$hide=mobile

KIVUTIO CHA MUME

*KIVUTIO CHA MUME** Wanaume wanapenda wanawake wanaowavutia kihisia. Wanawake mlioolewa jueni kuwavalia waume zenu mavazi yanayovutia. Si vi...

*KIVUTIO CHA MUME**

Wanaume wanapenda wanawake wanaowavutia kihisia. Wanawake mlioolewa jueni kuwavalia waume zenu mavazi yanayovutia. Si vibaya kama utavaa kanga moja endapo uko na mumeo ndani.

 Wanandoa tambueni kwamba,  mnapokua karibu na waume zenu  mnatakiwa mjiachie.  Hakuna ubaya endapo mumeo anarudi kutoka kazini akiwa amechoka, wakati unapomtengea chakula baada ya kuoga ukiwa na kanga moja au night dress.

 Unaweza kuona hilo ni jambo dogo lakini kisaikolojia utakua umefanya jambo kubwa. Hata kama ameudhiwa kazini kwa kumfanyia hivyo, ni lazima atasahau maudhi yote ya kazini kwa kukuona wewe mke wake mpendwa.

                 MWANAMKE USAFI

 Kwa kawaida mpangilio wa vitu vya ndani hasa chumbani, unapokaa mbovu unaweza kuathiri hata tendo la ndoa. Kama chumba ni kichafu vitu havijapangwa vizuri, kisaikolojia kunapunguza msisimko wa mapenzi na hata kumfanya mwenzako achukie kufanya na wewe tendo, hivyo ukadhani hakupendi.

  Mwanamke tandika kitanda chako vizuri, panga chumba chako vizuri kivutie, sio shaghala baghala. Chumba kinapokua kisafi na kitanda kinapokua kimetandikwa vizuri pamoja na wewe uko msafi, kisaikolojia kutamfanya mumeo awe na hisia za kimapenzi haraka kuliko kawaida.

  Mazingira mazuri ya nyumba pamoja na unadhifu wako wa mwili, vitamfanya mumeo hata akiwa kazini ana kumbuka kurudi nyumbani mapema. Hakuna kitu kinacho mchukiza mwanamme kama kua na mwanamke mchafu asiejipenda.

  Sio lazima ujirembe sanaa, lakini jitajidi uwe msafi. Oga vizuri paka mafuta yako au loshen yako, jipulize manukato kidogo yanayomvutia mumeo. Sio lazima utumie gharama kubwa, usafi wa kawaida unatosha, na kupaka loshen kuna fanya ngozi ya mwanamke kuwa lain yenye kuvutia, inaleta msisimko mumeo anapokuangalia mara kwa mara.

  Wanawake wa nje hawana jipya wanapochukua waume za watu na kuwaweka kiganjani zaidi ya kuwateka kiusafi na kuwapikia vyakula vitamu. Mwanamke jitajidi kumpikia mumeo chakula cha suprays kila mara. Mwanamke anaemjali mumewe hawezi kukariri chakula kimoja kila siku.

 Hebu kuanzia leo fanya kumshtukiza mumeo kwenye chakula ambacho hujawahi kumpikia. Njia hii nayo inaongeza mapenzi kwa mume na kumuona mkewe ni wa thamani kubwa sana.  Atathamini uwepo wako na kujiamini mbele ya marafiki zake kua ana mke bora, na sio bora mke.

 Mwanamke jitajidi kila siku mumeo akuone mpya, sio anakukariri siku zote anavyokuacha ndivyo anavyokukuta. Mlinzi wa nyumba ni mke, mlinzi wa mume ni mke.  Mwanamke jitahidi mumeo anapotoka hakikisha yuko msafi  kila idara. Mwanamke utachekwa endapo mumeo katoka rafu rafu, shati limekunjana, kiatu ni kichafu. 

 Hayo yote ni majukumu yako wewe mwanamke. Mwanamke ndio mwalimu wa kwanza hadi kwa kizazi chenu.  Usipokilea katika maadili mazuri, basi kitakuja kusumbua baadae. Mume ni kama mtoto, unapaswa umdekeze kama unavyo dekeza watoto w
❤❤❤❤❤❤❤❤KIVUTIO CHA MUME

❤❤❤❤❤❤❤❤

*   *

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : KIVUTIO CHA MUME
KIVUTIO CHA MUME
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/kivutio-cha-mume.html
https://www.bongolives.com/

true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content