BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 32 | BongoLife

$hide=mobile

BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 32

___BIKRA YANGU HAKI YA BABU___
                  (Love Story......... Part 32.)

"MTUNZI:Geofrey Mustafa,©Jafa: mkali mpya"
                  (WhatsApp: 0713024247)

    "HII NDIO SEHEMU YA MWISHO YA STORY"
©Jafa
TULIPOISHIA..... ⏪⏪
Basi wakiwa njiani Sam akamwambia John, waende Kwa Shangazi yake Recho ili ajue tatizo la Recho Maana yule Ndio ndugu wa Recho anaye tambulika kwao. Lakini John akamwambia Hapana bwana, ngoja nimpigie simu Mjomba wake tu inatosha.
Lakini ata baada ya kuwasiliana na Mjomba wa Recho ambaye ndio mume wa Shangazi yake Recho, John alifokewa sana:
Mjomba; " Yani wee Kijana bado upo na uyo binti..!! Mimi nilimuacha Shangazi yake kitambo sana tangu siku ile uliponipa zile taarifa, sasa Nakwambia utakuja kujuta mdogo wangu..!"
Baada yakumaliza kuongea Mjomba akakata na simu kabisa, nakumfanya John awe hana ndugu wa karibu wa Recho ata mmoja kwa hapa mjini, na namba za kule kijijini hakuwa nazo ata moja Maana aliondoka kwa hasira sana. Basi rafiki yake Sam akamtia moyo nakumwambia hasiwe na wasi wasi  atakuwa naye bega kwa bega muda wote wala asijali yaliyopita..Kisha kila mmoja akaenda zake kwake kulala nakusubiri Siku mpya......!!!

                     ©Jafa
                    ENDELEA KUSOMA...
Saa kumi na moja alfajili John alikuwa tayari kaamka Kitandani kwake nakuanza kujiandaa ili aende Hospital alikokuwa amelazwa mpenzi wake Recho kwaajili yakujifungua, na ilipofika saa moja na dakika kumi na saba Simu yake ikaanza kuita alipoipokea alikuwa ni rafiki yake Sam akimuuliza juu ya muda wa kwenda kule Amana hospital John akamwambia wawahi ikiwezekana ata saizi safari ianze poa tu. Basi saa chache baadaye Sam akawa amefika kwa John wakapeana salamu na safari yakwenda kwa Recho ikawa tayari.
Walifika pale Amana wakakuta tayari kuna watu wengi sana ilo wao hawakujali Maana walijua pesa inaongea unaweza ukawahi kufika Lakini ukawa wa mwisho kuludi nyumbani.
John akampigia simu Doctor ili ajue utaratibu unakuwaje maana hakupenda kukaa na umati wawatu tena wakina mama na watoto:
John; "Hallo doctor, John hapa naongea..yule mume wa Recho umenipata...?"
Doctor; "Naam! Nimekupata aisee, sasa naomba uvumilie kidogo maana mkeo anaonekana ana tatizo kubwa sana tena tuombe MUNGU..! Usiku wauguzi hawaja pumzika kwaajili yake, tumemtundikia maji drip tano Ndio kidogo hali ikawa afadhali. Nadhani mpaka saa tatu asubuhi tunaweza kumfanyia opalesheni, hapa kinacho subiriwa ni huyu mtoto aliye tumboni kutulia basi."
John; "Doctor, au iyo mimba itakuwa imeusika na maswala yakishilikina, mbona Kama inakuwa tofauti na mimba zingine..??"
Doctor; "Aisee Mimi ni msomi..! Kwaiyo sijui kabisa habari za uchawi, alafu sitakiwi kabisa kuamini jambo ilo maana ntakuwa naidanganya sayansi pamoja na elimu yangu pia.."
John; "Sawa Doctor, nisamehe kwa ilo..niliona nikuulize tu labda unaweza ukawa na wazo lako binafsi juu ya tatizo la mke wangu"
Lakini John wakati akiendelea kuongea na doctor kwa njia ya simu..Ghafla Doctor akamwambia, "Aisee ebu kata simu haraka sana kuna muuguzi kaleta taarifa mbaya juu ya mkeo kata simu tafadhali.... Tiiii....tiiii...!!
Basi John akakata simu lakini akabaki mdomo wazi.. Huku Sam akimpa maneno yakumtia nguvu kuwa hasiwazi mambo yatakuwa sawa.
Hayo mambo yakawaida sana ukiwa mahospitalini.

Katikati ya jopo la madaktari Recho alikuwa amelala huku tumbo lake likiendelea kuweka alama za maandishi Kama mihuri vile yaliyokuwa yanakuja nakupotea yakisomeka: " NITOENI HUMU BHANA VIPI.... NITOENI NIMESHA CHOKA KUKAA TUMBONI...!! NIMEKAA MIAKA 86, AMNIONEI HURUMA...!!
Ilikuwa ni mshangao mkubwa kwa kila Daktari aliye kuwa pale, kilicho saidia ni kwamba wale ni Madaktari bingwa wamezoa kuona vifo na mambo mengi ya ajabu, japo ili la Recho lilikuwa limevunja record ya dunia.
Basi utaratibu wa opalesheni ukaanza huku kila daktari akiwa na shauku yakutaka kuona kile kilichpo tumboni nini mpaka kifanye vile, wakati shughuli nzima ikiendelea palikuwa na Camera mahalu ambazo ziliwekwa mahalumu kuchukua tukio zima, wakati uo Recho yeye alikuwa kapoteza fahamu kabisa baada yakuchomwa sindano ya NUSU KAPUTI...!
mambo ya ajabu yakaendelea mpaka ikafika hatua Recho akaanza kuongea sauti nzito yakizee tena mzee haswaaaaa...!!
"NINYI FIJANA KUWENI MAKINI NA IZO VESU ZENYI, ATAKAYE NIKATA ATAJUTA...!!!
Alikuwa mshangao mwingine mkubwa kwa madaktari wale, Maana Recho alipigwa sindano ya Opalesheni ambayo ni nusu kifo sasa inakuwaje aweze kudhughumza......!!!!
Basi Daktari aliye kuwa akimpasua tumbo alipo maliza tu kuchana mfuko wa uzazi.....Ghafla ukanyooshwa mkono huku kidole kikimuonyesha yule doctor kama kumsihi aache iyo shughuli... Lakini yule Doctor hakujali akataka kuushika ule mkono.. Ndipo ghafla..kikaibuka kichwa huku kikifoka kwa sauti kama ilo ya mwanzo aliyokuwa akiiongea Recho. Kilipo ibuka tu madaktari wote wakaludi nyuma maana kilikuwa ni kichwa cha mzee kikongwe tena mwenye mvi na mapengo huku akiwa na meno matatu yaliyo choka kabisa...! Basi kikawa kinawafokea wale Madaktari:
" Nyie watoto wapumbavu sana, kwanza mmenitolea njia isiyo sahihi, angalieni jinsi mlivyo nichafua..! Alafu nataka nichukue INI au FIGO hapa tumboni wewe unanivutia nje..!!"
Baada yakumaliza kuongea kikazama tena tumboni...!! System ya Presha ya Recho ilikuwa hatarini maana muda wa opalesheni ulikuwa unaisha kwaiyo kuna hatari yakupoteza maisha... Ikabidi Daktari mkuu ampigie simu mume wa Recho yani John aje ndani....!!
Wakati uo akachukua sindano Kali ya kulevya akakiduga kile kiumbe ambacho ni mtoto aliye zaliwa lakini akiwa ni mzee wa miaka 86, tena mpaka ngozi yake imesinyaa.

Ile sindano Kali ikasaidia wakafanikiwa kukitoa kile kiumbe kisha kikawekwa kwenye mtambo mahalumu kwa ajili ya watoto wachanga, kisha shughuli ikabaki kwa Recho ambaye kwakweli madaktari wote walikuwa busy kuokoa maisha yake ili aone mtoto aliye jifungua ni wa aina gani  wakati waliendelea kupigania uhai wa mrembo huyo, John na Sam walikuwa kwenye chumba mahalumu cha Daktari wao wakiendelea kushuudia namna ambacho kazi yakuokoa maisha ya mpenzi wake iliyokuwa ngumu kupitia screen mahalumu iliyokuwa pale ndani kwa Daktari, Madaktari waliendelea kumshona huku wengine waliendelea kumpa syrup ambazo ni dawa za mfumo wa kimiminika..huku akiongezwa damu chupa tano,maji ndio zaidi ata ya liter ishilini....!!!
Baada ya sekunde chache PB ya Recho ikawa sawa, hapo madaktari wakapumua nakumuacha apumzike.

Baadaye kidogo Recho akapata fahamu kabisa kisha akafungua macho yake, wauguzi kuona vile wakampa taarifa Daktari kisha akaja akiwa na ameongozana na John mpaka pale. Ikumbukwe muda wote huo John wala si Recho hakuna aliyekuwa anajua juu ya mtoto aliyezaliwa..! Basi John akampiga busu mpenzi wake Recho huku akiwa kalala vile vile. Kisha Recho akaanza kuongea:
Recho; "Mtoto wangu yukwapi, umemuona..?"
John; "Hapana, natamani nimuone mwanangu sijui atakuwa kufuata sura ya nani..?"
Recho; "Sijui, kwani upo nanani hapa hospital?"
John; "Nipo na rafiki yangu wapekee tena ndio aliye lipa ghalama zote za matibabu mpaka wewe saizi unaona upo katika hali hiyo."
Recho; "Nani mbona hujamleta ndani anione jamani..! Mlete bwana sweet nimjue.."
Aisee Recho hakujua Kama rafiki mwenyewe ni Sam Kijana handsome aliye taka kumsababishia kifo siku ile, leo ndio uyoo kalipa pesa zote za matibabu yake. Basi John akaenda akamchukua Sam pamoja na yule Daktari wao wakaongozana mpaka wodi ya Recho wakamkuta akiwa kafungua macho.
Basi John akamwambia Recho huku akimuonyesha Sam kwa mkono:
John; "Huyu ndio rafiki yangu mwenyewe aliyesimama bega kwa bega pamoja na Mimi kuakikisha mambo yanaenda sawa juu yako."
Basi alipomaliza tu kuongea.. Mala Recho akaanza kulia huku akisema "Nisamehe Sana jamani wee mkaka, naomba unisamehe kwa kile nilichokufanyia siku ile nakuomba.."
John alipoona ivyo ikabidi amwambie Recho hasiwe na wasiwasi wowote ndio maana yeye hakumfanya chochote rafiki yake Sam, maana alikuwa anajua kila kitu kilicho kuwa kimetokea pale ndani kuna jilani akimpa taarifa zote.
John; "Mimi najua wewe ulikuwa umekubaliana vizuri kabisa na Sam, ila baadaye wewe ukamgeuka nakumfanya yeye mbakaji"

Basi wakiwa kwenye madhungumzo yao, Mala Muuguzi akaja akiwa na yule mtoto wa Recho huku akiwa analia kwa sauti yakizee tena mpaka wagonjwa wengine wakashikwa na bumbuwazi..!! Maana wakimuangalia muuguzi kabeba mtoto tena mikononi tu Lakini sauti yake ni ya mtu mzima tena kikongwe.
Basi yule Nesi alipofika kwa Recho akamwambia Daktari wake maana alikuwa pale na wakina John:
Nesi; "Doctor nimeona analia sana sasa nimeona nimlete ili anyonye maziwa kidogo"
Doctor; "OK, mpe na Babaake amuone kidogo mwanaye alafu ndipo anyonye"
Muda wote huo alikuwa ametulia kimya kabisa, basi yule nesi akampa yule mtoto John, Sasa John ile kumfunua tu....Noooooooo!!!! Nini hiki wewe.....!!! Ikabidi ampe tena nesi..Lakini nesi naye akampa Recho ili anyonye kidogo.
Aisee Ile tu kufika kwa Recho yule mtoto kikongwe... Akasema: "Asanteni mmeniludisha kwa mpenzi wangu......!!!"
Baada yakuongea ivyo kikachomoka nakudaka ziwa huku maumbile yake yakiume yakiwa makubwa kama mguu wake tena yaliyo simama hatari...!!! Ikawa hatari tupu pale Recho akawa analia akiomba msahada maana kile kiumbe kilikuwa kinaongezeka kila dakika huku kucha zake zikiwa zimemtoboa Recho kifuani mwake... "John nisaidie nakufa Mimi ananinyonya damu jamani...Nakufaaaa John mpenzi... Walipo karibu kukitoa hakikutoka kilizidi kumng'ang'ania kifuani Recho huku kikimnyonya damu kupitia ziwa lake..!!

Kweli mdomoni mwa yule mtoto kikongwe mlikuwa mnavuja damu huku kiki zidi kukua nakuwa kikubwa...!!!
Basi zilikuwa kelele nyingi sana pale, ndipo ghafla John akachukua mikasi nakukitoboa toboa  kichwani kile kitoto kizee..alafu akakivuta pembeni ya Recho, lakini muda uo Recho alikuwa akitoa povu na damu mdomoni mwake huku ziwa lake likiwa limetobolewa na meno ya yule mtoto kikongwe huku likitoa damu nyingi sana hali iliyomfanya Sam aogope sana...!!

Baada yakuona ivyo Daktari ikabidi ampime haraka mapigo yake ya moyo.. Aisee Recho alikuwa tayari kapoteza maisha.. Kafa...!!!!
John; " Doctor vipi, mbona umepoa ghafla..??"
Doctor; "John Recho sio wako tena.....!!!AMESHA FARIKI DUNIA.....!!!!
John alilia Sana "Rechoooo.....wangu  Mimi...??? mpenzi...umeondoka mapema Sana Nooooooo....Kwanini ulikubali mila zakijinga zile mpenzi Noooo!!!
Basi ndio ikawa ivyo wakamchukua pamoja na kile kitoto ambacho nacho baada yakupoteza maisha kilibadilika nakuwa mtoto wa kawaida kabisa tena mvulana mzuriiii ambaye sura yake ilifanana na yule Kijana wa Babu au Ndundame...!! John alikuwa anaona kwa macho  yake mwenyewe kila tukio lililokuwa linatokea.

Basi baada ya hapo John akaenda mpaka Sumbawanga ili akatoe taarifa za msiba Lakini akakutana na msiba mkubwa sana pale kijijini, kuwa Shangazi yake Recho alienda ili amuue John lakini mizimu ikagoma basi yule Babu alipolazimisha ndipo ikamludi nakummua yeye na Shangazi kwa pamoja, alafu jini moja likaondoka  likaaga linamfuata Recho popote pale alipo mpaka naye age, kwaiyo wao tayari wanaju kuwa Recho amesha kufa kitambo.

Baada yakupokea taarifa izo John akaishiwa pozi kabisa, akaludi zake mjini akamzika Recho wake kisha akaenda kanisani akampa YESU maisha yake AKAOKOKA nakuwa mlokole pamoja na rafiki yake Sam huku na yule mume wa Shangazi akijiandaa kuokoka.

                 M...W...I...S...H...O

"ULIKUWA NA MTUNZI WAKO GEOFREY MUSTAFA, TANGU MWANZO MPAKA LEO TUMEFIKA PALE NILIPOTAKA MIMI PAWE MWISHO. ASANTE SANA KWA WOTE WALIYOKUWA WAKISAPOTI KUSHARE HII STORY, ENDELEA KUWA NAMI MAANA MWISHO WA STORY MOJA,

 NDIO MWANZO WA NYINGINE KALI ZAIDI. ASANTENI."
                 
By~ Geofrey Mustafa, ©Jafa: 0713024247.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 32
BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 32
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-32.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-32.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy