BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 19

___BIKRA YANGU HAKI YA BABU___
                    (Love Story......... Part 19.)

"MTUNZI: Geofrey Mustafa,©Jafa:0713024247"
©Jafa
TULIPOISHIA.......<<<
Kwa upande wa Recho na shangazi yake wao walikuwa kwenye maandalizi ya safari maana Shangazi yake alikuwa kisimani akifua nguo zake huku Recho alikuwa kwenye jiwe kubwa huku mkononi akiwa na simu ya Shangazi yake akiangaika kumpigia MTU. Lakini baadaye Shangazi yake alishangaa kumuona Recho akija huku akiwa mnyonge Sana, shangazi yake akaamua kumuuliza binti yake uyoo:
Shangazi; "Wee Recho kulikoni tena mwenzangu,  au John hapatikani hewani...?"
Recho; "Hapana sio ata ivyo shangazi"
Shangazi; "Sasa si uniambie kitu gani kimekuudhi ghafla tu wakati ulikuwa na furaha"
Recho; " Yani Shangazi siamini  kilicho toka kutokea mwenzako ata hamu sina yani "
Shangazi; "Jamani si useme sasa na wewe"
Recho; "Yani baada ya kumpigia simu John zaidi ya mala tatu ndipo ikapokelewa"
Shangazi; "Ikawaje sasa shogaangu...?"
Recho; "Yani sijui nisemeje, maana simu ilipopokelewa tu.... Ghafla ilitelemshwa mvua ya matusi mchanganyiko, ila Mimi nilikuwa nafurahi tu kuisikiliza sauti ya John wangu"
Shangazi; "Kwaiyo hujaongea naye chochote"
Recho; "Hee! Muda ningeupata wapi.. Maana alipomaliza tu kuongea akakata na simu yenyewe muda uo huo, Ndio ikawa Basi."
Shangazi; "Mmmh! Makubwaaaa! Mwenzangu isije ikawa tayari watoto wa mjini wamekuzidi kete wamemtwaa uyoo John wako ayaa"
Recho; "Mmh mi staki ukoo Jamani"
Shangazi; " Ndio utataka sasa chezea Toto lakizaramo weyee, jipange turudi mjini chelewa chelewa utakuta mwana kaliwa."
Shangazi yake alimrusha roho Recho vyakutosha, huku wakiendelea kufua.
Basi walipomaliza kufua safari ikaanza kuelekea nyumbani huku Recho akiwa bado ahamini Kama John Ndio kamjibu majibu yale, ikampelekea mpaka kuhisi labda John ameshapata mke mwingine kaoa tayari. Lakini akapiga moyo konde akiamini atatumia umbo na uzuri wake aliopewa na MUNGU kumshawishi John, alichokuwa anataka yeye ni namba yake ya simu kuwa hewani tu.
©Jafa
SASA ENDELEA......>>>
Basi wakafika nyumbani Recho akaenda moja kwa moja ndani akajitupa kwenye kitanda, Shangazi yake hakujali akaenda kuanika nguo zake alizotoka kufua. Akiwa bize kuanika nguo ndipo simu yake ikaanza kuita kwakuwa ilikuwa kwenye dishi la nguo mbali kidogo na alipo, ivyo akaamua kumwambia mmoja wa Kijana ampokelee simu kabla aijakatika.
Basi yule Kijana haraka akaipokea ile simu:
Kijana; "Halooo habari gari...?"
Simu; "Salama, naomba umpe mwenye sim"
Yule Kijana akamwambia Shangazi kuwa aliyepiga simu ni mwanaume na anataka kuongea naye mwenyewe. Shangazi kwa jeuli akamwambia yule Kijana, mwambie wewe Ndio mwenye simu aseme shida yake bwana.
Basi madhungumzo yakaendelea:
Kijana; "Ehe nambie wee nani mwenzangu?"
Simu; "Nimekwambia mpe mwenye simu bhana.. Mbona sikuelewi wewe...!!"
Kijana; "Tuheshimiane weee pumbavu nini..!
Simu; "Nini...!? Yani mi mpumbavu tena..?"
Basi simu ikakatwa ghafla.
Baada ya hapo Recho akatoka ndani akawa amesimama mlangoni, Shangazi yake alipomuona akamwambia, " Recho angalia simu ilipigwa na nani hapo"
Recho haraka akaicheki, doooh! hakuamini macho yake alipo liona jina la John wake.
Akamwita Shangazi yake kisha akamuonyesha aliyekuwa amepiga simu, Shangazi yake aliumia Sana kwanini aliipuuzia ile simu muda ule. Basi kwa pamoja wakaingia kwenye msonge wao kisha wakaanza upya kumpigia John simu, na aliye kuwa akimpigia ni Recho.
Wakati yote ayoo yakiendelea ilikuwa ni saa kumi na mbili za jioni John akiwa tayari kamaliza kuangalia mpira, kwakuwa ilikuwa ni siku ya juma mosi yani weekend akaamua kutoka ili akapunguze msongo wa mawazo. Ikumbukwe baada ya kutokea lile tatizo la Recho John alibadilisha kabisa mazingira ya kuishi, na kwa sasa alikuwa akiishi Makoka.
Basi kabla ajatoka kwenda mtoko alikuwa akiwaza sana juu ya aliyekuwa amepokea simu ya Shangazi yake Recho nakumtolea maneno machafu kiasi kile, akataka kupiga tena lakini ghafla simu yake ikaanza kuita; *Triiiiiiii Triiiiiiii* Alipocheki jina lili someka Mama mkwe yani Shangazi yake Recho. Akasita kupokea lakini akajikaza kiume akaipokea ile simu;
John; "Hellooooooo..! Hellooooooooohhh!!!
     Mbona kimya ndugu yangu....!!!!!!??'
Simu ilikuwa hewani lakini cha ajabu mtu wa upande wa pili alikuwa aongei chochote kabisa, John akashindwa kuelewa ivyo aliamua kuikata tu ile simu maana tayari zilikuwa zimeisha dakika kumi ikiwa bado hewani. Akapiga pamba zake akaenda stand akachukua pikipiki akaelekea zake mjini kula bata.
Kwa upande wa Recho na shangazi yake ilikuwa ni pata shika, kutokana na kitendo alichotoka kufanya Recho:
Shangazi; "Sasa maana yake nini ivyo Recho..?"
Recho; "Kwani nimefanya nini Jamani!"
Shangazi; "Hujui, yani umpigie simu mtu alafu huongei chochote una maana gani labda?"
Recho; "Yani Shangazi kwanza sikuamini pale nilipoisikia sauti ya John mume wangu, kwaiyo furaha na presha Ndio vikanifanya niwe bubu"
Shangazi; " Mmh! Sawa, twende tukawaage ili kesho asubuhi na mapema safari ianze"
Kama kawaida kiliwekwa kikao kisha wakateuliwa vijana watakao kuwa wasindikizaji wao iyo kesho, wakati kikao kikiendelea Babu alikuwa akimtumbulia macho Recho...! Kuanzia usoni kifuani hasa zile embe dodo zake mbili, kisha akashusha macho yake mpaka vidoleni mwake yani miguuni.
Ile hali Recho alishaijua alijua ni kiasi gani Babu kammiss na ata yeye mwenyewe Recho ana siku kadhaa bila kufanya chochote zaidi ya kuchezewa kisha anabaki ivyo ivyo tu.
Lakini awamu hii Recho hakutaka kabisa kufanya chochote na Babu yake, maana tayari alishajua umuhimu wakuwa na John.. Kwanza akiwa na John ataishi mjini, pili ataishi kwa uhuru na amani moyoni mwake. Lakini akibaki huku kwa Babu yake, atakosa mambo mengi sana, kwanza hakuna makeup, hakuna tambi wala madela, alafu ni porini kupita kiasi yani.
Baada ya kuwaza ivyo ndipo Recho akajua thamani na umuhimu wa John wake, ivyo hakuhitaji wala kumsikia tena Babu.
Baada ya kumaliza kikao zawadi zakutosha wakapewa zikiwemo kuku kadhaa zakienyeji na vyungu na nyingine nyingine nyingi tu.
Basi Shangazi yake akamwambia Recho waoge ili walale mapema kwaajili ya kudamkia safari, Basi Recho na shangazi yake kwa pamoja wakenda kuoga. Shangazi yake kwa sasa hana kinyongo tena na Recho, kwani kama kitombo mala ya mwisho yeye ndio katiwa na Babu. Alafu akimuangalia ata Recho mwenyewe saizi anaonyesha wazi kabisa kuwa haitaji kufanya mapenzi na babu tena, mawazo yake yote ni kwa Kijana mwenzake John aliyefunga naye ndoa iliyo fana pale Riverside Hall.
Eneo la kuongea ni  wazi kidogo maana ilikuwa ni bafu iliyo jengwa kwa pepete alafu kwa upande mwingine imezibwa na kimsitu cha miwa ambayo imenawili sana kutokana na maji wanayo oga watu pale bafuni. Walipofika bafuni walishindwa kuoga wote wawili kwa pamoja kutokana na jinsi bafu ilivyokuwa, ivyo ilimbidi Recho asimame pembeni kidogo ili shangazi yake aanze kuoga kisha Ndio naye afuate.
Lakini wakati yote ayo yakaendelea babu alikuwa akinywa dawa yake moja ya mapenzi inaitwa DC MOTEMA PEMBE tayari kwa shambulizi la mwisho, maana sukari zake Ndio izoo zimeisha aga na kesho safari inaanza. Basi babu alipomaliza kunywa ile DC motema pembe, mzuka wa ajabu ukaanza kumpanda kwa kasi ya 5G... Sambamba na mpini wake ambao tayari ulikuwa mgumu kama kipande cha mpingu au kipande cha chumba cha pua.
Basi taratibu akatoka kwenye msonge wake huku Bibi mmoja ambaye ni mke wake alikuwa akimuangalia tu jinsi anavyo nyata kwenda nje, alipofika nje akasikia watu wakiongea ongea kule bafuni..! Aliposikiliza kwa makini zile sauti akagundua kuwa ni Recho na shangazi yake.
Akatabasamu maana alijua lazima mmoja wao aingie naye uwanjani iwe isiwe lazima, Basi akaamua kutangulia kwenye msonge wao ili amsubili atakayekuwa wa kwanza kurudi Ndio uyoo atakaye kutana na mpambano uo ambao yeye Babu ameupa jina la DC MOTEMA PEMBE LEAGUE, maana maandalizi yake si mchezo.
Basi akiwa bado kajibanza kwenye ukuta wa msonge wao, mala akamuona Recho akija na ndoo mkononi Babu akafurahi Sana mate yakaanza kumtoka  uku mapigo ya moyo yakaongeza speed hasa pale Recho alipoingia kwenye msonge huku ndani kukiwa na giza.
Basi ile Babu anataka ku... Mala ghafla.......!!!
                  ITAENDELEA UKISHARE...
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa mkali mpya.
Share, Like, Nilete nyingine haraka kabisa.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 19
BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 19
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-19.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-19.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content