JE! UNAZIJUA SEHEMU ZA KULETA UFUNDI KITANDANI? | BongoLife

$hide=mobile

JE! UNAZIJUA SEHEMU ZA KULETA UFUNDI KITANDANI?

*JEE UNAZIJUA SEHEMU ZA KULETA UFUNDI KITANDANI?*

wanandoa wengi ndoa zetu zinafunjika kwa sababu ya kutojua elimu ya mapenzi ndio maana kuna kuwa na usugu katika uhusiano sasa leo tuvunje ukimya kidogo​​​​​​

tuanze na sehemu ya kwanza kabla ya kukimbilia kuvua chupi huku kwetu twaziita  shupi​​​

*KUKUMBATIA*

 Mwili wa mwanamke ni nyetiti kwako yaani mwili wote ni muhimu sana kukumbatia ni mwanzo wa safari ndefu ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuwa injini ya mwanamke inachukua muda mrefu sana kufika huko juu (kileleni-kupiz)

*USO*

Kutanisha uso wako na uso wake lenegesha pua yako na pua yake,mbusu,chezea paji lake la uso kwa kupapasapapasa kuanzia juu mpaka chini huku unarudia rudia hivyo hivyo,unaweza kuiramba pua yake na paji lake la uso (ila hapa usafi muhumu sana) itakuwa ni hatua ya mwazo ya kuanza kuvuta hisia

*MIDOMONI (LIPS)*

Chezea lips zake kwa kutumia ulimi wako na meno yako, mbusu kwa masikio,ng’atang’ata kidogo midomo yake, kisha malizia kwa kunyonya ulimi wake utaanza kupata majibu ya zoezi lako.

*MATITI*

Wakati upo safarini katika zoezi hili anza kuchanganya viungo ili uweze kupata ladha  kwa kuchezea chuchu zake  yapapase matiti yake huku unayaminya minya kwa upole,  ni vema kama utayanyonya anza kwa (lips) zako huku umezishika kisha zitekenye kidogo kwa kutumia ncha ya ulimi wako, sasa endelea kuzinyonya hizo titi

*MASIKIO*

Vuta kasi ya kuhama hapo au kufanya yote kwa pamoja  ikiwa mkono wako mmoja unaendelea kutomasa tomasa matiti kwa ufundi huo, Ulimi wako uhamishie sikioni anza kulamba  sehemu ya nje ya sikio  hasa miisho yake unaweza kung’ata ng’ata  kimtindo mtindo hivi (kimahaba nawe kani hujui)  kisha ncha ya ulimi wako ipenyeze kwa ndani kwa mwendo wa kitekenya tekenya hivi.

*NYWELE NA SHINGO*

Nywele huleta athari kwa kuchezewa hassa kwenye ncha za misuko yake ya upande wa kisogoni maeneo ya (medulla obrangata) mahali ambapo kuna mishipa ya fahamu (Nervous system).

*MAKALIO*

Taratiiiibu shusha mkono wako kutokea shingoni ulete taratibu mgongoni, moja kwa moja mpaka kiunoni, zungusha zungusha kidogo hapo kiunoni unaweza kumtekenya kidogo,  kisha yapapase papase makalio yake kwa kuyaminya minya,  wanawake wengine hujihisi raha zaidi ikiwa utayapiga piga kidogo.

*MAPAJA*

Safari inaendelea zaidi  kwa kutumia ubapa wa mkono wako  papasa sahemu ya ndani ya mapaja yake, ukipenda ramba ramba mapaja yake kwa ulimi wako

*NYAYO*

Nyayo za mwanamke zinamishipa ya fahamu ambayo humfikisha kileleni (hapa sasa chunga sana na wapaka rangi za kucha) kwa kusuguliwa , kuminywa minywa kama unachora mistari hivi, piga piga kwa vidole viwili,bonyeza kwa nguvu bila kuleta maumivu wala usimtekenye.
minya minya vidole vyake tilia mkazo kidole cha kati cha mguu wake, kwani kidole hicho kina mishipa ya fahamu iliyounganika na uke kisha sasa unaweza kuanza kuuchezea uke, kisimi na G spot kabla ya kuanza kula tunda.

*NYONGA (HIPS) UKE,KISIMI NA G SPOT*

Angalia katika sehemu zifuatazo nimeelezea
“Mwanaume hufikia kileleni haraka kabla ya mwanamke, namna ya kufanya ili na mwenzio afaidi  na makosa yanayofanyika wakati wa tendo hili la ndoa” maswali ambayo umeulizwa kwa kushikwa maeneo yako nawe waweza jibu hivyo hivyo onesha ushirikiano mwanamke kujituma na nyege kunyegezana,
 wanaume wengi hupenda wanawake wanaojituma katika sehemu hii, kwa hivyo kwa kuyasughulikia maeneo haya kisawa sawa  kutampelekea kumapawisha na kumfanya mwanamume awe anakumbuka utundu wako  hata awapo kazini au barabarani  na kutamankurudi nyumbani mapema

❣By Tanga boy❣❣

COMMENTS

BLOGGER: 1
 1. *❤❤FAHAMU SEHEMU AMBAYO MWANAMKE AKIGUSWA HUSISIMUKA ZAIDI NA KUTAMANI KUTOMBWA ZAIDI ANAPOSHIKWA KWENYE G SPOT*
  ����������..

  *DARASA LA MAHUSIANO*

  ⏩��Grafenberg Spot a.k.a G-Spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe ambacho kipo ndani ya Uke,kwenye upande wa juu inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani.
  ❤❤❤❤

  ⏩��Wakati mwanamke anapozidi kupata hamu ya kupata raha na utamu,kuna tissue ambayo ipo karibu naimezunguka urethra,inakuwa engorged with blood,na kusababisha Skenes glands zitengeneze Prostatic Fluid na kufanya hicho kiharagwe kidinde/kisimame na process yake haina tofauti na process ya kusimama kwa mboo ya mwanaume,lazima uelewe kuwa kama hujazipandisha hamu zake vya kutosha,basi itakuwa kazi sana kukipata kidude hiki.

  ⏩����ILI UMKOJOZE ,KWANZA LAZIMA UJUE G SPOT ILIPO THEN UCHEZE NAYO HIYO KWA KUIMASSAGE KWA VIDOLE VIWILI
  ❤❤❤❤❤

  ��JINSI YA KUFANYA.��
  ❤❤❤❤❤❤❤❤

  * Hakikisha umeshamfanyia maandalizi zaidi ya dakika 10,inatakiwa awe tayari Uke wake upo wet kabla hujaanza kusisimua G-spot yake,
  ⏩��kuna njia mbili za kusisimua G-SPOT

  1:KWA KUTUMIA KIDOLE/VIDOLE.

  * ��Hakikisha kucha zako fupi na mikono yako misafi.

  *��Hakikisha kuma yake umeloa vya kutosha.
  ❤❤

  *��akiwa amelala kitandani,Ingiza kidole kimoja ( kama uke wake uko tight ) au zaidi ya kimoja ( kama uke wake sio tight sana )
  ❤��

  *Elekeza kidole/vidole vyako viende upande wa juu wa uke kwani huko ndiko G-spot ilipo.
  ❤��

  *��Kidole/vidole vyako vitafeel kinyama au kisponge kilaini ambacho kina umbile kama kiharagwe upande wa juu wa uke.
  Ukishakipata,anza kukitekenya kwa kufanya kama vile unamwita mtu au unamwambia mtu alete kitu fulani kwa ishara ya vidole,hapo kidole/vidole vyako vinatakiwa vicheze,na wala visitoke nje kwa sababu G-spot inahitaji au inataka msisimko unaoendelea.
  ❤❤❤❤

  * Endelea kufanya hivi,baada ya dakika 1 ongeza speed kidogo kulingana na jinsi anavyojisikia.
  ❤❤❤

  *Unaweza kumfanya azidi kudata kwa kulamba na kunyonya kisimi chake na muda huo huo unaendelea kustimulate G-spot kwa kutumia kidole/vidole vyako.��
  ❤❤❤

  *����Ukiwa unachezea kisimi wala hata haitochukua muda mrefu,atafika kileleni fasta,atahangaika mwenyewe hapo kitandani,kujigeuza geuza na kujinyonga nyonga,ataongea lugha za ajabu zisizoeleweka au atapiga kelele kwa hivyo jipange,tena anaweza kusquit kabisa.��
  ❤❤❤❤❤❤

  ⏩2����Njia ya pili ni kwa kutumia Mboo yako
  ��ukiwa tayari ushaingiza kwenye Uke wake,hakikisha unapokuwa unapump,basi lenga upande wa juu kwenye G-spot ilipo,Najua mshazoea kupump bila kuwa na lengo lakini nataka mjue kuwa ukiwa unapump,lenga upande wa juu, utaona anamwaga maji mengi zaidi(squit) raha hiyo itamfikisha kileleni na utamridhisha kwa haraka ?❤��������������

  JibuFuta
Use [video]youtube-or-vimeo-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : JE! UNAZIJUA SEHEMU ZA KULETA UFUNDI KITANDANI?
JE! UNAZIJUA SEHEMU ZA KULETA UFUNDI KITANDANI?
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/je-unazijua-sehemu-za-kuleta-ufundi.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/je-unazijua-sehemu-za-kuleta-ufundi.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy