BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 31 | BongoLife

$hide=mobile

BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 31

___BIKRA YANGU HAKI YA BABU___
                  (Love Story......... Part 31.)

"MTUNZI:Geofrey Mustafa,©Jafa: mkali mpya"
                  (WhatsApp: 0713024247)

"IMEBAKI SEHEMU MOJA, KUMALIZA STORY"
©Jafa
TULIPOISHIA..... ⏪⏪
Basi Recho akawa tayari kalegea kabisa mpaka
Sam kila kiungo atakacho mshika anamwambia hapo hapo Sam Jamani, basi Sam akamwambia Recho "Sasa mpenzi wakati Mimi navua nguo wewe nenda kafunge mlango vizuri ili kuwe na usalama maana ata John akija lazima ata gonga kwanza mlango"
Recho akainuka kiuvivu huku akiwa uchi kabisa alipofika mlangoni akachungulia nje kwa jicho moja ili aone Kama kuna mpiga chabo au shilawandu yoyote.. Lakini hakuamini macho yake pale alipomuona John akiwa na wenzake wawili wakija mbio mbio..moyo wake ukalipuka paaasah!!! Akaogopa Sana maana hana Kwa kwenda Kwa Shangazi yake ndio ivyo tena..Sasa je kama akiaribu na kwa John atakuwa mgeni  wa nani hapa chini ya jua..!
 Akiwa bado kasimama pale mala Sam akamwita; " Rechoooo mpenzi njoo sasa..?"
Recho alipowaona wakina John wanakaribia.. Akaenda Kitandani akaanza kutoa nguo akazitupa tupa ovyo ovyo huku akivunja baadhi ya viombo vilivyokuwa mle ndani akaichana na chupi yake kisha akamkumbatia Sam huku akimpa ulimi wake tena basi ile Sam anamkumbatia tu...! Ghafla Recho akaanza kupiga kelele huku akiomba msahada:
Recho; "Mamaaa nabakwaa nabakwaaa jamani..John Mme wangu ukwapi unisaidie nabakwaa Mimi mamaaaaa..!!!
Sam kusikia vile ikabidi aanze kujinasua mwilini mwa Recho Lakini cha ajabu Recho naye alikuwa kambana kisawa sawa, kwaiyo ikawa ni vulugu kubwa pale ndani..!!
Wakina John kwakuwa walikuwa tayari wamejiandaa hawakupoteza ata sekunde moja wakazama ndani kwa kuuvunja mlango.. Ukweli walipofika tu ndani.. John akamkuta Recho akiwa uchi huku akilia kwa sauti alafu Sam kabaki na boxer tu.....!!

                   ©Jafa
                   ENDELEA SASA.....⏩⏩
Pale ndani ilikuwa ni patashika kamata shati chanika maana wauni wa Makoka walikuwa wamefika mbali Sana juu ya kitendo alichokuwa amefanya Sam, lakini jambo lakushangaza John alikuwa hajatoa neno lolote baya kwa rafiki yake Sam  zaidi yeye alikuwa kimya tu.
Basi John akamuuliza Recho:
John; ". Vipi mpenzi amekuingilia kimwili...?"
Recho; "Hapana, ila kanichania chupi nakuvunja viombo kama unavyoona Mme wangu."
John; "OK, usijali mpenzi mladi huko salama"
Recho; "Mimi sipendi bwana marafiki wanafiki Kama hawa, kwanini anibake sasa..?!!"
John; "Jamani Recho nimekwambia yaishe.!"
Recho; "Sio yaishe bwana, kwanini anibake sasa..!! Au wewe ulimtuma afanye ivyo..??"
John; "Recho, Naomba ukaye kimya!"
Wakati wakiendelea kuongea ongea pale, yeye Sam alikuwa kainamisha kichwa tu huku machozi yakimtoka kwa mbali maana alikuwa ahamini kabisa kinacho endelea pale ndani.
Basi wale wauni nao hawa kuwa mbali na Sam, waliendelea kumpa vitisho: "Yani weeee boya Leo hapa shooo shooo tu.. Unajifanya unajua Sana kugonga wake za watu au sio...!! Sasa leo lazima ufirike hapa hapa kudadadeki."
Wakati uo chumba chote cha John kilikuwa kinatutumka Moshi wa bangi mpaka majilani wengine wakasogea eneo la tukio maana palikuwa na kelele Kama kuna kilabu cha pombe za kienyeji au ulansi vile pale ndani.
Mala mzee mwenye nyumba naye akawa tayari kafika pale akasimama mlangoni kisha akauliza nini kina endelea pale mbona kuna watu na kelele nyingi kila mmoja akiongea lake:
Mala afirweeee, mala Shooo shooo tu, wangine wakisema, Apigwe uyoo apigweee choko uyoo!!
Basi baada ya mzee mwenye nyumba  kuuliza vile akawa anasubiri kusikia majibu, ila kabla ajapewa jibu John akawa tayari Kafka:
John; "Shikamoo Mzee, karibu ndani..?"
Mzee; "Asante, siwezi kuingia  ndani mwako Mimi, kumejaa Kama kuna chakula cha bure. Ebu niambie  kuna tatizo gani hapa ndani kwako mpaka watu wajae namna hii..?!"
John; "Ahaa! Kuna rafiki yangu anatakiwa kugawa pesa ya kazi kwa hawa vijana, Sasa wao wanaona Kama wanachelewa ndio wameanza kutukana matusi Kama ivi..!!"
Mzee; "Wapumbavu Sana hao,waambie waondoke wote..sitaki kelele Mimi hapa"
Kisha Mzee akaenda ndani kwake, huku akifyonya fyonya kwa hasira za zile kelele.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida yule mzee akaludi akiwa na hasira zaidi, mala ghafla akachomoa bastola kisha akapiga risasi kwenye moja ya bati nakufanya kila MTU aliye kuwa pale ashituke kisha mzee akasema:
"Pumbavu Sana nyie vijana, Hamna adabu kabis...! Nimesema tokeni hapa nawapa dakika 10 muwe tayari mmeondoka vinginevyo ntamtia mtu shaba ya kichwa Mimi."
Muuni mmoja akajaribu kumuelekeza mzee maana alikuwa tayari kagundua kuwa mzee  hajui kilicho toka kutokea pale.
Lakini Mzee alikuwa tayari kapandisha moli, ivyo hakutaka kabisa kuisikiliza muuni yoyote pale zaidi yeye alikuwa anataka waondoke wote...!! basi wale vijana  wote taratibu  wakasambalatika  pale wakiwaacha John na Sam pamoja na baadhi ya raia waliokuwa wamesimama pembeni kidogo.
John alikuwa hana mpango wala hasira yoyote kwa rafiki yake Sam, alichofanya akamwita Kijana mmoja bodaboda maalufu kwa jina Batista, kisha akamwambia awapeleke Makoka stand ilipo gari ya Sam. John alijua endapo Kama Sam atatembea Kwa miguu wauni wanaweza kumdhuru maana walikuwa na hasira naye sana Kwa kile alichofanya.
Sam tayari alikuwa ndani ya gari yake akampungia mkono John, kisha akatia gia na kuondoka kwa kasi ya ajabu kama unavyo ijua Alteza jinsi inavyo piga kelele.
John akaludi zake kisha akaendelea na mambo mangine na mpenzi wake Recho. Jioni hiyo Recho hakujishughulisha na chochote, ina Maana kila kitu alifanya John ikiwa ni pamoja na kupika chakula cha usiku ule.
 
Ilikuwa tayari SAA mbili za usiku John na Recho wakiwa Kitandani kwa mala ya kwanza tangu siku ile John alipo logwa uume wake kabla ata hawajaenda Sumbawanga ili Recho akatolewe bikra yake, kwaiyo fikiria ni kiasi gani John alikuwa kammiss Recho,  sio John peke yake ila Kwa upande wa Recho ndio ilikuwa zaidi maana Recho alikuwa na maswali mengi Sana kichwani mwake na yote ni juu ya mabadiliko ya hali yake ya mwili, kichefu chefu, uchovu, usingizi, pamoja na kuchagua vyakula. Kwaiyo Recho alikuwa anahitaji kufanya mapenzi na John kabla hali yake haijawa hadharani, ili Kama ni mimba John ajue ni yake..!!
Basi John akiwa kwenye dimbwi la mawazo.. Mala anashtuka anajikuta tayari Recho yupo juu yake tena akiwa uchi, basi John akajua mke wake amemmiss mwake achezee mwili wake.
Recho akaendelea kuangaika juu ya mwili wa John huku John yeye akiwa busy kabisa, John alikuwa na mawazo mengi Sana kichwani mwake na hakujua afanye nini... Hali iyo ya mawazo ilimpelekea mpaka uume wake kushindwa kabisa kusimama licha ya Recho kuuchezea vyakutosha.
John alikuwa anawaza kitendo alichokuwa amefanya Recho, na kile cha Sumbawanga cha kufanya mapenzi na kikongwe, amefika mjini haja lala ata siku moja analeta mwanaume tena alafu ndani kabisa Kwa mume wake..! Hapo John ndio alikata tamaa kabisa yakuishi na Recho, kwa mawazo ayo ndio ata mfumo wake wa homosexual hukashindwa kufanya kazi maana alikuwa akimuona Recho Kama mbwaa tu japokuwa hakutaka kumpoteza maana alikuwa ni binti mrembo tena aliye barikiwa umbo.
Basi Recho alipoona harakati zake zote hazizai matunda akaamua kujilaza pembeni huku paja lake Kali weka juu ya John. Maana kajaribu kila utundu wake lakini uume wa John ulikuwa bado umelala tu...!
Basi Recho akawa anampapasa taratibu huku anampa maneno yakumfariji:
Recho; "John mpenzi usijali Mimi Niko poa kabisa, rafiki yako hajanigusa popote ila alifanikiwa kuichana chupi yangu tu ata kum* hakuiona..! Naomba usiwe na mawazo mbaya"
Baada yakumaliza kuongea tu, ghafla John akamgeikia nakumpiga busu zito lililomfanya Recho haraka aupeleke mkono wake kwenye uume wa John nakugundua kuwa tayari network imekamata maana ulikuwa umesimama wima kabisa Kama nondo.
Recho alipoona vile akajisemea moyoni mwake, "Yes yes mambo si ayo sasa"
Basi haraka haraka akautia mdomoni mwake ule uume na baada ya sekunde chache akaukalia kwa mtindo wakuchuchuma kisha akaanza kujitia mwenyewe akaendelea ivyo mpaka pale utamu ulipo mkolea nakujikuta akiukalia wote breki za ule uume zikawa pumbu.. John naye mzuka ukawa umesha mpanda haraka akamgeuza Recho akamlaza chali akaendelea kumtia mpaka Recho akaanza kutoa ishala yakumaliza... Ooohh John Mme wangu Jo Jo jojojoooohh my love.. Asante Asante Asante...!
Recho akamaliza, lakini haikupita dakika NNE John naye akawa anaanza kutoa miguno huku akiwa amekunja sura... Lakini katika hali ya ajabu tena iliyo mshangaza mpaka Recho, ni pale uume wa John ulipochomoka toka kumani mwa Recho kisha ndipo ukaanza kuzimimina zile mbegu zote zakiume huku ukiwa juu ya uso wa kum* ya Recho.
Recho hakuamini macho yake, maana mpango wake ukawa umearibika..! Basi akajifanya kuzuga kwa kumuuliza John: " Mpenzi kwanini ameamua kumwagia mbegu zako nje..??'
Lakini John kwa upole akamjibu; "Hapana mpenzi siwezi kufanya ivyo Mimi, nimeona tu uume wangu ukiwa tayari nje wakati Mimi nilikuwa nimekubana kabisa"

Basi Recho akaupeleka mkono wake kwenye kum* yake akazishika zile shaawa za John.. Alipoziona tu kwenye vidole vyake ghafla akajiziba mdomo wake kisha akatoka mbio kwenda nje, alipofika nje akaanza kutapika Sana mpaka John akamsogelea huku akimuita: Recho .Recho.. Una tatizo gani wewee..???Lakini Recho akamwambia hana tatizo lolote, ila anazichukia tu mbegu za mwanaume kwani kila anapoziona anahisi yupo na yule Babu.

Basi ilikuwa siku ikaja wiki mala miezi, atimaye tumbo la Recho likawa linaonekana zahili mbele za watu akiwemo mpenzi wake John. Kwakuwa John Recho alikuwa ni mke wake halali wa  ndoa hakuwa na swali lolote juu ya ile mimba maana hakutaka kila mmoja ajue kilicho tokea huko nyuma alichokuwa aliomba yeye mtoto atakaye zaliwa afanane na Mama yake yani Recho ili kuondoa sito fahamu machoni mwa watu pia ata ndugu zao wakaribu.
Kwa upande wa Recho alikuwa na plesha kubwa Sana, maana John kweli kafanya naye mapenzi, Lakini tatizo ni kwamba kila walipokuwa wakifanya uume wa John ulikuwa ukitoka katika mazingira ya ajabu kisha mbegu zote zina mwagika nje ya kum* yake.

Basi ikafika Siku ambayo mrembo Recho alikuwa akihisi uchungu wa hali ya juu, ikabidi John ampigie simu rafiki yake Sam ili aje kumsaidia juu ya ili swala. Kweli John na Sam hawakuwa na mawasiliano yoyote tangu Siku ile ya tukio, Lakini baada ya Sam kuambiwa tu vile na John haikupita ada dakika kumi Sam akawa ametia team nyumbani Kwa John.
Basi safari yao ikaenda mpaka Amana Hospital, walipofika pale madaktari wakawaambia ule ni uchungu wa awali tu ila vipimo vinaonyesha mtoto ni mkubwa sana tena Sana yani mimba yake inaonekana ina umri mkubwa kuliko ata aliyeibeba...! Kisha akaendelea kusema:
Doctor: "Sikilizeni vijana, hii ni ajabu Sana!!"
John; "Ajabu ipi tena doctor.....!!!??"
Doctor; "Kwanza naomba nijue nani ni mume wa uyu binti kati yenu...??"
John; "Mimi hapa ndio mumewe!"
Doctor; "Sikia Kijana, mkeo ana mimba yenye miaka 86....!! Kama unabisha twende fieta ukaone kipimo kinavyo wapima wengine alafu uone kitakavyo mpima na mkeo alafu utaona majibu ya wale wagonjwa wengine Kama yatakuwa sawa na mke wako..!"
Sam; "Unasemaje Doctor... Miaka 86..mimba"
Doctor; "Ndio ivyo...! nakuanzia sasaivi tunaweza kumfanyia opalesheni muda wowote tuna subiri uchungu wake ukae sawa..!
John; " Kwanini mnamfanyia Upasuaji doctor? "
Doctor; "Nimesha kueleza kuwa Mimba yake ni kubwa Sana haijawahi tokea ata kwenye historia haipo..! Kwaiyo hawezi kujifungua kwa njia yakawaida nadhani Mimi nimeheleweka??"
John; "Sawa Doctor, ila naomba ujitahidi kwa uwezo wako wote kuakikisha mambo yanenda Sawa maana uyo mke ni wangu wa ndoa."

Basi baada yakuongea kabla doctor hajaobdoka Sam akachomoa  pochi yake kisha akaesabu noti tano za elfu kumi kumi, kisha akampa yule doctor huku akimwambia:
Sam; "Pokea zawadi yako hii doctor, natumaini utafanya kazi nzuri.
Doctor akazipokea huku akitabasamu kisha akawapa namba zake za simu kwa ajili ya mawasiliano yoyote Kama kuna dhalula.
Kisha wakmuaga alafu wakatoka nje tayari kwa kuondoka pale hospital Amana.
Basi wakiwa njiani Sam akamwambia John, waende Kwa Shangazi yake Recho ili ajue tatizo la Recho Maana yule Ndio ndugu wa Recho anaye tambulika kwao. Lakini John akamwambia Hapana bwana, ngoja nimpigie simu Mjomba wake tu inatosha.
Lakini ata baada ya kuwasiliana na Mjomba wa Recho ambaye ndio mume wa Shangazi yake Recho, John alifokewa sana:
Mjomba; " Yani wee Kijana bado upo na uyo binti..!! Mimi nilimuacha Shangazi yake kitambo sana tangu siku ile uliponipa zile taarifa, sasa Nakwambia utakuja kujuta mdogo wangu..!"
Baada yakumaliza kuongea Mjomba akakata na simu kabisa, nakumfanya John awe hana ndugu wa karibu wa Recho ata mmoja kwa hapa mjini, na namba za kule kijijini hakuwa nazo ata moja Maana aliondoka kwa hasira sana. Basi rafiki yake Sam akamtia moyo nakumwambia hasiwe na wasi wasi  atakuwa naye bega kwa bega muda wote wala asijali yaliyopita..Kisha kila mmoja akaenda zake kwake kulala nakusubiri Siku mpya...

Lakini ghafla zilikuja taarifa ambazo...

"TUMEBAKIZA SEHEMU MOJA TU,TUWE TUMEMALIZA STORY YETU HII. KWA USHAURI WOWOTE AU NYONGEZA KARIBU SANA."

             _____TUTAMALIZIA TENA_____

Mtunzi na muandishi: Geofrey Mustafa,©Jafa.
Share, sema chochote ili nielewe wazo lako.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 31
BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 31
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-31.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-31.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy