MTAA WA TATU SEHEMU YA 14 | BongoLife

$hide=mobile

MTAA WA TATU SEHEMU YA 14

*MTAA WA TATU EP 14*

 _MWISHOOOOO WA SEASON ONE ENDELEA KUFATILIA SEASON TWO_

SEASON TWOO


“dahaa pole sana kaka unajuwa sisi wanaume wengine sio kabisa
Sema bi mkubwa wako ana moyo wa kijasili sana maana angekuwa Mwanamke mwingine ushatupwa kitambo tu”…
Hafidhi akabaki kucheka maana Jackson anaongea balaa
“sasa Yasri mi natoka naona kila kitu kiko fresh so ukiwa na shida yeyote nicheki
Chumba cha nnje hapo kile cha katikati!”
Kisha Jackson akatoka zake na kumuwacha Hafidhi akikithaminisha chumba chake,
Baada hapo akatoka zake nnje
uzuri wa nyumba hiyo kuna umeme na bomba la maji
kusema kweli hakuwa na ndoo hata moja ikabidi amuombe Jackson akapatiwa ndoo kama tatu akakinga maji na kuziingiza ndoo chumbani kwake,
Ni siku mbili zimepita tokea mzee wa nyapu ahamie makazi mapya,
tukija pande za Kinondoni studio ndani ya nyumba moja wapo bibiye Vivian alikuwa kajilaza kitandani kihasara hasara huku akizitizama picha kwenye simu ya Hafidhi
“baby kwanini umenikimbia nimemiss joto lako wangu mahabuba
mwanao analia yuko wapi baba.
Richard tafadhali njoo unikumbatie, nasikia baridi my dear
Usiku silali nakuwaza wewe siku ya nne leo sijakutia machoni
Embu nijibu basi utakuja lini”…wakati anaongea ghafla akashtuka baada kuhisi kuna mtu dirishani kwake sijui anakata nyavu, akainuka kimya kimya na kuichukuwa bastora yake huku akijisemea
“hawa wapumbavu nina hakika nitawafundisha adabu, kama wamezoea kuvamia madirisha yawatu na kupulizia madawa ili waibe hapa wameingia anga sizo kabisa kwa mwendo wakunyata akaambaa na ukuta kisha akakishika kitasa cha mlango ile kufunguwa tu akajikuta anadakwa mkono
kwakuwa nae alikuwa Commando akajitowa na kujizungusha kisha akageuka bastora yake ikiwa mikononi kamuelekezea yule mtu
Ndani ya chumba hicho kulikuwa giza tu.
“wee nani unataka nini ndani ya chumba changu? Nijibu haraka kabla sijakumwaga ubongo”…
Vivian akawasha taa kwanza hakuweza kuamini kumuona kipenzi chake ambaye yeye anamuona kama Richard
sema alikuwa Hafidhi basi akaitupa bastora yake pembeni na kwenda kumrukia kwa kumkumbatia
hakika ilikuwa bonge la furaha kwa upande wake.
“Richard ni wewe kipenzi changu
opsiiiii,,,,,,asssssss,,,,ahaaaaaa,,,,Vivian aliuliza huku akianza kugugumia kwa utamu wa kunyonywa denda.

Denda likawa dendeka kila mmoja alikuwa na hamu na mwenzie
Hafidhi alilipenyeza dole lake lililoingia ndani kabisa ya kitumbua cha Vivian si unajuwa ndani hakuvaa kitu usiku huo bibiye alikuwa ameshaanza kulegea.
Dole la Mzee wa nyapu lilizama ndani ya kitumbua na kukisugua kile kiarage chake cha soya. Kilichosimama kwa hamu, basi kwa kupagawa na utamu aliamvuta Hafidhi na kuendelea kumpa zawadi ya denda,walinyonyana ndimi zao huku Dole likiendelea kuzama kwenye kitumbua kilichonona kwa kutuni mashavu yake ya pembeni
Vivian kwa kujiachia alijitanua mapaja yake ili kuruhusu Dole lipenye vyema kwenye kitumbua chake kinono kilichoanza kutoa mchozi wa utamu.
Mwanaume
hakukubali kunyonyana denda muda wote aliona kama atapoteza muda tu alijitoa ulimini na kuhamia kwenye ngome za masikio yake masafi yaliyokuwa na tundu.
Fulani dogo lililomwezesha kupenyeza ulimi wake alioukunja na kuwa mwembamba kisha akauingiza ndani ya masikio,,,,aaaaaaaaaah,,,aaaaaaaaaaaah,,,ooooooh,,,ssssssssssssssss,alilalamika huku Mwanaume akiendelea na zoezi lake la kumsugua kiarage chake na dole lake mpaka kuna muda aliingiza viwili kabisa.
Mikono ya Vivian ikaanza kutafuta dudu lilipo ambapo alilitoa na kumvutia kitandani
Hafidhi aje amsugue,basi akajilaza huku mwanaume akimpandia kwa juu na kumwingiza dudu lake lililoingia kwa kuteleza kutokana na kuwepo kwa ute wa kutosha.
Ndani ya kitumbua chake,,,,,aaaaaaaaaah,,,,,aaaaaaaaaah,,,,ilikuwa ni kazi ya dakika kumi na tano ambapo Hafidhi alipokojoa naye Vivian alikuwa hoi.
Mtoto wa watu alilalamika wakati mchezo ukichezwa,hatimaye alimwaga bao lake dakika za mwanzoni kabisa na kumsubiria Hafidhi naye aachie bao lake,
Mtoto alipokuwa akikatika miuno kama feni hapo Ndipo ilimbidi Hafidhi amzibe mdomo, kwani hizo kelele alihisi sio zitawaamsha watu tu bali zinaweza kuwaleta watu kwa kudhani kuna mtu anapigwa vibaya,,,aaaaaaaaaaaaaah,,,kojoaaaaaaaaaaaaaaaaa,,babiiiiiii,tamuuuuuuuuuuu,,,dudu lakoooooooo tamuuuuuuuuu,,,kojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,aaaaaaaaaaah,,,alisikika hivyo Vivian akimpa mzuka Hafidhi aweze kukojowa ajabu akakojoa yeye la pili.
Ambapo mpaka yeye mwenyewe alijishingaa siku hiyo,bao lilikuwa jingi hasa mpaka kitanda kililowa pia,hapo Mpira haukuweza kuchezeka kwa raha kwani Mimaji ilikuwa pwa pwa pwa!
Kesho yako yake asubuhi yapata kama nne
Vivian akashtuka kutoka usingizini baada kusikia sauti ya mlango wake ukigongwa,
akajinyanyuwa kiuvivu kutizama pembeni yake Hafidhi hayupo.
Basi akaenda kufunguwa mlango
na kukutana na kina Mariam
“mmh! Mbona hivyo mwenzetu kulala gani mpaka saa hizi ushakuwa boss au!”
Yusra cha maswali akauliza kwanza
Vivian akamkata jicho huku akipiga miayo ya uchovu akamuuliza
“kwahiyo hiyo ndio salamu ehee?”
“I’m sorry za asubuhi Dada yangu?”
wakaingia ndani huku simu ya Vivian ikawa inaita akaipokea na kusikika akisema
“ehee ndio nimekuelewa nipo nao
ok! Tunakuja sasa hivi!” Akakata simu na kuitupa shuka kule akabaki uchi na kukimbilia bafuni huku wenzake wakibaki kucheka maana kiongozi wao full vituko.
Dakika si nyingi akatoka bafuni na kujifutafuta maji akajipaka Rosheni
Akiwa vilevile mtupu aogope nini wenyewe washazoeana ukichukulia wote wanawake
basi akavaa na kuchukuwa kila kitu chake huku akisema wanaitajika makao
makuu haraka sana kuna tatizo limetokea
“nani kaichukuwa bastora yangu?”
Vivian akauliza swali kila mmoja akakataa
“ohoo Mungu wangu wee Hafidhi
kaondoka na bastora yangu”
Vivian alisema hivyo huku akijishika kichwa kwa kukata tamaa
si Yusra wala Mariam wote wakashikwa na mshangao”…….

“Unataka kusema Hafidhi alikuwepo humu chumbani kwako? Alikuja muda gani na saa ngapi?”
Mariam aliuliza maswali mfurulizo akiwa kama na kawivu fulani ndani ya moyo wake,
“ndio maana yake alikuja usiku wa leo kama saa nane hivi tukala raha zetu
Mtoto wakike nikazidiwa na kulala sikuweza kufahamu sijui kaondoka muda gani, aisee!”
“sasa kama hivyo shost huo ni bonge la msala maana tambuwa kitu kimoja
yule ni muuwaji wa kutisha kama
kaondoka na siraha yako unategemea nini hapo utaingia matatizoni, kama hutofanya kitu cha kumzuia”

“sasa nitamzuia vipi wakati sifahamu kaenda nayo wapi ahaa kibaya zaidi zile
Document na ile CD kaondoka navyo”

“usijiulize utafanyaje cha umuhimu mpigie simu muombe chondechonde asiitumie”
Tukija pande za mbagala jilani na nyumba aliyokuwa kapanga Hafidhi kulikuwa na makelele ya binti akilia
sijui anapigwa au yupo kwenye mambo yetu
“niachee!!! Mi staki jamanii iiiiiiiiiiii,,,,opsiiiii
Sauti ilikuwa kubwa mpaka Hafidhi akaona kero.
Na kubaki kujiuliza “hivi huyo sister anapigwa au vipi’’ sema hakuweza kupata jibu la swali lake ikabidi
amuulize Jackson “hivi kaka huyo binti vipi mbona hivyo?’’ Jackson alikuwa anafuwa nguo zake akamjibu
“kaka wee acha tu huyu malaya sijui ana mizuka ya wapi’’….. yani ana mizuka mibaya kweli katika yale
mambo yetu usikute hapo kaingizwa kidole tu imekuwa shida tupu subiri achomekwe rungu hizo kelele
zake utasema anataka kuchinjwa vile kwa kifupi huyu binti shida tupu’’ Hafidhi akaanza kucheka si
kidogo maana katika maisha yake hakuwai kumuona mwanamke kama huyo na kujisemea hii mbona
balaa’’ basi akaendelea kusikilizia mapigo ya huyo binti na kujikuta Dudu lake linadinda pasipo
kutegemea
“osiiiii,,,,ahaaaa,,,,,ohooooo,,,uwiiiii,,,usiiiingize,,,,yote,,,mmmmmm,,,,uhuuuuu,,,babiiii,,kichwaaaa,,,hik
o” yani ilikuwa shida tupu.
Hafidhi akabeba ungo wake maana alikuwa akichambuwa dagaa akaingia nao ndani kwake, “vipi kaka
mbona unaniacha mwenyewe hapa nnje vipi tena?’’ Jackson akauliza swali huku nae akicheka baada
kugunduwa jamaa mambo yamekuwa magumu kwa upande wake.
Hafidhi baada kuingia chumbani kwake akaikuta simu yake ikiita akaichukuwa haraka na kuitizama
mpigaji alikuwa bibiye Vivian “halloo,, my dear niambie’’ sauti ya kama mtu akilia ikaweza kusikika
upande wa pili, Hafidhi akashtuka na kuuliza “halloo baby nini tatizo? Nini shida? Niambie please “
“Hafidhi, kipenzi changu kwanini unataka kuniangamiza mimi na mwanao kwanini unataka kufanya kitu
kama hicho’’ mpaka hapo mwanaume hakuweza kuelewa chochote kile wala hakuweza kufahamu Vivian
anamaanisha nini kuongea hivyo . Ikabidi aulize
“Vivian mbona sikuelewi unamaanisha nini kuongea hivyo nani amekwambia nataka kukuangamiza?’’
“Hafidhi wee hujui tu lakini kitendo cha kuondoka na siraha yangu tambuwa ukiitumia tu nitakamatwa
mimi’’
“hapana baby siraha yako sikuondoka nayo kabisa kwanza mimi katika mapambano yangu siwezi
kutumia hiyo kitu nilicho fanya ni kukuhifadhia kwenye hiyo droo ya kitanda baby angalia hapo
utaiyona’’ baada Hafidhi kusema hivyo.
Ikasikika saurti ya Vivian akipumua maana alishaingiwa na hofu si kidogo, kimya cha dakika kama mbili
hivi kikachukuwa nafasi kisha Vivian akasema “thank you my husband nimeweza kuiyona vipi baby
nikupikie chakula gani my dear’’
Hafidhi akakata simu, kwa upande wa bibiye Vivian aliweza kutambuwa kipenzi chake kachukia kuhusu
lile swala akajaribu kumpigia simu ikajibiwa haipatikani akaona sio mbaya akiacha ujumbe wa kuomba
msamaha. Aliandika hivi “nafahamu ni kwakiasi gani umechukia kipenzi changu tafadhali baby nisamehe
niliingiwa na hofu kuhusu mwanetu wala sio mimi kama kweli umenisamehe ujibu ujumbe huu’’ ilikuwa
siku ya Desember 1 siku hiyo kulikuwa na maadhimisho ya miaka 53 tokea Tanzania ipate uhuru wake
kutoka kwa wakoroni. Watu wengi sana kutoka mikoani na nnje ya nchi waliweza kufika ndani ya uwanja
wa taifa. Waweze kushuhudia maadhimisho hayo, muheshimiwa Raisi aliweza kufika akiwa kaongozana
na mkewe kipenzi , basi sherehe ikaanza kwa kupigwa ngoma za asiri kisha ngonjera wakaja wasanii wa
bongo fleva.
show ilikuwa babu kubwa kila mmoja akaenjoi vya kutosha kwenye jukwaa la wananchi tunamuona Hafidhi akishuka zile ngazi kwa kasi kisha akachumpa kulifata jukwaa ambalo Raisi alikuwa amekaa na mkewe,

Mzee J Ikram nae alikuwepo maeneo hayo kitendo cha kumuona mwanae akipiga hatua za haraka
kuelekea sehemu ambayo muheshimiwa Raisi amekaa na mkewe, kilimshtuwa sana, akakumbuka kauli ya mwanae kutaka
kumuuwa mke wa muheshimiwa akapaza sauti “walinzi!!! mlindeni mke wa muheshimiwa
sauti ilikuwa kali si yupo karibu na Mic basi vikosi vikajipanga kutaka kumzuia Hafidhi mwenzao akapiga
bomu la machozi na kupotea wakabaki kung’aa sharubu tu, na kujiuliza yuko wapi mwanaume
akatokezea kama nyau akiwa ameshachenji mavazi akaruka juu na kwenda kutuwa kwenye jukwaa
ambalo waheshimiwa wapo haikuchukuwa dakika nyingi kwake kuwafinya walinzi na kutupwa huku na
kule kisha akamuwekea jambiaa shingoni mke wa muheshimiwa bibiye Anna akabaki kutetemeka tu. Chezea kuchinjwa wewe utajamba,
“rudini nyuma yeyote atakaye thubutu kunisogelea basi kichwa cha huyu malaya ni halali yangu
kila mmoja akarudi nyuma kwa uwoga.
“skia nikwambie kitu wee nyau pusi naitaji uutangazie huu umati wote wewe ni nani kisha nitakuacha
mzima vinginevyo natowa kichwa chako’’ bibiye Anna huku akitetemeka ikabidi atii amri kwa kusema
“Ndugu Wananchi mimi sio mtu mzuri mimi ni muuwaji mtesaji muuza viungo vya watoto yatima kwa
matajili hata nnje ya nchi mimi ndio kabla hajaongea zaidi risasi ikatuwa kwenye paji la uso wake wake.
Hakika
alikuwa ni Snipe wa hatari sana kila mmoja akashtuka huku Hafidhi nae akipotea kwani ukatokea mkanyagano si kidogo
Vilema masikini ya Mungu wee mbona walijuta kwenda huko.

Kila mmoja alitaka kuiokowa nafsi yake baada kuona mke wa Raisi kapigwa risasi ya uso na kudondoka chini akiwa
chali,
Hafidhi kumbe hakuweza kwenda mbali na eneo hilo kwenye akili yake alikuwa akimtafuta huyo Shooter amejificha wapi yani akamsaka kila kona hakuweza kumuona wakati huo
Vikosi vinazidi kuongezeka sijui
Jwtz FBI yani kila kitengo vikafika muuwaji atafutwe popote alipo,
Hafidhi hakufanya mauwaji lakini nae atafutwe tu,
Nnje ya uwanja wa taifa kulikuwa hakupitika kabisa barabara zote zikafungwa huku
Raisi akipakizwa kwenye ndege ndogo na kuondoka zake,
“Copro William”
“naam mzee”
“naitaji yule kijana apatikane haraka sana, inaonekana ni jinsi gani anafahamu mambo mengi kuhusu watu kufanya mambo ya kishetani katika nchi him”…..
Muheshimiwa Raisi aliongea hivyo huku akijifuta jasho.
Yani huku taifa kulikuwa na kivumbi jasho wenye kuweza kukimbia walikimbia wasioweza ndio hivyo tena wakaishia kukanyagwa tu,

Wakati huohuo 3Sisters wanaingia kwa mbwembwe zote kila mmoja akiwa na pikipiki yake,
Yani muuwaji alitafutwa kila kona magari yalikaguliwa polisi hawakuweza kuona mtu
“itakuwa muuwaji kajichanganya na huu umati wawatu kisha akatoroka
maana kila kona, kila nyanja hakuna kitu”
“itakuwa hivyo maana haiwezekani kumtafuta kote huku tusiweze kumuona”…
Basi wakatoka nnje ya jengo huku wakitowa tangazo kila mtu akamatwe na kuchunguzwa
3Sisters baada kufika eneo la tukio cha kwanza kukifanya ni
Kuichunguza maiti ya bi Anna
wakapima ile risasi ilipotokea na kuweza kupata kitu kuwa muuwaji alikuwa amekaa wapi Yusra akatoka mbio kumuwai ni akili tu
za kukisia hisia zikaja
Nnje kidogo ya uwanja huo kuna kijana mmoja mwenye asiri ya kutoka sijui America au wapi alionekana akitembea kwa kujiamini sana huku akiwa kabeba begi
jeusi akashtukia sauti yakike ikimwambia
“wee simama hapohapo”
Kijana akasimama na kugeuka.
“je unaweza kuniambia ndani ya begi lako kuna nini ndani yake?”
Kabla ya kujibiwa angalia jamaa mchezo alioucheza utaipenda hii yani akafanya kumrushia lile begi Yusra ile anajianda kulidaka tu akapokea mateke ya double kick na kutupwa kule,
Jamaa akajizungusha na kulivaa begi lake juu kwa juu
Hakika anatisha vibaya mno”…….

Bibiye Yusra akaona wee usintanie kumbe unataka kuuwasha moto, wacha ukuwakie
Akamfata kwa kasi na kuanza kurusha makonde ya maana, wakati jamaa alikuwa akizitowa na kupanchi kwa dharau kama haitoshi akampa mgongo kabisa,
Basi bibiye kila akipiga zinatolewa na kupigwa yeye hakika
Agent alikutana na chuma cha puwa,
bibiye alipigwa teknick za chembe
Ghafla akakamata kichwa cha bibiye na na kumvunja shingo, yani kilikuwa kitendo cha faster
Bibiye kuanguka chini utasema mzigo wa kuni kisha jamaa akasema
“wasalimie kuzimu kitu chamoto kikapita karibu ya sikio lake ilikuwa risasi akatizama mbele kuna mabinti wawili wanakuja kwa kasi, akaona isiwe shida akaruka juu kwa kuchumpa na kupotea eneo hilo
“Yusra!!!
Vivian baada kufika hapo akafunga break huku akimuacha mariam akiendelea mbele zaidi
Akaita kwa sauti ya chini sana huku akiinama na kuushika mwili wa bibiye Yusra kwa wakati huo alikuwa tayari kaenda mbele ya haki.
“Yusra mpendwa wangu please inuka basi tuendelee na mapambano Yusra mdogo wangu huwezi kulala hapa
inuka!!! fumbuwa macho
Yusra utatuachaje katika kipindi hiki”…
Binafsi Vivian alilia si kidogo hata
Mariam aliporudi hakuweza kuamini nae akapiga goti chini wote walilia kwa pamoja hakika lilikuwa bonge la pigo kwa upande wao kumpoteza Commando mwenzao katika hatuwa za mwanzoni kabisa, polisi wakafika
mwili ukachukuliwa na kwenda kuhifadhiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili,
“Yasri kaka”…..
“naam niambie ndugu yangu”…
“embu toka ndani njoo uwone matukio yaliyotokea uwanja wa taifa leo hii!”
Jackson alikuwa akimwambia Hafidhi aje kuangalia taarifa ya habari.
Nae akatoka chumbani kwake na kwenda kuangalia hiyo taarifa ijapokuwa anafahamu tukio zima jinsi lilivyo,
Akakodolea macho television ndogo yani nchi sijui kumi na nane,
Akapata mshtuko baada taarifa ya kifo cha bibiye Yusra kutangazwa hakika
akashindwa kuendelea kutizama akarudi chumbani kwake mchozi ukimtoka
“yani Yusra kauliwa
Hakutaka kupoteza muda akavaa nguo zake na kwenda kumuomba funguo ya pikipiki
Jackson,
“sema nini kaka chombo wese hamna kabisa kama vipi ukifika nayo pale Zakhiem nenda kaweke,
“usijali nipatie funguo”
Hafidhi hakuwa na raha tena kwenye akili yake aliwaza vitu tofauti kutokana na kifo cha Yusra baada kufika
Zakhiem na kujaza mafuta full tank akaendelea na safari mpaka ndani ya Hospitali ya Muhimbili hakupata shida kuulizia kwani ile anafika tu
akamuona Vivian akija mbio huku akilia na kumkumbatia,
sasa ilikuwa kazi ya kumbembeleza kipenzi chake,
Mariam nae alikuwa akibembelezwa na ndugu zake, binafsi ulikuwa msiba mzito wacha ule wamke wa Raisi
Hatimae siku ikafika Yusra Salimu wazazi wake na ndugu zake wakiwa wanaishi Ilala mtaa wa Lindi ndipo msiba ulipo fanyika hatimae akazikwa, huku baba yake
Marehemu akiwaomba kina Vivian kufanya kitu kizuri kwa ajili ya kulipa kisasi cha ndugu yao,
Hafidhi akiwa pembeni alikuwa makini kusikiliza maneno ya mzee
“Assalam alaykum kwa ndugu zangu Waislam
Na bwana Yesu asifiwe kwa wale wasiokuwa Waislam, kwanza kabisa nimesimama hapa kwa niaba ya mwanangu mpendwa binti yangu, ambaye leo hii hatuko nae,
Yusra ametutoka akiwa na umri mdogo sana ndio kwanza miaka ishillin na moja
Yusra siku zote ndoto yake ilikuwa aje kuwa
Commando mwenye kutumainiwa mwenye kutetea hali za wanyonge
Ndoto yake hii ikaweza kutimia baada kujiunga na chuo cha U.S.I kitengo ambacho kinajitegemea chenyewe hakifungamani na upande wowote si serikali wala nini
Leo hii akaweza kuchukuliwa na serikali mara ya mwisho alikuja nyumbani akiwa na furaha huku akisema kapata mchumba
siku si nyingi atamleta nimuone
Ndoto imekatika ghafla kama mshumaa
3Sisters haipo tena
Naomba kama huyo kijana ambaye ndio alitaka kutamburishwa na mwanangu
yupo hapa msibani basi asisite kujitokeza
niweze kumtambuwa mkwe wangu,
Yani mzee aliongea huku akilia,
Ajabu akajitokeza
Hafidhi na kwenda kumshika baba yake Yusra na kumwambia
“usijali mzee mkweo nipo hapa”
Vivian na Mariam wakabaki kushangaa inamaana hadi Yusra alikuwa mpenzi
wake.
Mmh! mbona balaa”….
Mariam akajiwazia hivyo,
“ohoo karibu sana kijana embu tuingie ndani, basi mtu na mkwewe wakaingia ndani sa sijui kweli au Hafidhi kazuga tu
maana hatukuwai kumuona
Akiwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu,
ilichukuwa kama nusu saa hivi
Mwanaume akatoka ndani ya nyumba hiyo akamsogelea Vivian na kumnong’oneza kitu akaenda kwa Mariam akafanya hivyo hivyo kisha akaondoka
safari yake ikampeleka hadi sehemu moja hivi kulikuwa na vijana wakicheza mpira wa basketball
Akapaki pikipiki yake na kupiga hatua kuingia ndani ya uwanja huo
akaingiza mkono wake kiunoni na kuchomoa kisu kidogo hivi, ilikuwa pande za
Don bosco mitaa ya Upanga
vijana nao walikuwa hawana hili wala lile wakiwa bize kucheza mpira ukarushwa juu
Mwanaume akaruka na kuudaka yeye kisha akautoboa kwa kisu
kitu puhuu ndio sauti iliyosikika baada mpira kupasuliwa,

Vijana wote wakabaki kutizamana pasipo kufahamu nini chanzo mpaka mshkaji kaupasusuwa mpira wao,
“wee kudadeki zako mtoto wa malaya umetumwa au? Ndio nini kutupasulia mpira wetu”…
mmoja kati ya vijana aliongea hivyo huku akimsogelea Hafidhi sema akasita na kusimama ghafla baada kuona mshkaji kashika kisu,
“Patrick vipi mbona unamchelewesha huyo pimbi?”
“njoo wewe jamaa kashika kisu sijui Zombie huyu au Vampire, mbona kasimama tu haongei kitu
Ghafla mwanaume anakuja,
Patrick akaanza kurudi nyuma kwa hofu sema alishachelewa
na kujikuta kisu kile kikituwa kifuani kwake, vijana wengine walianza kukimbizana huku na kule kwa kuruka senyenge
Maana sehemu ya mlango kulionekana hakutoshi
kumbe mwenzao shida yake ilikuwa ni Patrick si mtu mwingine baada kumkita kile kisu sehemu ya moyo
Patrick akabaki kupapatika tu huku damu nyingi zikimtoka,
Hafidhi akaushika mpini wakisu kile na kukichomoa akakifuta damu kupitia nguo za
Patrick kwa wakati huo roho yake
Ishaenda kwa Mungu baba baada kufanya mauwaji mwanaume bila kuwa na wasiwasi wowote akasogelea sehemu ya
Mabegi yalikuwa kama mabegi sita hivi, sema yeye akachukuwa moja
na kuondoka nalo,
Akiwa hatua kadhaa baada kutoka nnje ya uwanja ule akapishana na kijana vijana kama wawili wakiwa na pikipiki
sema hakutaka kuwajali sana akaishia zake,
Kati ya wale vijana wawili mmoja
alikuwa yule Shooter aliyefanya mauwaji kule
Uwanja wa taifa kwa kumuuwa bibiye Yusra na Mke wa Raisi bibiye Anna,
nao wakaingia eneo la tukio
Shooter akaruka kwenye pikipiki na kuukimbilia mwili wa Patrick huku akiita
“Patrick!!!…mdogo wangu
Patrick”…..inuka nani kakutendea hivi fumbuwa macho unitizame kaka yako niko hapa
binafsi jamaa akadata aisee alilia na kumbeba mdogo wake kwania ya kumuwahisha hospitali
hakujuwa kama roho tayari ishaacha mwili
Patrick hakuwa yeye tena zaidi ya kuitwa marehemu,
“Steven mwanangu nilikwambia mimi
kuhusu hayo makundi yanu ipo siku mtaingia njia mbaya,
leo hii umeona kaanza mdogo wako
Steven kwanini hutaki kunisikia mwanangu”..
Sauti yakilio ilisikika ikitokea kwa mama mmoja huku akimwambia maneno
hayo yule Shooter kumbe anaitwa
Steven,
“hapana mama kifo cha Patrick sababu sio hiyo ni ajali kazini,
Mama mdogo wangu ataamka muda gani please nijibu!”
Steven alizungumza kwa sauti ya ukali,
“halloo baba kama ulivyoweza kusikia taarifa ya kifo cha huyo kenge nishamuuwa”
Hafidhi akaongea kwa simu.
Sauti ikasikika upande wapili ikimpa pongezi
“vizuri sana kajana.
hakika wewe ni mwamba usiogopa kitu,
Kama ulivyoweza kuniahidi,
Shukrani kwa kazi nzuri”
“lakini mzee naona kama umeniacha njia panda kuhusu hili swala
Umejuwaje kama yule ndio muuwaji wa mwanao?”
Hafidhi akauliza swali,
Sauti ikasikika ikimjibu
“hapana yule sio muuwaji wa mwangu ila ni ndugu wa muuwaji”
“what!???
Kwanini sasa ukanituma kumuuwa mtu sio wakati unajuwa ni kosa kufanya hivyo”…

“kijana embu shusha presha nisikilize mimi
Baada kuangalia katika TV yangu ya asiri niliweza kuliona tukio zima jinsi mwanangu alivyoweza kuzidiwa
Mbinu za upambanaji hatimae akavunjwa shingo baada hapo muuwaji
Akakutana na huyu kijana na kumpa kazi
ya kumuuwa bibiye Vivian ni mmoja kati ya madada wanaounda kikundi cha
3Sisters imekuwa vizuri umemuwai
Subiri nikutumie video ya tukio zima na picha ya huyo
Muuwaji ndio nadawnload kwenye TV asilia hapa”
Simu ikakatwa.
Dakika si nyingi video na picha vikaingia kwenye simu ya Hafidhi kupitia
Whatsapp hakuweza kuamini baada kuweza kuiyona picha ya muuwaji akakumbuka alipishana nae ile jana wakati akitoka kufanya mauwaji.
Akaitizama hiyo video na kuona jinsi Yusra alivyopigwa kama mtoto, akabaki kusikitika tu na kutamani huyu jamaa angekuwa mbele yake mbona angejuta,
“Babu fanya mambo yawe mambo
Nichekie huyo mpumbavu ni nani”…
Steven baada kumzika mdogo wake hakukaa sana akaenda kwa mtaalamu akiomba atizamiwe huyo aliyemuuwa mdogo wake ni nani.
“kijana embu tulia kaa chini tambuwa hapa ndio mwisho wa matatizo
Huyo mdogo wako anaitwa nani? kafia wapi? na muda wa kifo chake umetokea saa ngapi?”
Mganga akauliza maswali matatu kwa mpigo Steven akakaa vizuri na kujibu
“anaitwa Patrick Maswe tukio limetokea maeneo ya upanga
saa kumi na moja jioni!”

“sawa tulia tuweke mambo kwenye TV
Mganga akafanya mambo ajabu TV iliwaka ila kulionekana kivuli tu mtu harisia
hakuweza kuonekana
Mganga akafanya kila namna mwishoe akasema
“kijana umeingia anga sizo”……

*****MWISHO*****

ITAENDELEA SEASON TWO KAA TAYAR IN EP CHACHE TU

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MTAA WA TATU SEHEMU YA 14
MTAA WA TATU SEHEMU YA 14
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/mtaa-wa-tatu-sehemu-ya-14.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/mtaa-wa-tatu-sehemu-ya-14.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy