$hide=mobile

MTAA WA TATU SEHEMU YA 04

*MTAA WA TATU EP 04* kwanza napiga simu polisi kuwaambia mnafanya mauwaji humu ndani kama unaona raha jichome wewe kwenye matako yako, huo n...

*MTAA WA TATU EP 04*

kwanza napiga simu polisi kuwaambia mnafanya mauwaji humu ndani
kama unaona raha jichome wewe kwenye matako yako, huo ni uuwaji
kabisa”
Alisikika akisema hivyo Salome.
“Salome kumbuka mimi mama yako yani unanitusi sio”….
Salome akabaki kimya wakati
huo mmoja kati ya mabinti zake sijui ndio
Sikitu akaingia chumbani kwake na kutoka na pasi
“mama achana nae pasi nyingine hii hapa”
Basi ikachomekwa
Habiba akashikwa tena
Ghafla mwanaume ndio anaingia, wote wakashtuka”….
Walijuwa ni polisi,
“nani wewe?” yule Mzee akauliza hivyo kuja kutahamaki akaanza kuchezea
ngumi za haraka haraka,
Mkewe akaja mbio eti amshike
Hafidhi akapigwa teke na kwenda kudondokea kwenye
ile pasi kibaya zaidi akaikalia.
Kwanza ilimuunguza kingine akapigwa short ya umeme.
sikitu na mwenzake wakatoka mbio na kwenda kujifungia ndani.
Kimbembe kikabaki kwa mzee yani alifinywa akashikwa kichwa na kwenda kubamizwa kwenye
TV flat screen sijui inch32
kitu kule uso ukawa hautamaniki
Salome akatoka chumbani kwake hakuweza kuamini Aisee
“Habiba my sister huyu kweli ni baba yako?
kama ni baba yako kwanini kawachinja ndugu zako kwa tamaa ya utajili,
Kawatowa sadaka ndugu zako,
Mama yako amekufa kutokana na sononeko la moyo ameumia baada kugundua wanae
hawakupelekwa shule ya boarding kusoma.
Walienda kuchinjwa sasa basi
huu ni mwanzo tu ndani ya barua ile
kuna list nzito walioshiliki kufanya kitendo hicho sina budi kuwaondoa wote
Duniani wee mzee subiri na uwone”….
Baada kuongea hivyo
Hafidhi akaenda kumshika
Habiba na kumnyanyua kisha akasema
huku akimnyooshea kidole
“wewee
Salome akaita baby”….
na kwenda kumkumbatia mtoto akarembua macho akiitaji denda si akapewa mdomo
Asssssss,,,,,ohoooooooaaaaahhh,,,,
Baby twende chumbani”
Salome akatamka hivyo
“usijali baby nitakuja wacha nimpeleke
Wifi yako hospitali”
Kisha mwanaume akatoka
“Salome kafunge mlango haraka”
Mzee akatamka hivyo.
Salome akamtizama baba yake akamnyari na kumwambia
“wee Mzee embu punguza presha
ujasikia kama kasema atarudi
kuja kunitoa nyege zangu wee vipi”….
Salome hakujali kama mama yake
kalala chini hajitambui kabisa
Huyoo akaingia chumbani kwake.

Mzee Khatibu akatoka mbio kwenda kufunga mlango yani alikuwa na maumivu kila
ya mwili wake.
Akaenda kumshika mkewe na kuanza kumtikisa
“wife my baby hamka yule jamaa ameshaondoka tayari
Jamila hamka please baby inuka
vilio vikasikika kutoka kwa Sikitu na mwenzie sijui anaitwa nani, wakilia na kuita mama,
Hafidhi baada kumchukuwa
Habiba akampeleka kwanza hospital maana aliumia sana,
Ndani ya hospital ya Temeke
Habiba akaweza kupatiwa huduma kama vile kutundukiwa dripu na kutibiwa baadhi ya majeraha,
Hakika alimuona
Hafidhi ni kama mkombozi wake.
na kujisemea moyoni mwake
“sijui nikuite nani kaka Chanduka hakika siwezi”….mchozi ukaanza kumtoka,
Ndani ya mtaa wa tatu
kulikuwa kumenoga yani full raha
Salma alikuwa akicheza rede na kina
Sada Beatrice Joyce
yani ilikuwa full kuona vichupi tu.
“wewee rusha mpira huo,
Zulfa na Sharifa walikuwa ndio wazingaji
“kujimanua kote huku mwenzenu nasikia nyege zimenipanda balaa,
yani angekuwepo Hafidhi hapa sijui ingekuwaje”
ni kauli ya Zay akaenda kukaa chini
“hivi wewe miguru baja ushawai kutiwa muogo wa Hafidhi au unaongea tu?
Zulfa akamuuliza Zay nae akajibu
“nini kutiwa muhogo mwenzako hadi Dudu nimekalia
yani usiku kucha, sijui yuko wapi kipenzi changu nimelitamani
Dudu kubwa kitu kinataiti penyewe
sio hawa vibamia sijui vimbilimbi”…

“wee Zay achana na mada za kutiana nyege”
Wakiwa wanaongea simu ya
Joyce ikawa inaita akaichukuwa na
kuitizama akaona number
ngeni akajisemea
“sijui mijitu mingine ikoje inaingia kwenye walii yangu fb na kuchukuwa number yangu ya simu yani sipendi”
Akaamua kuipokea “halloo wee kaka naomba ukome kuchukuwa number yangu ya simu sitaki usumbufu”…

“wee mtoto acha mapepe mimi ni
Hafidhi j Ikram hapa
tusipoteze muda nakuomba uje
Temeke hospital, tafadhali usimwambie yeyote yule uje peke yako”
Simu ikakatwa unajuwa mpaka hapo
Joyce hakuamini aisee
yani kapigiwa simu na Hafidhi aliona kama ndoto vile muda si mrefu atashituka kutoka usingizini.
Zulfa akambabua na mpira ndio akashtuka
akatoka mbio
kwanza akaoga mtoto wakike akajikwatua vilivyo na kutoka zake
“hee vipi mwenzetu mbona ghafla hivyo, wapi tena?
Nae kwa upimbi wake akajibu
“Hafidhi j Ikram kanipigia simu ananiitaji akanisuguwe”….

“toka zako yani Hafidhi asinipigie simu mimi
akupigie wewe
Miguu kama kuku kishingo”
Beatrice akaongea hivyo na kutema mate chini, kama wangetilia maanani majibu yake basi wangemfatilia.
Sema wakapuuzia tu,
Joyce akiwa ndani ya daladala akaona kama gari haitembei vile wadudu walishaanza kumtambaa na kutamani gari hata ipae
“oyaa Thabit yule sister mbona hajatoa nauli mamaye zake wacha nimfate,
Kumbe gari ilipofika kituoni tu
Joyce akashuka na kuanza kukimbia mdogo mdogo kibaya zaidi akasahau kulipa nauli
Konda akamtuma mpiga debe
Amfate
Joyce kabla ajavuka geti tu akashikwa kwa nyuma kugeuka akakutana na sura chachuu
“wee Sister unajifanya tapeli sio”…
Hiyo sauti sasa utasema
kibata mbuzi.
“wee kaka vipi nimemtapeli nani?”
Joyce akauliza kwa mshangao
“unajifanya hujui sio si umeshuka kwenye gari bila kulipa nauli”

“ohoo I’m sorry kaka yangu nilipitiwa si unajuwa tena kuna mgonjwa nilikuwa ndio namuwai”….
Joyce akaongea hivyo na kufungua mkoba wake,
Jamaa si akaiyona simu na cheni ya dhahabu
Akaikwapua kabla hajapiga hatua moja
akimbie akajikuta anadakwa
na pandikizi la baba akiwa ndani ya Kombati ya kijeshi
wee inaitwa ukichimama nchale ukikimbia nchale, uchemeze uchiteme uchimung’unye
“haya rudisha hilo pochi haraka sana,
jamaa akawa mdogo
kama kudonge cha pilitoni akamrudishia
“samahani sana my sister”
ile kumkabidhi tu akaanza kupigwa ngumi miteke ya maana usiombe uwingie mikononi mwa Mjeshi ukiwa hujiwezi
utajuta kuzaliwa ndio kilichomkuta mpiga debe huyo akashikwa na kunyanyuliwa juu juu utasema ndoo ya maji vile.
Kisha akatupwa kwenye ukuta
“oyaa mbona kichaa wetu anapigwa kule si tumekaa tu hapa?

“wee nyau nini huwoni Kombati ile”
“kombati kitu gani bwana wakati nyumbani kwetu tunapigia deki chooni twendeni tukamsaidie kichaa wetu”…
Vijana wakahamasishana na kwenda kumvaa yule mjeshi
kiukweli alikuwa yuko fiti anapiga ngumi kwa kila atakaye sogea
Ghafla akapigwa na kitu kizoto kichwani
Mjeshi akaanza kuyumba huku na kule.
Hapo wakamuweza wakaanza kumpiga
Joyce akaingia hospital mbiombio
huku akipaza sauti kuita
“Hafiiiiidhi,,,,,Hafiiiiidhi!!!
Akashikwa na kuulizwa
“Joyce nini?”
Akaonyesha kule nnje,
Mwanaume hakuuliza sana akatoka,

Huku nnje mambo yalizidi kuwa mabaya kwa
Mwanajeshi yule, kwanza alipigwa na kuchaniwa mavazi yake,
kisha vijana wale wenye hasira
Mmoja wao akasema.
“oyaa tumtie moto nini?”
Wote kwa pamoja wakaitikia
“ndio maana yake”
“lete mafuta lete pira”……
Vijana wa kijiwe hiko sijui wamelishwa kitu gani yani bila hofu wanataka kumtia moto Mwanajeshi.
siku zote hakuna kitu kibaya kama kumpiga Mwanajeshi tena akiwa ndani ya vazi lake, ndio utampiga kwani sio kila mjeshi anajuwa ngumi
Kimbembe wakija wenzake utatamani ardhi ipasuke,
Basi
mafuta yakaletwa pira akaveshwa,
Hafidhi nae ndio anatoka hakuweza kuamini
Aisee macho yake yakatua moja kwa moja kwa jamaa
akiwa kachakazwa vibaya sana damu zikimtoka tena.
Kavishwa pira
wakati anashangaa na kujiuliza afanye nini,
Wazee wa kazi nao ndio wanaingia
kumbe mke wa
Mjeshi kapiga simu kuomba msaada
Team ikafika
yani wamekuja full mziki kitendo cha kufika tu wakaruka kutoka juu ya magari mawili waliyokuja nayo.
Hakuna cha kuuliza hiyo mwenzao si
washamuona.
Wakaanza kutembeza kichapo cha kufa mtu
yani vijana walijuta
kumpiga yule Mjeshi kama ujuavyo wanajeshi hawana dogo wala kubwa.
Basi ilikuwa piga yeyote yule
wengine wakaenda kumvua pira mwenzao na kumvisha yule aliyekuwa kashika kidumu cha mafuta.
Hafidhi akaona isiwe kesi wacha arudi ndani ya hospital kama msaada jamaa ameshapewa kelele za vilio
kutoka kwa vijana wale zilisikika.
Masikini ya Mungu kijana mmoja akachomwa moto alilia kwa maumivu, huku akikimbia huku na kule kuomba msaada
“jamanii”….nakufaa,,,motooo,,,
Mwishoe akadondoka chini na kuwa kimya
polisi nao wakafika, wakashindwa kufanya chochote
Wakabaki kutizama tu, wafanye nini kwenye ngoma ya kikubwa kama ile.
“Joyce vipi yule mtu nani yako mbona walikuwa wanataka kumchoma moto?”
Hafidhi akauliza baada kuingia ndani ya hospitali.
Joyce ikabidi amsimulie japo kwa ufupi tu,
“kumbe ni hivyo tu tuachane na hayo
twende wodini kwanza

ITAENDELEA....

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MTAA WA TATU SEHEMU YA 04
MTAA WA TATU SEHEMU YA 04
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/mtaa-wa-tatu-sehemu-ya-04.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/mtaa-wa-tatu-sehemu-ya-04.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content