Nilianza kutongozwa na miaka 17

Irene 
Nilianza kutongozwa na miaka 17.

Nilikuwa naogopa sana mapenzi.
Hasa mimba na ukimwi. Hivyo sikukubali kabisa mchezo wa mapenzi.
Nilipomaliza kidato cha sita na kuanza chuo nikiwa na miaka 21 nikasema nami nitatamani kuwa na mpenzi.
Nilianza kuwa na mpenzi nikiwa na miaka 21.
Mwaka wa kwanza chuoni.
Baada ya miaka minne nilipomaliza chuo nilikuwa tayari nimeshabadilisha wavulana wanne.
Nilipopata kazi nikasema sasa sina jipya kwenye mapenzi wacha nitulie ningoje mume wangu.
Nilipoamua kutulia kumbe wanaume wanaona.
Akaja mwanaume. Akaniambia ananipenda sana.
Hapo ni nikiwa na miaka 26.
Akanibembeleza sana.
Akaniambia ni mume wa mtu ila mke mkorofi sana.
Akaanza kunihonga pesa za haja.
Wakati huo napokea mshahara laki sita. Hivyo nakataaje milioni tatu ama nne?
Nikashindwa kabisa kukataa.
Akanipangishia nyumba nzuri sana.
Akaninunulia gari nzuri sana.
Na akaniambia kamwe nisimuache na nisithubutu kumdanganya.
Haikuishia hapo,
Safari za nje ya nchi Dubai na China tulisafiri sana.
Na South Africa.
Nilikutana na Irene Mbowe Airport mwaka 2010. Akiwa naye anasafiri kwenye trade fair Indaba.
Aliniambia mambo mengi kuhusu mahusiano  yasiyo na afya akimaanisha kuwa na mume wa mtu.
Yaliniingia maneno ila nikayapuuza.
Miaka ikasonga.
Ikasonga hasa.
Nikaachana na yule mwanaume na kupata mwingine ambaye pia ni nume wa mtu.
Nilijikuta najichukia sana.
Leo nakumbuka maneno ya Irene kwamba yale Mahusiano hayakuwa na Afya.
Yule mwanaume karudi kwake,
Wote wako na familia zao.
Sasa nina miaka 44.
Ninasikia uchungu nikikutana na wanawake wako na Familia zao.
Nilijipotezea muda kwa tamaa ya mali na pesa na vitu na kuringia urembo.

Msichana naomba nikushauri,
Jua kwenda na wakati.
Jua kuwa na malengo.
Wanawake wengi tumedanganywa na pesa,urembo na waume za watu. Leo tunajutia muda.
Sasa nina 44 yrs,lini nianzishe familia lini nizae lini nisomeshe?


MAMA ULIYE NA FAMILIA YAKO HATA UKISIKIA MUMEO ANA MWANAMKE WA NJE MUOMBEE. MAANA HUWA TUNACHEZEWA TUU NA KUACHWA.
TUNAFAIDI PESA NA VITU ILA TUNAPATA HASARA YA MUDA NA FAMILIA.

Ama kweli kuna mahusiano yasiyo na Afya.

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : Nilianza kutongozwa na miaka 17
Nilianza kutongozwa na miaka 17
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2018/12/nilianza-kutongozwa-na-miaka-17.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/nilianza-kutongozwa-na-miaka-17.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy