NGUMU KUMEZA : BINTI WA KAZI AFANYIWA UKATILI NA BOSS WAKE

 Leo Nina mkasa nimeukuta hospitali ya mkoa wa Dodoma nilienda kusalimia wagonjwa,nikakuta binti wa kazi amelazwa kapigwa na boss wake mpk kamjeruhi,,,kisa alichelewa kuamka kumchemshia maji ya kuoga huyo mama ambae ni mwalimu wa shule ya msingi mlimwa C iliyopo hapa mjini Dodoma. Binti anaonekana kidogo anamatatizo ya akili japo anajielewa vzr,alipata ujauzito boss wake akamwambia asiseme kwa yeyote km ana mimba,mpk kajifungua kamwambia asiwaambie ht majirani km ana mtoto kwan hapo hakuja kuzaa bali alikuja kumlelea watoto wake,kwahiyo huyo mtoto akawa anamfungia kweny kabat lake la nguo huyo boss ili majiran wasisikie sauti ya mtoto kwa muda wa miezi mitano had Jana alipompiga had akazimia ndo siri ikagundulika,,binti yupo Hosp na mwanae,hali ya hako katoto ni ngumu mnoooo,ukiambiwa anamiez mitano huwezi kuamini,kwakweli nimeumia had nimeliaaaa,,,sijaamini sisi wanawake km ni wakatili kwa kiwango hiki,nimeumia mnooo km utaona yafaa peleka kwa group wamama wengine waone unyama huu na wenye roho za kiuaji km hizi waache tafadhari​​

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : NGUMU KUMEZA : BINTI WA KAZI AFANYIWA UKATILI NA BOSS WAKE
NGUMU KUMEZA : BINTI WA KAZI AFANYIWA UKATILI NA BOSS WAKE
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2018/12/ngumu-kumeza-binti-wa-kazi-afanyiwa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/ngumu-kumeza-binti-wa-kazi-afanyiwa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy