BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 25

___BIKRA YANGU HAKI YA BABU___
                    (Love Story......... Part 25.)

"MTUNZI:Geofrey Mustafa,©Jafa: mkali mpya"
                  (WhatsApp: 0713024247)
©Jafa
TULIPOISHIA....°<<<
Basi wakati shangazi akiongea na John kwenye simu babu alikuwa tayari kamvua chupi yake kamtia vidole vyakutosha kabisa mpaka kum* imevuja ute, kwaiyo shangazi aliongea na simu kwa uzoefu tu. Basi ile kukata simu tu babu akaupachika mpini wake mzima mzima kisha akaanza kuushindilia ndani zaidi mpaka Shangazi akahisi Kama anakomolewa vile.. Haikupita dakika chache simu ikaanza kuita tena Shangazi muda huu hakuwa na habari kabisa maana kilicho kuwa kikifanyika ni zaidi ya asali na sukari....!
Basi kwa pamoja wote wakafika kelele cha safari ya mpambano husio na mashabiki wala refa, Basi shangazi akachuchumaa pale pale ndani akaosha maji ya dafu la Babu akajifuta vizuri akambusu Babu kisha akaanza kutoka nje haraka haraka akamkuta Recho akiwa ndani ya mkokoteni pamoja na yule Kijana aliye toka kupata matatizo ya kubadilishwa jinsia.
Basi baada ya Shangazi kuingia ndani ya mkokoteni safari ikaanza lasmi, Recho Ndio akawa anaachana na babu katika hali Kama iyo. Babu alikuwa kasimama akiuangalia mkokoteni Kwa hasira Sana maana alikuwa tayari kamzoea Recho kupita mfano. Kilicho muuma zaidi Babu sio kuondoka kwa Recho, bali ni kitendo cha Ndundame wake kumtia nakumfanya yeye awe Ndio aliye maliza kazi aliyo ifuata pale kijijini. Babu akajisemea moyoni mwake, " Yani Mimi nilianza yeye kamaliza..mmh! Kijana mbishi sana uyu ila sio mbaya kaonyesha ukomavu, sasa ngoja niongee na mizimu ili nione Kama kuna uwezekano wakumpata tena"
Babu baada yakuona mkokoteni umetoweka machoni mwake akarudi zake ndani kuchanganya madawa yake..

Punda walikuwa wameshiba sana alafu ilikuwa asubuhi hakukuwa na jua, ivyo punda walikuwa wakitimua mbio nakuufanya mkokoteni kuwa na speed ya Ferrari. Shangazi alipoicheki saa ya kwenye simu yake ilikuwa ni saa  moja na dakika zake asubuhi.......!
                  
                        ©Jafa
                        ENDELEA KUSOMA
Ilikuwa ni vumbi tu huku kimya kikiwa kimeutawala  mkokoteni, isipokuwa yule Kijana aliyekuwa akiwaongoza punda ndio alikuwa akipiga piga miluzi na kuimba viwimbo vya hapa na pale. Baada ya kufika mbali sana toka nyumbani kwao ndipo yule Kijana aliye kuwa akimsindikiza Recho akaanza kuongea, uyo ni Ndundame yule aliye pata majanga ya mizimu kumpa adhabu ya maumbile:
Ndundame; "Mmmh, Jamani Mimi naona niishie hapa, nimewasindikiza vyakutosha"
Basi mkokoteni ukasimama na yeye akatelemka huku akimwambia Recho maneno yenye kuisihi:
Ndundame; "Nakutakia safari njema Recho, najua milima haikutani sio binadamu..!!"
Alipotamka maneno ayo Recho akahisi roho ikimpasuka akamuangalia usoni yule Ndundame akahisi ana kitu anataka kumwambia Recho akashindwa kujizuia
Recho; "Shaped naomba niongee kidogo na uyu mkaka tafadhali Jamani..?"
Shangazi; "Sawa, ili wahi maana nataka tuiwahi lift ya rafiki yake John yupo mbeya anatusubiri sisi kwaiyo msiongee sana..nenda!"
Recho; "Asante shangazi yangu"
Basi mtoto mkali mwenye kila sifa zote za urembo naye ni Recho akatelemka huku akisaidiwa na uyo uyo Ndundame wake maana sketi yake ilikuwa imebana mpaka kuinua mguu ili ashuke akawa anashindwa.
Wakasogea pembeni kidogo, kisha Recho akaanza kuongea Sasa:
Recho; "Nambie Ndundame mbona unatia huluma Sana Nikikuangalia...?"
Ndundame; "Nina mengi moyoni yakukwambia ila sikupata nafasi tu..!!"
Recho; "Aya sasa leo umepata nafasi yeseme yote yaliyo jaa moyoni mwako niyasikie"
Wakati wakiongea Recho yeye alikuwa kimahaba zaidi maana alikuwa akamuangalia usoni kwa jicho la nyege mpaka jamaa akawa anainama mala ageukie pembeni ni shida.
Ndundame; "Unajua Recho Mimi nakupenda Sana tangu ile siku mlippfika hapa, Ndio maana Babu aliposema tukuandae Mimi nilinogewa mpaka nikataka kukutia na wewe ukazidi kunikumbatia huku ukionekana kuitaji mti wangu, lakini sikufanikiwa ile siku"
Recho; "Pole Ndundame, lakini nadhani saizi umelidhika maana kitombo ulichonipa siku ile Mmmh..kilikuwa si cha kawaida."
Basi baada ya Recho kumpa sifa, jamaa akaendelea kuongea:
Ndundame; "Sasa Recho Naomba usogee huku kidogo maana nataka nikwambie kitu ambacho nadhani ulikuwa hufahamu kabisa..!"
Recho; "Mmmh!! Sawa nakusikiliza wewe"
Ndundame; "Recho naomba Leo utambue kuwa Shangazi yako ni mtu mbaya Sana kwako...!!!"
Recho; "Ninii......!!!! Ebu sema tena...???"
Ndundame; "Nakwambia Shangazi yako, sio mtu mzuri kwako, Kama huamini tulia nisikilize nikwambie kila kitu sasaivi hapa"
Recho; "Yani shangazi aliyenilea tangu nikiwa na miaka 12 alafu leo eti ni mbaya kwangu Hapana haiwezekani kabisa...!"
Ndundame; "Recho Naomba utulie, Kama hutaki basi tufanye yameisha nisamehe bwana!!"
Recho; "Hapana sina maana iyo Jamani..wee endelea kuniambia najua ni ukweli labda"
Ndundame; "Sio labda ukweli Ndio huu, shangazi yako alianza kukuchukia nakutengeza uadui na wewe tangu ile siku ulipofanya mapenzi na Babu kwenye ule msonge wake.!!"
Recho; "Jamani sasa Shangazi alijuaje..!'
Ndundame; "Alijuaje kivipi.. Shangazi yako alikuwa akabisha odi Babu akasema yupo busy, shangazi akajitambulisha kisha akasema anataka kufanya mapenzi na babu.. Lakini bado Babu aligoma"
Recho; "Sasa alijuaje maana aliondoka!"
Ndundame; "Hakuondoka alikaa pale pale mlangoni, ndipo akakusikia wewe ukilia kwa utamu wa mpini wa babu yako..!
Recho; "Sitaki ukoo lakini, kunikumbusha"
Ndundame; "Sasa baada ya hapo ndipo Shangazi yako akaapa kukuua kwa njia yoyote ile maana na yeye tayari Alisha zama kwenye penzi la  babu, ila wewe ulikwa hujui kinacho endelea. Na ilipofika ile siku ambayo mlikuwa amkiondoka Ndio alipoongea na mandundame watatu wa kijiji cha jilani ili wakuteke..!"
Recho; "Jamani Shangazi huyu kumbe ndivyo ulivyo, Ehee ikiwaje Sasa..??"
Ndundame; " Ndio maana walipoomba lift tu wale vijana yeye akajifanya anataka kwenda kukojoa akatuomba tumsindikize, basi ndipo walipokuteka wale vijana. Yani shukuru Sana zile shanga alizo kuvisha Babu yako maana aliwaambia wakubake mpaka wakuue au wakuharibu kabisa maumbile yako..!!"
Recho; "Jamani kumbe Shangazi siku zote anacheka na Mimi kumbe moyoni anawaza kuniangamuza jamani nimemkosea nini Mimi..!"
Muda huu Recho alikuwa akiongea kwa huluma huku machozi yakimlengalenga machoni mwake, mpaka Ndundame ikabidi amkumbatie kumtuliza hasira za machungu yake.
Recho; "Kama ndio mipango ya Shangazi Basi Mimi siendi naye Dar maana ataniua njiani..!!"
Ndundame; "Hapana Recho..!! Kwa sasa hawezi kufanya ivyo wee nenda tu usiogope.!"
Recho; "Sitaki.. Inamaana wewe unipendi..??!"
Ndundame; "Nakupenda.. Kwanini umeuliz."
Recho; "Maana naona unataka niende nikafe!"
Ndundame; "Sikiliza.. shangazi yako saizi hana mpango wowote na wewe, maana Kama Babu tayari amemshika.. tena kabla ya kuanza safari walifanya mapenzi pale ndani baada ya sisi kutoka nje kwaiyo husigope. Mimi nilikuwa nakwambia kile husicho kijua tu"
Recho; "Sawa ila Kwa kweli roho yangu imechafuka sana sina imani naye tena"
Basi wakiwa bado wanapiga story za hapa na pale mala Shangazi ikasikika ikiita:
Shangazi; "Rechoooo jamani jali muda wewe..!"
Recho; "Sawa Shangazi dakika moja tu"
Baada yakumaliza kupiga story zao Recho akamkumbatia Ndundame kisha akampa ulimi kidogo alafu akamwambia:
Recho; "Huwezi amini nakupenda Sana Ndundame tena Sana, una sura nzuri alafu ni mpole na unaye jituma kwa kila jambo"
Ndundame; "Asante Sana nami nakupenda pia ila Ndio ivyo wewe tayari ni mali ya mtu, ila usijali kuna mpango naufuatilia ukikamilika nitakuja kwa usafiri wangu kisha nitakuchukua."
Recho; "Niambie mpango gani uo Jamani Ndundame, inamaana na wewe una usafiri wako hee kumbe una gari...!!??"
Ndundame; "Usijali nitakwambia nikisha fanikiwa wala usijali, saizi mapema Sana.!
Basi jamaa alipogoma kusema huku Shangazi naye kakazana kumwita Recho mpaka akawaambia wale vijana wawa luhusu punda waondoke maana muda ulikuwa umeisha.
Yeye Recho alipo hana habari na kelele za shangazi yake, alikuwa Ndio kwanza kambania pua yule Ndundame akimbembeleza amwambie uo mpango anao usubiri:
Recho; "Niambie  bwana nakuomba Jamani"
Ndundame; "Nakwambia ila naomba iwe siri yako tafadhali usiseme ovyo, ni kwamba mizimu ya ukoo imenichagua Mimi kuwa mmiliki wa shughuli zote za ukoo wenu, na babu yako atakuwa Kama mshauri tu..!"
Recho; "Haa! Jamani unakabidhiwa kiti lini..?"
Ndundame; "Bado mpaka ilizi yangu ikamilike pamoja na usafiri wa kwenda kwenye vikao sehemu mbali mbali duniani, usijali kila kitu kitakuwa Sawa tu Ndio maana ata mzee alipo nipa ile adhabu yake Mimi sikuwa na wasiwasi wowote niliona anapoteza muda wake tu.
"Weeeee Recho sisi tunaenda utakuja Kwa miguu, maana naona uoni jua lilipo"
Alikuwa Shangazi yake awamu hii aliongea Kwa hasira huku akawaambia vijana waondoe mkokoteni wasijali wala nini.
Basi wale vijana wakawapiga fimbo punda kisha punda wakaanza kuondoka taratibu..!
Basi Recho kwa woga akaanza kumwambia Ndundame watafanyaje maana ndio ivyo mkokoteni unamuacha..! Ndundame akamwambia asiogope awe na amani tu mkokoteni hauwezi kufika popote pale.........

                    ITAENDELEA TENA
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa, mkali mpya.
            (WhatsApp: 0713024247)

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 25
BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 25
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-25.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-25.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content