SIFA ZA JANUARI | NGUMU KUMEZA | BongoLife

$hide=mobile

SIFA ZA JANUARI | NGUMU KUMEZA

*KWA WAPENDWA  WAOMBAJI, WATUMISHI,  NA MARAFIKI ZANGU*.

Kuna Msemo Ambao umekuwa ukitumika sana  Kipindi hiki tunachokiendea kuwa Januari ni *Ngumu*.
*Mimi  kwa Kutafakari na Kujiandaa Kuupokea Mwaka 2019 Mungu amenipa Kuuona Mwezi Januari katika Sifa Zifuatazo na Ninaomba Nizilete Kwako*

 SIFA ZA JANUARI.

1. JANUARI NI LANGO LA MIEZI YOTE 12 YA MWAKA 2019.
2. JANUARI NI KIFUNGUA BARAKA ZOTE ZA MWAKA 2019
3. JANUARI NI MWEZI WA KIBALI CHA KUINGIA, KUMILIKI NA KUTAWALA 2019
4. JANUARI NI KIPIMO CHA KUKUBALIKA...MAANA YAKE..USINGEKUBALIKA UNGEKUFA 2018.
5. JANUARI NI MWEZI WA KUCHANUA KWAKO KWA KILA UNACHOKUSUDIA KUFANYA 2019...
6. JANUARI NI MWEZI WA VIWANGO...MAANA YAKE UMEONGEZEKA MWAKA, UTAONGEZEKA KWA KILA KITU.
7. JANUARI NI MWEZI ULIOBEBA MAONO YAKO YOTE 2019
8. JANUARI NI MWEZI MSINGI. MISINGI UTAKAYOIWEKA JANUARI NI UHAKIKA WA UTAKACHOJENGA 2019.
9. JANUARI NI MWEZI WA UPYA..WAZO JIPYA, AKILI MPYA, MAFUNUO MAPYA, KAZI NA MIRADI MIPYA, NGUVU MPYA, MAARIFA MAPYA.
10. JANUARI NI MWEZI WA USHINDI.

Nakuomba Sana.

USIITAMKE JANUARI KWA MADHAIFU, WALA KWA SHIDA WALA KWA UPUMBAVU NA KUKOSA HEKIMA......KUMBUKA AONAVYO MTU NAFSINI MWAKE NDIVYO ALIVYO.

IONE JANUARI KWA SURA YA USHINDI NDIVYO ITAKAVYOKUWA.

BARIKIWA NA VUKA KWA USHINDI.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIFA ZA JANUARI | NGUMU KUMEZA
SIFA ZA JANUARI | NGUMU KUMEZA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/sifa-za-januari-ngumu-kumeza.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/sifa-za-januari-ngumu-kumeza.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy