NJIA ZA KUZUIA KUTAPIKA WAKATI WA UJAUZITO | BongoLife

$hide=mobile

NJIA ZA KUZUIA KUTAPIKA WAKATI WA UJAUZITO

〰〰〰〰〰


*NJIA ZA KUZUIA KUTAPIKA WAKATI WA UJAUZITO*

*------•○●☆●○•-------*

Kutapika kwa mama mjamzito inaleta kero na mama huyo kukosa raha mara nyingi. Miezi ya awali ya ujauzito hua na changamoto hii sana lakini ikiendelea inaleta karaha kabisa, unaweza kuzuia hali hii kwa njia zifuatazo.


1..Kula matunda au mkate wa kukaushwa asubui

2..kunywa vinywaji nusu saa kabla ya kula au baada ya kula. Usile na kunywa kwa wakati mmoja.

3..Kunywa maji mengi sana kuzuia upungufu wa maji mwilini (dehydration). Jitaidi kunywa lita 2.5 kila siku na pamoja na juisi ya matunda.

4..Epuka kulala baada ya chakula

5..Pata muda wa kupumzika wa kutosha na pata kusinzia mchana

6..Fanya mazoezi

7..Ndimu na tangawizi husaidia kupunguza na kuondoa kichefuchefu. Unaweza kunywa juisi ya ndimu au tikiti maji.

8..Epuka kupita sehemu yenye harufu ya chakula

9..Epuka kula vyakula vyenye pilipili au viungo vingi

10..Pata hewa (Oxygen) ya kutosha na fungua madirisha ili hewa iweze kuingia

11..Usiache kula au kuruka milo.

⚪⚪⚪
Hizo ni kati ya njia chache za asili kati ya nyingi. Tatizo likizidi muone daktari kwa matibabu zaidi na vipimo zaidiCOMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : NJIA ZA KUZUIA KUTAPIKA WAKATI WA UJAUZITO
NJIA ZA KUZUIA KUTAPIKA WAKATI WA UJAUZITO
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/njia-za-kuzuia-kutapika-wakati-wa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/njia-za-kuzuia-kutapika-wakati-wa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy