nilijalibu sana mzuia lakini niliambulia kibao tu, ama kweli usilo lijua ni kama usiku wa giza,, Tonny alie nipenda na kunisamini leo hii ananipiga kibao na anadiliki ondoka usiku bila ya kuaga!!,?? Na anaenda wapi??? Uyuuuu??? Eeeh!!! Mwenyezi Mungu linusuru penzi langu,, apa talatibu nilianza kuona uchungu wa ndoa,,, nilikumbata mito mbaka kesho yake asubui, uku mawazo yakinitawala sana kwa uchungu nilibaki kulia tu, nilimsubili mme wangu kwa ham, mana mbaka mchana huu ajaludi!! Na sijui alilala wapi?? Lakini mbaka usiku kama saa 5 na nusu, nilisikia mingurumo ya gari, ivyo nikatoka kwa hajili ya kumfungulia geti mme wangu, nilifanya ivyo Lakini kilicho nichanganya zaidi ni kumuona amelewa, yani anashindwa ata tembea na ivyo mwenzake tu ndie aliye mleta, na namfaham Tonny anaichukia pombe kuliko kitu chochote duniani, sasa kakumbwa na nini?? Leo mbaka atumie kilevi? Mmmmmh!!!! Nikambeba Mme wangu na kumuingiza ndani ila alikua akitukana tu, akisema"" kudadeki wewe mwanamke nuksi tu, eti tujamiane!! We kawafwate wachovu wenzako kwani me nikifanya mapenzi na wewe nitafilisika!,!!,? Na sipendi kuwa masikini,, ivyo sitaki kosea masharti ya mganga!!! Acha nigonge michepuko we kwangu sum!! Na narudia tena kile chumba usije jalibu ingia utakufa!,, mbwa weweee!!,""" ashiiiii kuishi kwangu kwote na Tonny sikuwai sikia wala isia kuwa pesa zake za kwamganga, na Leo yeye mwenyewe kanitamkia kwa kinywa chake!! Duuu hii sasa ni siri kubwa,,, niligundua mme wangu ajatambua kua kasema maneno yale kwani alilewa sana,, tulilala ivyo ivyo kwa usumbufu wa hali ya juu kwani akutaka kabisa lala nyumbani akidai anataka kwenda kwa mke wake, nilijiuliza sana kwanini Tonny wangu kabadilika??. Nilianza ichukia ndoa, talatibuu!!! Kesho yake asubui na mapema sim yake iliita na akapokea, sasa zile pombe zisha muishia, nilimsikia kwa masikio yangu akiongea na Doreen yule secretary, "" hello??? Mpenzi Doreen??" Uku Doreen akijibu kwa maringo "niambie mme wangu, penzi lako tam akika ninastaili kumpindua uyo mkeo" Tonny bila haibu akasema " uyu ni kama house girl wako tu, alafu mamay leo naomba uje nyumbani!,! Alijibu Sawa love, ntakuja saangapi nije?? " Jioni ukitoka tu, kazini mana leo mimi siji!,, oooh sawa mpenzi mwaaaaaaa!!! Akimaliza kwa busu lenye majivuno ya hali ya juu,, akika nilitoa chozi uku nikimuoji mme wangu mbona umekosa nidham ivyo?. Kweli mbele yangu unaongea na mchepuko wako??. Nilipigwa kibao na mangum mengi yasiyo elezeka kwani kipigo kile kilikua ni chapaka alie iba chakula cha mtu mwenye njaa kali,, lakini akuishia nipiga pekee alienda nifungia kwenye chumba kimoja na nilishinda humo Siku nzima bila ya kuingiza chechote kinywani mwangu,,, Nilipatwa na uchungu sana kwanini uyu mwanaume kabadilika!??? Lakini pia kasema kapewa masharti na mganga asifanye tendo la ndoa na mkewe halali na chumba kile nisiingie si atakuja nitoa kafara uyuuu!!!?? Hoooo!!, kutokana na njaa Kali usingizi mzito ukanipitia,,,,,

Wewe?. Weeee?? Mbwa amka zilikua ni Sauti za Tonny alie kumbatiwa kwa nyuma na Doreen, niliamka uku nikilia tu, nika msalim Doreen, mambo??? Lakini akunijibu aliishia kunitolea msonyo tu, nyooooo!!!, na kisha akanitemea mate. Iliniuma sana lakini sikuwa na chakufanya, nilimwomba Mme wangu msamaha kama nimemkosea lakini alicheka kwa zarau!! Na kunitupia chapati mbili chini, mbaya zaidi Doreen akaja na kuzikanyaga, sikuwa na namna ilibidi nile ivyo ivyo kwani njaa Kali mno,,,
Wakati naendelea kula chapati zile niliitwa sebreni na kisha Tonny kwa mdomo wake akasema "tunaomba uende ndani ukatutandikie mana tunaham sana ivyo twataka kufanya mapenzi," loooh!! Niliinamisha kichwa chini kwa ishara ya haibu, kisha nikasema kamwe siwezi Fanya ivyo!! Atiii??? Aliuliza kwa asila Kali na akainuka na kutaka nipiga kabda ajafanya ivyo, tulisikia sauti za hajabu sana na gafla kile chumba alicho nikataza kuingia kilifunguka na kwa mbali tuliwaona watu wachafuuuu!!! Ambao ata kuwaelezea siwezi kwani walitokwa na udende!, awakuongea Bali walikoloma tu, alaka Tonny akakimbilia Kule na Doreen akajikuta anapiga kelele  sana haaaaaaaaaa!!!,,???

JE unashauku ya kujua nini kilifwata usikose sehem ya pili

------ HUU NDIO KWANZA MWANZO---

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 01
SIMULIZI MATESO NDANI YA NDOA SEHEMU YA 01
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/simulizi-mateso-ndani-ya-ndoa-sehemu-ya.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy