$hide=mobile

Maeneo 8 ya kumshika mumeo ili kumpagawisha

Maeneo 8 ya kumshika mumeo ili kumpagawisha 1. LIPS Usidharau busu la mdomoni, kwenye kinywa cha mahbuba wako… hili ni jambo muhimu sana, ha...

Maeneo 8 ya kumshika mumeo ili kumpagawisha

1. LIPS

Usidharau busu la mdomoni, kwenye kinywa cha mahbuba wako… hili ni jambo muhimu sana, hasa busu la kimajnun. Unaweza kuwa mtu unayebusu, na hivyo utapata busu tupu, busu kavu, lakini mtu mahiri anayejua kubusu anajua namna ya kupata zaidi ya busu.

Ngozi ya mwanamke ina hisia sana (sensitive), na hata lips zake zipo hivyo hivyo. Ili kuepuka kumkera Layla wako, jitahidi sana kufanya usafi wa kinywa na eneo linalozunguka. Punguza kidogo ndevu zako, hasa za juu. Haya ni mambo madogo ambayo yanaweza kulifanya busu lako kumpagawisha kabisa. Mimi binafsi ninaamini katika maajabu ya nguvu ya busu, kulamba ulimi kwa mnyumbuliko wa kimahabba, kupeana nyama za midomo… unanielewa? Fanya hivyo huku ukimtazama machoni, mnyonye haswaa, lakini kwa mahabba na kwa utaratibu huku pumzi zenu zikipishana.

2. SHINGO:

Mwanamke anapenda sana mwanaume anaposhusha busu laini kwenye shingo yake! Elekea hapo taratiibu na kwa hisia adhimu! Unamng’ata kidogo, peleka lips zako zenye mate mate kwenye shingo yake. Hapo utaanza kusikia sauti za kimahabba zikimtoka bibie kwa raha, huku akilalama. Hili ni eneo lako, usiudhulumu ulimi wako kufanya kazi yake. Lakini usimpake udenda!

Busu la shingoni linaweza kuanza chini ya matundu ya masikio mpaka juu ya mtulinga. Mbele ya shingo ni eneo matata sana kulibusu kimahabba.

3. MTULINGA:

Eneo hili sio eneo linaloongoza kwa hisia, lakini unakuwa umeingia viwanja sahihi. Hili ni eneo ambalo kifua na mabega yake hukutana. Kumbusu juu ya mtulinga na chini ya shina la shingo mpaka kwenye bega, ni kitu ambacho anakipenda sana. Hapa pia nenda taratiiibu kwa miondoko maridhawa.

Mtulinga: Mfupa wa kola.

4. MASIKIO:

Hili ni eneo ambalo watu wengi hulipuuza, lakini nataka nikwambie kitu kama Majnun: maeneo yanayopuuzwa ndio yenye mambo matamu. Hata ukiangalia ile orodha yangu ya maeneo 9 yanayomsisimua mwanaume, ni maeneo ambayo watu wengi hawayajui au wanayapuuza. Sasa elekea hapo na ufanye taratiib, ingiza ulimi kwenye tundu la sikio na kuupitisha ulimi wako nje ya masikio kwa mahabba na bila haraka. Usiwe na haraka, ni mkeo huyo! Hili ni eneo ambalo litakusaidia kuujua udhaifu wake na kumfanya apende mchezo. Hata hivyo fanya kwa umakini. Kupumua kwa sauti na kubusu kwa makelele jirani na masikio yake sio kitendo cha kimahabba.

Kabla sijaendelea, nikwambie tena kuwa hayo ni maeneo ya wazi yenye msisimko kimahabba ambayo bila kuyataja orodha yetu hii itakuwa na upungufu. Watu wengi hawajui kuwa masikio ni miongoni mwa maeneo yanayobusiwa sana baada ya lips. Hivyo, yafanyie kazi.

5. MAZIWA / MATITI:

Baada ya eneo la chini ya underwear (nadhani umenielewa), maziwa ya mwanamke ndio eneo lenye hisia sana analolipenda na kulithamini vilivyo. Baadhi ya wanawake huweza hata kufika kileleni pindi maziwa yao yanapoguswa vizuri na kwa usahihi. Eneo lolote kwenye maziwa unaweza kulishughulikia kwa midomo yako na kufanya maajabu, lakini chuchu zifanye kuwa ndio kitovu cha mchezo wako.

Unaweza kubusu maziwa kwa nguvu kidogo kuliko maeneo mengine ya mwili, hilo ni sawa kabisa. Lakini, tambua kuwa wanawake wanatofautiana. Mmoja anaweza kufurahia namna unavyopachezea na kupanyonya, na mwingine anaweza kuhisi maumivu na hata kukereka.

Mwanamke anapokuwa kwenye siku za hatari, yaani siku za mwisho kuelekea kwenye ada yake ya mwezi, eneo hili huwa na hisia sana linaposhikwa na kuguswa.

Anza taratiib, na kwa ulaini, huku ukiongeza presha hatua kwa hatua. Unaweza kunyonya kwa nguvu kidogo, lakini hakikisha hutumii meno. Kupitia lugha ya mwili wake, unaweza kugundua iwapo anafurahia mchezo wako hapo na anataka uongeze kasi au unatakiwa kupunguza. Iwapo hafurahii, muulize, kwa sababu mawasiliano wakati wa kunyegeshana hunogesha mambo yakawa maridhawa.

6. NYUMA YA SHINGO

Eneo la nyuma ya shingo ya mwanamke ni eneo lenye joto la hisia ya ajabu. Kwa sababu uti unakuwa jirani kabisa na eneo la juu la ngozi. Anza kwa kulibusu eneo hilo taratiibu huku ukiacha unyevu kidogo. Lipumlie kwa hewa yako yenye joto na uvuguvugu. Libusu tena taratiib. Kumbuka kumshikilia vizuri kwa sababu anaweza kuwa anatetemeka kidogo kutokana na msisimko maridhawa anaoupata.

7. MGONGO:

Usipuuze eneo hili adhimu! Libusu taratibu kwa kuelekea chini, kuanzia nyuma ya shingo. Usiiguse ngozi bali ipumlie tu. Mshikilie vizuri wakati wa kufanya hivyo. Anaweza kupata msisimko wa aina yake unaoweza kumfanya ateteme na kulalama.

Wakati ukiendeleza chenga zako hapo, eneo la chini na juu ya maziwa yake usiliparamie. Eneo la mgongo ni eneo maridhawa sana kama unalifanyia kazi vizuri na kwa usahihi. Ukimbusu hapo vizuri anaweza kupata msisimko kama anaoupata wakati unapombusu eneo la nyuma ya shingo.

8. UBAVUNI:

Elekea ubavuni mwake na uiguse kimahaba ngozi yake kwa ulimi wako na mdomo wako wa juu huku ukiacha unyevunyevu. Mara nyingi wanawake hupata msisimko kutokana na kitendo hicho.

9. KIUNO:

Nyama za hips sambamba na kiuno chake ni eneo la tisa lenye msisimko wa kimahabba ambalo litakupeleka karibu na jawabu la siri ya namna ya kumsisimua mwanamke. Kulibusu eneo hili na kulinyonya humsisimua na kumpeleka kwenye ulimwengu mwingine kabisa. Usisahau kuzishughulikia nyonga zake pia. Fanya hivyo uone maajabu yake.

10. MAPAJA

Ukiniuliza eneo matata kabisa katika mwili wa mwanamke, mimi nitakwambia ni eneo la katikati ya mapaja. Ni eneo nyeti na lenye utatanishi wa aina yake pindi utakapopeleka vidole vyako na kumpapasa. Naam, huwa kama amepigwa shoti. Sasa itakuwaje iwapo ulimi wako utaligusa eneo hilo? Ni balaa!!!


COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Maeneo 8 ya kumshika mumeo ili kumpagawisha
Maeneo 8 ya kumshika mumeo ili kumpagawisha
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/maeneo-8-ya-kumshika-mumeo-ili.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/maeneo-8-ya-kumshika-mumeo-ili.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content