FAHAMU KAZI ZA NYANYA MWILINI PAMOJA NA FAIDA ZA JUIS YAKE | BongoLife

$hide=mobile

FAHAMU KAZI ZA NYANYA MWILINI PAMOJA NA FAIDA ZA JUIS YAKE

FAHAMU KAZI ZA NYANYA MWILINI PAMOJA NA FAIDA ZA JUIS YAKE,

KAZI YA NYANYA KTK MWILI,

1)HUSAIDIA KUPUNGUZA HATARI YA MAGONJWA YA MOYO,

2)HUZUIA MAGONJWA YA FIGO,

3)HUONDOA KOLESTEROLI MWILINI,

4)HUIMARISHA KINGA YA MWILI,

5)HUZUIA SARATANI MWILINI,

6)HUSAIDIA KUSAFISHA DAMU,

7)HUJENGA AFYA YA NGOZI,.

8)HUPUNGUZA MAUMIVU YA KICHWA (migraines)

9)HUBORESHA AFYA YA MIFUPA,

10)HUSAFISHA KOO KUTOKANA NA KIUNGULIA,
Pia
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizokwisha fanyika, pamoja na virutubisho vingine ilivyonavyo, nyanya ina kirutubisho muhimu na cha kipekee kinachojulikana kwa jina la Lycopene. Kirutubisho hiki kina uwezo mkubwa wa kutoa kinga dhidi ya saratani.

Aina mbalimbali za saratani zinazoweza kuzuilika kwa kula nyanya zimeorodheshwa kuwa ni saratani ya kibofu, saratani ya kizazi, saratani ya njia ya haja kubwa, saratani zote za tumbo, mdomo na saratani ya koo. Nyanya mbichi ndiyo yenye sifa ya kutoa matokeo mazuri.

FAIDA ZA JUIS YAKE;

1. Husaidia kuulinda mwili dhidi ya kolesteroli

2. Juisi ya nyanya ina kiasi kingi cha vyanzo vya vitamini A na C

3. Faida nyingine kubwa ya juisi ya nyanya ni uwezo wake katika kukusaidia kupunguza uzito uliozidi mwilini.

4. Kama kuna juisi nzuri kwa mwili basi ni juisi ya nyanya, na ndiyo maana nyanya ni kiungo kwa karibu kila mboga jikoni.

5. Juisi ya nyanya pia ina kiasi kingi cha Vitamini B6

6. Juisi ya nyanya huondoa sumu kwa urahisi zaidi mwilini sababu ina kiasi cha kutosha cha klorine na sulfur,

7. Rangi nyekundu katika nyanya ni matokeo ya kimiminika mafuta kiitwacho ‘lycopene’ ambacho kazi yake kuu ni kuondoa sumu mwilini.


COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : FAHAMU KAZI ZA NYANYA MWILINI PAMOJA NA FAIDA ZA JUIS YAKE
FAHAMU KAZI ZA NYANYA MWILINI PAMOJA NA FAIDA ZA JUIS YAKE
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/fahamu-kazi-za-nyanya-mwilini-pamoja-na.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/fahamu-kazi-za-nyanya-mwilini-pamoja-na.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy