MTAA WA TATU SEHEMU YA 13 | BongoLife

$hide=mobile

MTAA WA TATU SEHEMU YA 13

*MTAA WA TATU EP 13*


“kuhusu hilo wala usijali Dada yangu cha umuhimu mimi naitaji chumba tu, ehee umesema kule Maji matitu chumba cha umeme naweza kupata kwa shilling ngapi yani kodi kwa mwezi?”

“sawa nimekuelewa kama hautojali
kuhusu vurugu za kule cha umuhimu sitaki lawama, sijui yule dalali kanipeleka sehemu mbaya ohoo sijui nini
Tambuwa kitu kimoja kuishi kule inaitaji moyo kuhusu bei chumba kuanzia elfu kumi na tano mpaka elfu thelathin wewe tu na uchaguzi wako kama vipi tunaweza kwenda kuvitizama.
Hakika alikuwa dalali wakike mwenye maneno mengi sana cha kwanza kumtahadhalisha mteja wake kuhusu maeneo anayoyataka, basi wakaingia kwenye mitaa hiyo
kulikuwa na pilikapilika za hapa na pale
Sijui mafundi wedding yani wachomolea mageti,
Kuna mafundi majiko sijui bajaji na bodaboda yani ilikuwa full kelele tu,
Huku watoto wakicheza mpira
Kuna madada fulani wakikubwa walikuwa wakicheza Rede sasa kwa bahati mbaya mmoja akarusha mpira na kwenda kumbabuwa Hafidhi,
“Ahaa wee Mary umembabuwa kaka wawatu embu muombe msamaha”
Mmoja kati ya wasichana akaongea hivyo.
Lakini huyo Mary wala hakujali ndio kwanza akasonya na kusema
“nyoo nimuombe msamaha kwani yeye nani kwanza alitumwa kupita njia hii aende zake huko!”
“hata kama kaka zako wababe wa maeneo haya huna budi kuomba msamaha pindi ukimkosea mtu”…
Mwingine akamsisitia Mary kuwa mstaarabu pindi anapokosea,
Wakati huo Hafidhi na yule Dalali washaondoka zao,
“nafikilia kaka yangu umeweza kujionea hali
Harisi jinsi ilivyo yule binti kakupiga na mpira baada kukuomba samahani ndio kwanza kakusonya!”

“mbona vitu vidogo sana kwa watoto wakike kama wale kuhusu hilo ondowa shaka kabisa”
Wakaingia ndani ya nyumba moja hivi na kuanza kukikaguwa chumba,
Basi walipita huku na kule kukaguwa mwishoe
Hafidhi akaridhika nacho
Akafanya malipo ya mwaka mzima, na kusema atahamia baada wiki moja,
“baby mbona kama sikuelewi?”
Ni usiku mmoja bibiye Vivian akiwa kitandani na kipenzi chake yeye anamfahamu kwa jina la Rich sisi tunamfahamu kama
Hafidhi j Ikram muuwaji wa kutisha nae akauliza
“unielewi kuhusu nini kipenzi
Changu?”
“sikia nikwambie kitu siku ile kwenye mazishi ya Dada yako kule mtaa wa tatu
Nilisikia kama watu wakimzungumzia
Hafidhi eti wakasema kama wamemuulia Dada yake ndio wameuchochea moto.
Sasa nikawa na shahuku ya kutaka kufahamu huyo
Hafidhi yuko wapi niweze kuonana nae”….
“ha!ha!ha!ha! Sasa baby unataka kuonana na Hafidhi kwa ishu gani au unataka kunimwaga nini?”

“hapana baby si unajuwa tena”,,,,ahaaa,,,,opsiiiiiiii,,,,,,,assssssssmmmmm,,,,,mtoto wakike akaanza kugugumia kwa utamu baada kushika chuchu yake ya kulia huku kidole kikiwa ndani ya kitumbuwa chake,,,
“assssss,,,,,baby fanya,,,taratiiiiiiii-bu
Uwiiiiiiiii,,,,,,Nina mimba yako,,,ni kauli ambayo ilimfanya Hafidhi asitishe shukhuri nzima na kuuliza
“baby unasemaje?”
“nimesema nina mimba yako baby nilienda kupima juzi baada kujihisi sipo sawa sikutaka kukwambia mapema
kuogopa mambo fulani”
Hakika Hafidhi hakuweza kuamini Aisee yani tokea aanze mahusiano
ya kimapenzi na wasichana tofauti hakuwai kutamkiwa hata mimba ya kusingiziwa leo
Amempa mimba Mwanamke
Commando kama huyu hakika furaha iliyoje
“Vivian unasema mpenzi yani hata siamini kama ni kweli eti ni kweli au?”
Yani furaha ya Hafidhi ikapitiliza mpaka kujikuta akitaja jina harisi la
Vivian, mpaka yeye mwenyewe akabaki kushangaa amelijuwaje jina
Lake mwishoe akakumbuka ile siku ya
Happy birthday yake liliandika jina lake harisi yani Vivian Jackson
Basi wakakumbatiana kwa furaha na kupeana mate
ghafla Hafidhi alimpindua bibiye na kumlaza kifudifudi ambapo Vivian kwa makusudi, Alijibinua matako yake na kuyapanua,kwanza tayari alishakaa mtindo wa Mtaka cha uvunguni,,,ingizaaa mpenziiiiiii,,aaaaaaaaah,,,,mmmh,,,aliongea na kuugulia kwa utamu akionyesha hamu yake kubwa ya kutaka kusuguliwa,jinsi uhemaji na ukunjaji wake wa sura ulivyokuwa Vivian alionekana kama mtu aliyelishwa pilipili nyingi
Basi taratibu alimwingiza dudu lake kubwa ambapo kwa mbwembwe alikuwa akitikisa matako yake laini huku akiguna kimahaba kulipokea dudu hilo.
Taratibu mpaka Dudu lote lilizama kwenye kitumbua,hapo Vivian akaanza kuonyesha ufundi wake kwa kuzungusha kiuno chake kulikatikia dudu
,,,mmmmmmmmh,,,oooooooooooooouushiiiiiiiiiiiiiiiii,,,aaaaaaaaaaaaaaaah,,,,alisikika akilalamika kwa utamu baada ya kukunwa dudu lake ipasavyo,mtoto aliinamisha kichwa chake chini kabisa na kujibinua matako yake huku akimpa mauno ya nguvu Hafidhi aliyekuwa anapampu kwa kasi

“jamani baby taratiiii-bu usije ukamtobowa mtoto utosi,,,,,ahaaaaaa,,,,assssssss,,,
Vivian aliongea hivyo huku akinung’unika kwa utamu wa andunje ikawa kama vile kamwambia ongeza kasi, speed ikaongezeka mikalio ikasikika ikilia pwahaa pwahaa baada kujipigiza kwenye mapaja ya Hafidhi
Vivian alikuwa akinesanesa tu kama vile sitaki kwenda mi narudi ntaenda,,,,”
Yusra baada kuuchukuwa ule mkanda hakuweza kuutizama mapema akauweka kabatini sijui kwanini kafanya hivyo.
“Yusra uliona kitu gani baada kuutizama ule mkanda wa Dojo?”
“sijaona kitu chochote kwani vipi”….
“embu nenda kaulete basi niweze kuutizama na Mimi
Mariam akauhitaji huo mkanda
“kusema kweli shost huo mkanda baada kuona hamna kitu nami sikuwa na haja ya kukaa nao nikautupa tu”…
Yusra akazidi kuongea uwongo mbele ya Agent mwenzake,
“sawa haina shida binafsi kuna kitu kingine naitaji nikueleze kuhusu Kamanda mwenzetu yani bibiye Vivian kwakifupi hivi sasa yeye ni mjamzito!”
“what?…..unasema kweli Mariam au unatania tu?”
“siwezi kutania hiyo ndio hali harisi na inavyoonekana hatoweza kuendelea na hii kazi itabidi akae pembeni mpaka pale atakapojifunguwa ndipo arudi kazini”..
Ghafla bibiye akatoka mbio huku mkono kajiziba mdomoni
Mpaka kwenye sink akaanza kutapika
Yusra akamfata na kumuuliza
“vipi tena shost! Mbona hivyo unaumwa au”….kama vipi twende hospitali!”
Mariam hakujibu kitu akajisafisha na kurudi sebuleni
na kukaa kwenye sofa
Hakukaa sana akatoka tena mbio kwenda kutapika mpaka hapo hakuwa na jinsi zaidi ya kukubali kwenda hospitali
“ongera sana binti”.
Baada ya vipimo kufanyika huku Daktari akiwa na uso wa furaha wenye tabasamu mwanana akampa hongera bibiye Mariam.
Kwa upande wao hawakuweza kuelewa chochote mtu na shogaake ikabidi watizamane
“unamaanisha nini Daktari mpaka unipe pongezi hizo je umependa mimi niumwe?”
Mariam akauliza kwa shahuku ya kutaka kufahamu kwanini kapewa pongezi.
Daktari akaweka miwani yake sawa huku akiendelea kutabasamu akamjibu,
“hapana binti sina maana hiyo eti kupenda wewe uumwe ichi ulichonacho wewe si ugonjwa ni hali harisi kwa kila Mwanamke itamkuta haijarishi ni tasa mgumba au nani
Kusema kweli una mimba ya wiki tatu”…
“stop!!! Please ishia hapohapo Daktari unataka kusema mimi nina nini???
Kwanza Daktari akashikwa na mshangao mbona binti kawa mkali ghafla baada kuambiwa ana mimba why?”
“sikia nikwambie kitu binti nipo katika kazi hii takribani miaka tisa sasa nina uzoefu mkubwa wa kazi yangu kwa kifupi wewe ni mjamzito
Kabla Daktari ajamalizia kuongea zaidi akashtukia akipigwa kibao cha kerbu
“shatapu!
Pumbavu zako hivi inawezekana vipi kwa Agent responsible kama Mimi nishike mimba haiwezekani kamwe”….
Daktari akabaki kimya kusikia kumbe huyu binti ni Agent
Akaona asije akauliwa bure,
“inawezeka ukashika mimba tambuwa kitu kimoja Agent responsible si robot ni binaadam mwenye hisia ukizingatia wewe ni Mwanamke mbona hata Simba juu ya ukali wake wote anazaa punguza hasira tuangalie ni jinsi gani unaitowa hiyo mimba”…..
Yusra akaongea hivyo huku akimpigapiga begani kumtuliza hasira zake.

“hivi wewe chizi au kichaa mwehu au nani? Yani mimi nikiwa kama Agent mwenye kupambana kuhusu
swala zima la kuzuia mauwaji alafu leo hii nishiliki kukiuwa kiumbe kisichokuwa na hatia embu nipishe
na upuuzi wako’’
Akampushi shogaake na kutoka nnje ya wodi hiyo hakika alikuwa na maswali mengi sana yenye kuumiza
kichwa, akaitowa simu yake na kumpigia sijui nani. Akasikika akiuliz “ehee upo wapi wewe tafadhali
naomba tuonane sasa hivi, njoo hapa viwanja vya Biafra ufanye haraka sana’’ kisha akakata simu na
kuingia ndani ya gari yake,
“sasa huyu mwehu naitaji nimuuwe kimya kimya, haiwezekani kumpa penzi siku moja tena kwa dakika
chache kama zile leo hii aikatishe ndoto yangu kizembe. Wacha nikutane nae kisha nitumie mbinu ya
kummaliza. ipo siku mwanangu atakuja kuniuliza Mama baba yuko wapi nitampa jibu zuri tu kuwa baba
yako amekufa akiwa vitani katika nchi ya Uganda,
Mariam hakika aliwaza mambo mengi sana huku machozi yakizidi kumtoka pia akamkumbuka na Vivian
nae ana mimba ya mwanaume huyo itakuwaje siku akigunduwa kuwa yeye ndio muhusika wa mauwaji
ya baba watoto wake si vitazuka vita sema akajiambia potelea mbali,
Tukija upande wa Vivian wakati simu inapigwa aliweza kusikia kila kitu sema akajifanya kutulia kimya
kwa kuzuga eti amelala. Hafidhi nae akiwa hana hili wala lile akatoka zake kwenda kuonana na mariam
hakuweza kutambuwa kama kaandaliwa kifo. Akiwa ndani ya gari ghafla kwenye siti ya pembeni kukaanza
kufuka moshi kwanza alishtuka tena akashtuka zaidi baada kutokezewa na kiumbe chenye sura ya baba
yake yani Mzee J Ikram, akafunga breaki ya gari ajabu gari haikuweza kusimama mwanaume akatamani
hata kuruka sema mlango wa gari haukufunguka wala vioo kila kitu kilijilock,
“Hafidhi kijana wangu embu punguza presha tambuwa kitu kimoja mimi ndio Baba yako wa ukweli ndio
ninae tumia nguvu zangu na maarifa yangu siku zote kukulinda wewe popote ulipo nimeweza kuifanya
sura yako isiweze kutambulika mbele ya wabaya wako, na wakutambuwe wale wenye nia nzuri tu juu
yako, Hafidhi naomba nikwambie kitu kimoja tu huyo binti alie kupigia simu anaitaji kukuuwa kisa na
mkasa umempa mimba nae hataki hicho kitu sasa basi kuwa makini huko uwendako’’……
Baada kuongea hivyo kiumbe kikapotea Hafidhi akajalibu kufunga blek gari ikasimama akatesti
kufunguwa mlango ukakubali.
Mwanaume ikabidi avute pumzi na kuzishusha “opsiii’’ na kuona kumbe ni kweli yeye si kiumbe cha
kawaida akaitowa simu yake na kumpigia Mariam na kumwambia “kusema kweli mpenzi huko sitoweza
kufika maana gari yangu imechemsha hapa Kigogo njia panda hapa. Kumbe ulikuwa uwongo mtupu yeye
katokea Kinondoni studio na hapo alipo yupo Kinondoni (B)

“please Rich naomba ufanye kila njia uweze kufika hakika nina shida muhimu sana na wewe!!!
Mariam akasisitiza zaidi akitaka Hafidhi afike viwanya vya Biafra.
Hafidhi akakata simu kwa kusema neno moja tu siwezi kufika”….
Mariam baada kuona simu imekatwa akaitaji kumpigia sema haikuweza kupatikana
Akabaki kusema ohoo shit! Huyu mpumbavu amekataa kuja ipo siku yake shenzi
time”…..
“Mariam kwanini unataka kumuuwa Rich hivi hujui au hufahamu kama yule ni kipenzi changu mume wangu mtarajiwa
Baba wa mtoto wangu, ni kitu gani kakukosea?”
Binafsi Mariam akashtuka si kidogo baada kumuona Vivian kafika pale na kuongea maneno hayo kwa uchungu huku machozi yakimtoka,
Akashindwa amjibu kitu gani,
Akabaki kuweweseka,
“nijibu kitu gani amekukosea Niue mimi kwanza kisha yeye ndio afate niambie kosa lake huwenda nitaweza kukusaidia kumuuwa niambie please mdogo wangu!!!
Vivian akamkunja na kumtikisa Mariam nae akaanza kulia
“nisamehe Dada yangu ni kweli naitaji kumuuwa Rich na hakuna chaguwo lingine lazima afe!!!
“ndio afe kwa kosa gani sasa niambie niweke wazi kwanini afe”….
Mariam akabaki tena kimya
Vivian akaona kule kumtikisa haitoshi akaanza kumchapa vibao
Yani alimpiga makofi ya maana,
Umati wawatu ukajazana kushuhudia jinsi ugomvi wa mabinti hao
Yusra nae akafika na kuja kumzuia Vivian asiendelee kumpiga mwenzake kwa kifupi
Mariam alibaki kama zezeta fulani hivi hakuitaji kumzuia wala kumrudishia
Hafidhi nae akaingia kwa style ya kishindo ilikuwa ni mbinu moja wapo ya kuwakumbusha wao ni kina nani
Yani upepo ulivuma kila kona vumbi likatimka, huku watu wakiwa hawaamini kukiona kiumbe
Yule yani Ninja Short wakashikwa na taharuki hata Mariam akashtuka kutoka kwenye kutojielewa na kukaa sawa,
Kwa sauti ya kicheko na dharau kubwa
Hafidhi akaongea
“ha!ha!ha! Vivian- Yusra- Mariam nyinyi ni Wanawake mashupavu sana sijawai kuona mfano wake lakini mnataka kuipoteza sifa hiyo kwa vitu vya kipumbavu msijisahau
Kazi bado mbichi come on watoto wazuri njooni kwa mpenzi wenu niwanyonye midomo”……
Yani lilikuwa bonge la tusi kuambiwa vile kila mmoja akanyoosha mikono yao kumuelekezea Ninja yule
Bastora zikiwa mikononi mwao
“nyamaza mpumbavu mkubwa wewe ushatuona sisi mabibi zako mpaka umeanza kututania sio na huu ndio mwisho wako nyoosha mikono yako juu”….
Vivian kwa sauti ya ukali akazungumza hivyo na kutowa amri,
Hafidhi kwa upande wake hakutishika ndio kwanza akazidi kucheka
3Sisters wakatizama na kuamuwa kufyatuwa Risasi vyuma vya moto vikaanza kumfata Mwanaume akachumpa na kufanya kuzikwepa risasi zile kimbembe kikawa kwa wambea kama kule Kariakoo”…
Risasi zikatuwa miilini mwao
Wakati mrengwa akizikwepa na kupotea katika eneo hilo baada kupora pikipiki aina ya boxer Vivian nae akaiwai pikipiki yake aliyokuja nayo,
Wakati Yusra na Mariam wakiingia kwenye gari moja aliyokuja nayo Yusra ndani ya wilaya ya Kinondoni kulikuwa hakutoshi kabisa,
Hafidhi akiwa na ile pikipiki akachanja mbuga mpaka JKT na kutokea Kawe ukwamani akanyoosha na kuingia Lugalo
Tena ilikuwa siku ya Ijumaa jeshini kuna usafi,
Mwanaume akaingia kwa speed ya ajabu na kutokezea geti lingine yani karudi tena Kawe sokoni
Wanajeshi wakaona wee usitutanie umekuja kufanya fujo ndani ya kambi utajuta kutufahamu
“Yusra kwani huyu Hafidhi j Ikram amewezaje kutufahamu majina yetu maana ametutaja pale?”
Mariam akauliza swali sema hakuweza kujibiwa kwani mwenzake alikuwa makini kwenye usukani baada kutokezea geti lingine.
Hafidhi kwa speed ya ajabu akazidi kuchanja mbuga
Ghafla kitu kama bomu hivi kikaweza kusikika huku Hafidhi akirushwa hewani
yani pikipiki
Akatupwa kule baada taili ya mbele kupasuka Mwanaume akaenda kujibamiza kwenye ukuta wa nyumba moja hivi
Akaanza kuona kizunguzungu sijui kihindi hindi
Mwishoe akapoteza fahamu
Wanajeshi wakafika kina Vivian nao hao
wakamuweka mtu kati wakati mwenzao hajitambui kabisa
Hakika ajali kazini mwanaume leo kanaswa
Vivian ndio akawa wa kwanza kumsogelea akihitaji kumvua mask,,,,,,

Vivian akaweza kukisogelea kile kiumbe na kuishika ile Mask na kuivuwa.
Kila mmoja akashikwa na mshangao, kisha wakaanza kufurahi kwa pamoja.
Nikweli alikuwa ni yeye Hafidhi j Ikram huku sehemu ya kichwani kukivuja damu,
Wanajeshi wakataka kumchukua ili waende kumshukhulikia wao.
Sema kikosi cha 3Sisters wakapinga vikali kuhusu swala hilo yani haiwezekani waondoke nae polisi nao kutoka kituo cha Kawe wakafika eneo la tukio kwa mbwembwe zote, na kutaka kuubeba mwili wa Hafidhi uliokuwa umelala chini
Sijui amekufa au laa,
Kukawa na utata fulani hivi kila mmoja akihitaji kuondoka na mtuhumiwa
“embu tuacheni mzozo usiokuwa na faida cha umuhimu naomba tuwe makini
Na huyu kiumbe hatari sana
kwanza tumpeleke hospitali
Kisha tutajuwa nani wenye haki ya kubaki na huyu mtu”….
Vivian akatowa wazo hilo
kitendo bila kuchelewa Hafidhi akafikishwa ndani ya hospitali ya Lugalo akiwa hajitambui kabisa
Akapatiwa kitanda na kufungwa pingu kama akizinduka asiweze kukimbia.
Yani taarifa za kukamatwa kwake zilisambaa kama vile umeme au upepo wa kimbunga
“Ibnuwasi mwanangu nini unafanya wewe imekuwaje ukamuacha mjukuu wangu akaingia kwenye mikono ya watu wabaya?”
Bibi yake Hafidhi upande wa Ujinini akuliza hivyo kwa hasira
maana mjukuu wake kashikiliwa na serikali.
“hapana Mama, mjukuu wako
hakupata ajali ile kwa bahati mbaya ile ajali kajitakia mwenyewe”….

“Ibnuwasi unamaanisha nini kusema hivyo hivi kuna mtu anaependa ajali za kujitakia hakuna kitu kama hicho ndio kwanza nakusikia wewe ukisema kuna ajali za kujitakia”…
Yani bibi mtu alikuwa anaongea kwa kubwata huku macho yake yakifuka moshi yani yamekuwa mekundu si mchezo
“Mama naomba nikwambie kitu kimoja mjukuu wako
Ajali ile kajipangia kwa nia ya kuwapa heshima wazazi wenzie tu”…..
“wazazi wenzie kivipi embu niweke wazi”

“Hafidhi kuna mabinti kama wawili kaweza kuwapa mimba na hao mabinti ndio wapo serikalini siku ya tukio walikuwa wakimfukuza yeye akajifanyisha kupata ajali na kuzimia kumbe hakuna chochote
Anawachora tu!”
“hahahaha kweli mjukuu wangu ni Kommando naomba nikuulize kitu Ibnuwasi nilikupa kazi gani na unafanya nini mpaka unamuacha
Hafidhi anatia mimba binaadamu?”

“nakumbuka ulinipa kazi ya kuchukuwa vizazi vya wanawake wote atakao tembea nao Hafidhi nina hakika kazi hiyo niliweza kuifanya vyema
kwa kuchoropowa mimba za wanawake wengi tu,
Mpaka ikafikia kuondoka na uhai wa binti mmoja anaeitwa Amina, nikaona kuanzia sasa inatosha wacha azae na binaadamu tu”.

“sitaki kusikia kitu kama hicho yani haiwezekani azae na binaadamu wakati yeye ni Jini,
“hivi mama umesahau kama yeye ana homoni nyingi za kibinaadamu kuliko za kijini wacha nikampe msaada huko hospitali”
Kisha Ibnuwasi akapotea
Pembeni kidogo ya hospitali ya Lugalo
3Sisters walikuwa wamekaa wakiongea hili na lile kikubwa kuhusu kufanikisha kazi yao ngumu maana walishaanza kukata tamaa,,,,,”
Kuhusu kumnasa mtuhumiwa.
Vivian akatowa simu yake na kumpigia sijui nani
Ghafla simu nyingine ikaita nayo ilikuwa mfukoni mwake.

“Mbona nampigia simu Richard ajabu inaita hii ya muuwaji”
Vivian akaongea akiwa haamini kabisa akaitizama vizuri ile simu na kutaka kuanguwa kilio
“hapana haiwezekani yani huyu mshenzi awe kamuuwa Rich wangu kipenzi changu, baba watoto wangu, kisha kaichukuwa simu yake kudadeki wacha nikamtwange risasi”….
Vivian akaichomoa Bastora yake na kuanza kupiga hatua kadhaa kulisogelea jengo la hospitali, Yusra na mwenzake wakawai kumshika na kumzuia huku wakimsihi
Asifanye kitendo kama hicho kwani wapo kwenye imaya ya watu wengine,
Wasije wakafanya uvunjifu wa amani na kupindisha sheria
Vivian akatulia kimya huku akipanga kitu ndani ya moyo wake
Magari sijui bajaji na pikipiki ziliweza kupishana wote ulikuwa umati wawatu ukitaka kumuona huyo muuwaji kina Salma nao wakafika
sema hawakupata hata nafasi moja ya kumuona Hafidhi, kwani mwenzao alikuwa chini ya ulinzi mzito
wanajeshi walijazana mpaka utasema hiki nini kuna magaidi au,
“Beatrice shogaangu sasa itakuwaje juu ya shujaa wetu kunaswa”
Zay aliuliza hilo swali
“mi hata sijui cha kufanya hapa nilipo nimechanganyikiwa na huu mtumbo wangu”

“hivi Beatrice unataka kusema hii mimba ya Kambona kweli au?”
Salma nae akamuuliza swali Beatrice
“mmh! Kambona wapi hii mimba ya Hafidhi kwani aliweza kunipa mimba hii miezi kama miezi saba kabla hajaondoka kule mtaa wa tatu
Nikaona nimbambikie nani aweze kulea huu mzigo ndipo nikampata kambona.
Nikafanya haraka kukutana nae kimwili baada wiki nikamwambia Nina mimba yake basi akafurahi huyo
na kuahidi kunijengea nyumba kumbe kweli Wanaume wengine mazuzu”…
Kila mmoja akaanguwa kicheko cha kishambenga
“ha!ha!ha! Hallooo,,,hallooo endelea kushika mapembe maziwa anakamuwa mwingine
Hahahaha”….
Sauti nzito ndio ikawashtuwa ikiwaambia
“nyie mabinti acheni kelele zenu za uswahili tambuweni mpo wapi hapa shenzi zenu
Kisha yule mjeshi akaishia zake,
“mmh Salma umeona sura ya yule mkaka imekaa kama
Makalio yako ehee huwo mdomo kama mpododo wako unataka kunya eheee”
Zay alianza kumchokoza Salma
“Zay tuheshimiane ohoo mbona usemi buti lake kama ngozi ya kikwapa chako
mifuko ya shati lake imeshuka kama kitumbuwa chako”…..
“ohoo bibiye inatosha mimi nimekutania mawili tu wewe unataka kuchambuwa kila kitu kiwe mwili wangu”…

“ahaa kunya anye kuku akinya bata kaharisha nenda zako huko
Basi kila mmoja akanyamaza
Hatimae kesho yake asubuhi ikafika
Salma akaleta chai ikatupwa huku Wanajeshi wakisema
Muuwaji kama huyo hastahili kula chochote
“nani kasema mwanangu asile?
Mbuzi gani kasema hivyo nauliza
nijibuni haraka nani kamwaga hii chai?”
Kwanza kila mtu akabaki kimya wanajeshi wakakakamaa kwa kupiga saruti
Baada kuona mkuu wao kafika hapo kwa kushtukiza
Akaomba ongozwe njia kwenda kumuona mwanae,
hakuweza kuamini baada kumkuta mwanae kajilaza kitandani huku akiwa kafungwa bandeji kichwani mkononi ana pingu
Akakaa karibu yake pale kitandani na kuanza kuongea kwa uchungu
“Hafidhi kijana wangu mtoto wangu wa pekee nakumbuka mambo mengi sana kuhusu wewe, hasa kipindi kile
Wakati mama yako aliposhikwa na uchungu
nilipigiwa simu nikiwa vitani
huko Mozambique niliweza kupambana huku nikiomba nikiomba duwa
Juu ya mama yako aweze kujifunguwa salama.
Vua ikanyesha sauti ya kitoto kichanga ikaweza kusikika kwenye ngome ya masikio yangu hakika nilifurahi sana.
Unaweza
Ukajiuliza inawezekana vipi mimi niwe vitani kwenye nchi nyingine
Wakati mama yako yupo ndani ya hospitai ya nchi nyingine nilisikiaje sauti yako.
Ni simu ndio akanitambulisha kila kitu
Hafidhi mwanangu sikutaka uwonewe katika maisha yako sikutaka udhurumiwe ndio sababu ya mimi kukupeleka ukajifunze
Mapambano kwa kila mwalimu.
Lakini leo hii mwanangu nafsi inanisuta kwa kile unachokifanya
Hafidhi umekuwa muuwaji nini shida nini
tatizo,
Wallah siwezi kukuacha uendelee kufanya kitu kama hiki tena nimekuja hapa kwa nia moja tu kukuchukuwa twende nyumbani.
Kabla hajaongea zaidi sauti ya kicheko ikaanza kusikika
“hahahahaha,,,,,,ha!ha!ha!ha!,,,,,tehe!tehe!tehe!
Alikuwa Hafidhi yani ile kufumbuwa macho tu akaanza kucheka mpaka Baba yake akabaki kushangaa na kuhisi mwanae kashikwa na ukichaa au.
“Assalam alaykum yaa Abii?”
Baada kunyamaza kucheka akasalimia hivyo
“waaleykum ssalam yaa Ibnaiya vipi umzima wewe?”
“mimi ni mzima ewe baba yangu mbona uko hapa umekuja kufanya nini
Mama hajambo?”
“ndio Mama yako hajambo japokuwa yupo kwenye sononeko la kutoweza kukuona mwanae na kanituma nije kukuchukuwa turudi nyumbani ewe mwanangu”…..

“hapana sio kwa sasa siwezi kurudi nyumbani naitaji kuikamilisha kazi niliyoianza nataka kumuuwa mke wa Raisi na vibaraka wake wote”…
“what! Kwanini unataka kumuuwa mke wa muheshimiwa
Kakukosea kitu gani niambie tuweze kumtangaza vyombo vya habari vipo sheria ipo itafata mkondo wake
Wakati anaongea kumbe mwanae ameshakata pingu kitambo tu na kuchomoa dripu akatoka ndani ya chumba alicholazwa
Akiwa hataki mchezo wala maskhara na mtu yeyote
Madaktari wakajishauwa kuja kumshika
kwanza aliwatembezea kichapo na kuwatupa huku na kule Mwanaume akaambaa na ukuta kwa kuruka huku na kule yani kama popo akatoka nnje wanajeshi wakajipanga
Kumdhibiti
Hafidhi alikuwa na nguvu ambazo hata yeye hakujuwa kazitowa wapi yani
Akipiga mtu ngumi au teke huyo mtu
arudi tena.
Mshikeni msimuumize ohoo”…
Mzee J Ikram akapaza sauti kina Salma wakabaki kushangilia tu
“wewee waonyeshe hao na mivazi yao kama ukoko wa kikwapa ndio wape!!!
Psiiiiiiii,,,wakapiga na miruzi kabisa
Hafidhi alikuwa anapiga fight for Grain
yani mapigo ya upepo
Wanajeshi wakazidi kupambana
Mzee J Ikram akabaki kutabasamu na kujisemea kweli mwanae Commando
Ghafla akakwea moja ya pikipikia na kuondoka nayo kwa speed
Kuna mjeshi mmoja akiwa na bunduki akamrenga Hafidhi ilikuwa siraha ya Snipe
yani ile ya masafa marefu
kabla hajafyatuwa risasi bunduki ikapigwa teke na Mzee J Ikram
Akiwa kafura kwa hasira akamuuliza yule mjeshi.
“wee chizi kicha unataka kuniulia kijana wangu je unaweza kubeba mimba yangu ukanizalia mtoto shupavu kama yule,
Lilikuwa bonge la tusi kwa Mwanajeshi yule
Akatikisa kichwa hapana
“kama huwezi basi naitaji mumkamate akiwa mzima
Nendeni mkamshike
fanyeni haraka”.. basi gari na pikipiki kadhaa za Kijeshi zikatolewa kama vile wanaenda Vietnam kumbe ni kumkata mtu mmoja
kufika maeneo ya Mwenge
mwanaume kapotea katika mazingira ya utata haikujulikana kaingilia wapi kila sehemu polisi nao wakatanda
wakati kimuhemuhe kikiendelea
3Sisters kila mmoja alikuwa nyumbani kwake
Vivian akiwa amekaa kwenye sofa akitizama movie ya kibongo inaitwa Bado natafuta
“huyu jamaa hakika kaitendea haki hii falamu simu yake ikaita akaichukuwa
pasipo kuangalia mpigaji ni nani
Akaiweka sikioni na kusema
“Halloo”
“halloo kipenzi naona jinsi gani ulivyokuwa na furaha mama kijacho”
Kwanza Vivian hakuweza kuamini akauliza
“niwewe kipenzi changu Richard uko wapi my husband”
“Vivian punguza mzuka
Naomba utambuwe kitu kimoja wewe unanifahamu mimi kama Richard lakini Mimi ni Hafidhi
Nilitumia mbinu hii ya kukuteka kimapenzi ili niweze kupoozesha nguvu zako
Kwa mara yakwanza nilimpigia simu Yusra ajabu ukapokea wewe.
Nikaona sio mbaya nianze nawe nikajifanya nimetekwa huku viwanja vya Jangwani
nawe ukaja
Vivian I’m sorry kipenzi changu
niliweza kuwasoma 3Sisters kabla hamjakuja hapa nchini
kila mauwaji ninayo yatenda basi kuna sababu zake,
Vivian nitunzie simu yangu nishatoroka huku Lugalo nitunzie mwanangu
pia funguwa kwenye hiyo
Droo ya katikati utakuta Document
Nimeambatanisha na CD
waite wenzako muanze kuzipitia hizo
Document muiyangalie hiyo
CD kwa umakini sana kisha unipe majibu kwanini viongozi wetu wako hivi
Sio kila tajili ni tajili kuna siri nzito”…
Simu ikakatwa, Vivian akachoka hoi
Kijasho kilimvuja hakika
kama choo kaingia cha watoto na kukuta
Mapoti tu!”

Baada simu kukatwa bibiye Vivian ndio akachoka hoi
Akakaa chini kabisa kwani sofa aliliona kama vile kuna miba zinamchoma, akaweza kufikilia kitu kimoja kuwa
“kumbe Hafidhi ni mwanaume mjanja sana yani anaweza kutumia kila aina ya mbinu kumteka adui yake ili tu awe karibu yake….
Vivian akafikilia mambo mengi sana
kuanzia siku yakwanza wao
kuingia nchini
na kupokelewa kwa Hafidhi kufanya tukio la mauwaji kwa Kamanda wao, aliye
wapokea.
Pia akafikilia jinsi alivyoweza kukutana na Hafidhi kule Jangwani na kutoweza kumtambuwa kama ndio adui yake
na kujikuta akiangukia kwenye dimbwi la mapenzi, mpaka kufikia kupewa ujauzito
Vivian akabaki kucheka muda mwingine kulia akajisemea
“hakika wewe ni mwanaume wa shoka kumbe ulikuwa na uwezo wa kutuuwa hata sisi 3Sisters sema hukutaka kufanya hivyo,
Saruti kwako kipenzi,
Akaichukuwa simu yake na kuwapigia kina Yusra nao dakika si nyingi wakafika
“vipi Dada yetu umesikia kama yule muuwaji katoroka?”
Mariam akauliza kwa shahuku ya kutaka kudhibitisha je ni kweli
Hafidhi katoroka kule Lugalo,
“embu kaeni kwanza hapo chini tuweze kupanga plan (B) maana hii plan (A)
Wanajeshi wameitia mchanga yani heshima yote wanayopewa Jeshi wameshindwa kumdhibiti yule pimbi asitoroke ujinga huu”…
Yusra nae akang’aka kwa hasira
“Mariam na Yusra naomba mtambuwe kitu kimoja shemeji yenu Richard ndio
Hafidhi embu angalieni hizi picha kwenye simu”,,,,,
Basi wakaipokea na kuwa makini kuzitizama picha zile ambazo kapiga akiwa peke yake
Au na Vivian
zingine yupo na Mariam au wote kwa pamoja
“inawezekana vipi awe yeye mbona hatukuweza kumtambuwa inakuwaje
hii?”
Mariam akauliza, kila mmoja akabaki kimya akifikilia jambo kwenye kichwa chake
“ehee ok nimeweza kupata majibu kutoka na upeo wangu huyu
Mtu
Itakuwa sio yeye Richard
hizi picha kazifanyia edit baada kumuuwa Richard akaona ajipenyeze kwetu
huyu jamaa ni mjanja sana,
Wenzake wakaanza kumcheka hasa
Mariam akacheka sana
“ha!ha!ha!ha! Hivi Yusra
unaakili kweli? Yani kwa mawazo yako finyu unaweza kusema hizi picha zimefanyiwa edit embu ziangalie vizuri”…
Vivian alimuuliza swali huku akimpatia simu na kusema
“Rich ndio Hafidhi subiri niwape vitu vingine tujuwe sababu kwanini anauwa kwanini anatia watu ukilema,
Akafunguwa ndroo ya kabati na kuzitowa zile document na CD
Akaja nazo na kuwakabidhi kina Yusra waanze kuzipitia
“ndio nini hizi?”
Yusra akauliza,
“bwanaee embu zipitie acha kuuliza maswali au kusoma haujui tukusomee?”
Ikabidi kila mmoja awe makini kuzipitia kwa kupokezana karatasi,
Kimya kikatanda baina yao kisha CD ikawekwa jinsi ilivyoanza tu wakaanza kusikitika kwa jinsi walivyoweza kushuhudia mambo ya kishenzi unyama usio vumilika
“ohoo shit! kumbe viongozi wengine sio kabisa yani kujifanya waungwana wenye heshima na busara kumbe ndio magaidi
Number one hapa nchini, kwa mwendo huu ipo siku nchi itakuja kulipuka,
Embu mtizame bwana George Gwando
kitendo anachomtendea yule binti kisha anacheka eti,
sasa kupitia ushahidi huu tunaweza kuufikisha sehemu husika
kisha sheria ichukuwe mkondo wake”…
Kila mmoja aliumizwa kwa yale aliyoweza kuyasoma na kuangalia ile CD wakashindwa hata kumalizia na kujikuta wakizima TV
Tukija pande za Mbagala tunamuona
Hafidhi
akiwa yuko faster kutembea ghafla bin vuu akapigana kikumbo na binti mmoja hivi ukicheki binti hafya yenyewe matatizo matupu.
Akapepesuka na kudondoka chini,
Alikuwa kabeba beseni ndani yake kuna visheti vikamwagika vyote,
Binti akapiga kelele
“jamani mwizi!!! Sekunde si nyingi umati wawatu ukajitokeza wakiwa na siraha zao wakauliza
“yuko wapi huyo mwizi? Tuambie kakimbilia wapi?”
Binti akamuonyeshea kidole Hafidhi kwa kusema
“mwizi mwenyewe huyu hapa!”
wakati huo vijana kwa watoto wakigombania visheti ni vidude fulani vimetengenezwa kama vile number 8 vikawekwa sukari,
Hafidhi akabaki kushangaa imekuwaje huyu binti amwite yeye mwizi wakati wamegongana kwa bahati mbaya tu,
“wee bwege sana yani watu tumeacha kazi zetu kuja kumtafuta huyo
Mwizi wewe unatuletea upimbi sio
ole wako nikute nimeunguza mboga yangu
hichi kidude chako nitakinywa supu leo”…
Ilikuwa kauli ya mama mmoja mkononi kashika kisu.
“jamani ehee embu twenzetuni huyu atakuwa kavuta bange mbichi tena kavutia makalioni kudadeki zake
Nimeacha dili kule nije kumtumbuwa tumbuwa huyo mwizi kuja hapa unaonyesha kitu hewa wee nyau nini”…
Binti akaanza kulia huku akisema
“jamani!!! Nyie vipi mwizi mwenyewe si huyu hapa, mnamuogopa au
Binti akazidi kulia tu,
Kwa upande wake Hafidhi hata yeye akabaki kujiuliza maswali inamaana kikundi cha watu wale hawamuoni au wanafanya makusudi tu,
akaona isiwe shida wacha aondoke zake, safari yake ikampeleka mpaka Mbagala rangi tatu akafanya manunuzi ya vitu,
kama vile kitanda masofa godoro na baadhi ya vitu akakodi gari ya mizigo na kuelekea kwenye makazi yake mapya
kwa bahati nzuri akaweza kupata vijana wakamsaidia kushusha vitu na kumuingizia ndani akafanya malipo kati ya vijana hao mmoja ndio akabaki kumsaidia kufunga kitanda.
Na kupanga vitu hapa na pale,
“karibu sana ndugu yangu jisikie upo nyumbani hii ndio Mbagala kwajina naitwa
Jackson John ukipenda double J ni mmoja kati ya watoto wa mwenye nyumba hii sijui wewe brother unaitwa nani?”
kijana Jackson akajitamulisha hivyo huku akitaka kumfahamu Hafidhi anaitwa nani.
Mzee wa nyapu wakuhama mitaa vijiweni
yani akiona kaharibu tu anasepa,
“kwanza nashkuru kwa kuweza kukufahamu ewe ndugu yangu mimi naitwa Yasri kusema kweli sijawai kulisikia jina la baba kwani baba yangu alinikimbia angali nikiwa tumboni so shuleni nilikuwa natumia jina la babu mzaa mama”….ITAENDELEA

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,146,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,192,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,13,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MTAA WA TATU SEHEMU YA 13
MTAA WA TATU SEHEMU YA 13
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/mtaa-wa-tatu-sehemu-ya-13.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/mtaa-wa-tatu-sehemu-ya-13.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy