KISA CHA DADA MMOJA AKIWA AIRPORT

Dada mmoja alikuwa airport akisubiri connetion ya
ndege yake, wakatangaziwa ni 2 hrs waiting time. Akaamua kununua gazeti na box Dogo la biscuits, akatafuta sehemu akakaa kusoma gazeti kusubiri muda ufike wa kuingia kwenye ndege, alipokaa pembeni yake
kulikuwa na kaka nae anasoma gazeti
akisubiri ndege.
Dada alishangaa alipokuwa akitoa biscuit kwenye box aliloliweka
pembeni yule kaka nae anachukua moja
anakula, akamwangalia kwa hasira, kaka akawa anatabasamu.
Dada akakasirika akataka kumtolea maneno machafu akajizuia. Ukawa mchezo kila dada
akichomoa biscuit moja yule kaka nae anachukua moja. Ikaendelea hadi ikabakia
biscuit moja. Yule kaka akawahi kuichukua
akaimega nusu akampa yule dada, ...dada kwa ghadhabu akanyanyuka akamtukana sana yule kaka na maneno ya kumdhalilisha
kwanini anavamia vitu vya watu asinunue
vyake!! Kaka alikaa kimya bila kumjibu yule
dada.
Mara wakatangaziwa muda wa kuingia
kwenye ndege, yule dada akaingia akimuacha kaka nae akisubiri ndege yake.
Alipokaa kwenye siti yake akafungua mkoba
aweke simu yake, mara alishtuka kuona box
lake la biscuits zima wala halijafunguliwa,
kumbe alikuwa anakula biscuits za yule kaka. Akajutia sana akatokwa na machoz jinsi alivyomdhalilisha yule kaka, na muda
wa kurudi kuomba msamaha haupo tena
kwani milango ya ndege ilishafungwa na
kuanza kuondoka. "Muda wa kuomba msamaha kwa
uliyemkosea upo usisubiri milango ifungwe"...
Kiburi ni sifa ya Shetani..
Nawatakia mwisho mwema wa mwaka 2018... KUPENDANA NI AMRI kutoka kwa Mungu wetu so ndugu zangu please tuache majigambo tuombane msamaha na tusameheane! mtag mwenzako kuonesha upendo hata kama ulimkosea apate kukusamehe...karibu 2019  AM READY!

SHARE na uwapendao!!

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : KISA CHA DADA MMOJA AKIWA AIRPORT
KISA CHA DADA MMOJA AKIWA AIRPORT
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2018/12/kisa-cha-dada-mmoja-akiwa-airport.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/kisa-cha-dada-mmoja-akiwa-airport.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy