MADHARA YATOKANAYO NA MOSHI WA MAJUMBANI/KUPIKIA

*MADHARA YATOKANAYO NA MOSHI WA MAJUMBANI/KUPIKIA*
(Household air pollution).

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani(Who),takribani watu billion 3 hutumia nishati zenye moshi mwingi majumbani kwa ajili ya kupikia mfano...
Majiko ya mafuta ya taa(Stove),Kuni, mkaa na mabaki ya mazao...

Wengine huchoma vinyesi vya wanyama majumbani( wafugaji)....

#Kila mwaka takribani watu *million 4*  hufa katika umri Mdogo (they die prematurely) Kutokana na magonjwa yanayosababishwa na uchafuzi wa hali ya hewa majumbani..

# Karibu nusu ya vifo vyote kwa watoto chini ya miaka 5 vitokanavyo na ugonjwa wa pneumonia (Nimonia) ,husababishwa na moshi wa majumbani.

*Baadhi ya matatizo ya kiafya yatokanayo na uchafuzi wa hewa majumbani kutokana na moshi wa kupikia*

1.Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu mfano. Kiharusi,ischaemic heart disease.

2. Magonjwa ya mapafu, ikiwemo saratani ya mapafu, COPD.

3.TB.
4. Saratani ya koo(Nasopharyngeal and pharyngeal cancer).
5.Kushuka kwa kinga za mwili(Impared immune response).
N.k...

✍✍✍✍✍✍
*Namna ya kukabiliana na uchafuzi wa hewa majumbani*

>Punguza matumizi ya nishati zenye kutoa moshi mwingi mfano..kuni, mkaaa au majiko ya mafuta ya taa.

>Hakikisha nyumba yako inamadirisha makubwa ili upate hewa safi na kupunguza moshi utokanao na mapishi.

>Tumia umeme au majiko ya gesi kupikia...

> Zingatia taratibu za utunzaji mazingira...

*FIKISHA UJUMBE HUU KWA WENZAKO*


COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : MADHARA YATOKANAYO NA MOSHI WA MAJUMBANI/KUPIKIA
MADHARA YATOKANAYO NA MOSHI WA MAJUMBANI/KUPIKIA
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2018/12/madhara-yatokanayo-na-moshi-wa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/madhara-yatokanayo-na-moshi-wa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy