FAIDA ZA KUOLEWA | BongoLife

$hide=mobile

FAIDA ZA KUOLEWA

*_FAIDA ZA KUOLEWA*_


Tuangalie kwanza thawabu anazo zipata mwanamke kwa ajili ya kuolewa


1: kila jambo analo lifanya nyumbani kwake huandikiwa thawabu za sadaka✍​

2: Akimuangalia mmewe na akacheka akafurahi huandikiwa sadaka✍

3: akistarehe nae huandikiwa thawabu mpaka waoge✍​

4: akibeba mimba mwanamke huyo Huandikiwa thawabu mpaka Ajifungue✍

5: siku hiyo Ameza hufutiwa dhambi zake zote japo ninyingi kuliko bahari✍​

 *ALLAH AKBARU*

Mwanamke mwenye kutekeleza haki za mumewe mtume s.a.w alimsifu katika sifa ya nne


 *MWANAMKE MWENYE DINI* ✍​

Na mwanamke mwenye dini sio yule anae jua kusoma sana Qur'aan wala sio yule ambae amehifadhi sana Qur'aan wala sio yule ambae anajua kadha wa kadha kuhusu ndoa

❤❤ *BALI NI YULE MWANAMKE MWENYE KUTEKELEZA HAKI ZA MWENYEZIMUNGU NA ZA MUME WAKE❤❤
*
✏Mtume s.a.w alisema

Akiswali mwanamke sala zake na akafunga mwezi mtukufu wa Ramadhani na akamtwi mme wake ataingia peponi kwa mlango wowote autakao

pia huombewa msamaha na viumbe


Ndege Angani


Samaki baharini


Malaika mbinguni


Vyote vinamuombea msamaha mwanamke huyo

Hadithi ya pili ikasema✍​

❤Mwanamke atakae  fua nguo za mme wake hupandishwa daraja 1000


Anasamehewa madhambi 1000

✍​
Na anaandikiwa thawabu 1000✍


Leo hii dada/mama/wake zetu wanachukua nguo za waume zao wanasukumia wa wafanyakazi wafue Innalillah wai.nnalillah rajiun


Hizo ndo thawabu wanazo zipata kina mama wewe uliyekua kwenye ndoa jichukulie thawabu izi wewe ambae haupo kwenye ndoa tufanyenihima tuingie ili nasi tuzipate izi thawabu,usichague mume kisa hana gari, nyumba, fedha ndo iwe sababu ya kukataa.. ndoa ni stara na stara ya mwanamke ni kuwa na mume wake❤

kama umeupenda ujumbe huu share na dada/mama/mke wako ili wapate kutambua wao ni wathamani kiasi gani mbele ya mungu na mumewe

*@from Hassan Abdulkareem* ❤
        

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,146,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,192,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,13,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : FAIDA ZA KUOLEWA
FAIDA ZA KUOLEWA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/faida-za-kuolewa_31.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/faida-za-kuolewa_31.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy