BIKRA YANGU HAKI YA BABU | SEHEMU YA 04 | BongoLife

$hide=mobile

BIKRA YANGU HAKI YA BABU | SEHEMU YA 04

___BIKRA YANGU HAKI YA BABU___
                    {Love Story___Part 4.}

TULIPOISHIA..........<<<
Wakakumbatiana huku John akiendelea kulia kiume, ikawa kazi ya Recho kumbembeleza huku akimpa moyo mumewe. Recho akamwambia kuwa yeye sio wa kwanza kupata lile tatizo, kuna vijana kadhaa walisha pata lakini walipojitenga naye walipona ivyo anyamaze kulia atakuwa sawa.
John kusikia vile akatulia kidogo kisha akamwambia Recho bora safari ianze ata kesho, yakwenda huko kijiji kwao mkoani Lukwa katika wilaya ya Sumbawanga.
ENDELEA SASA.........>>>
Baada ya kumbembelezana usingizi ukawapitia, wakalala lakini John alilaza mwili wake tu macho na mkono wake vilikuwa vinakagua Yale mabadiliko ya ghafla ya nyeti zake. Alikuwa ahamini kabisa kilichotokea moyoni alitamani kupambazuke ili safari ianze kwenda Sumbawanga kwa babu yake Recho, alijisemea moyoni  "Ivi siku Leah akitaka game ntamgongaje na iki kimbilimbi changu". Baada ya msongo wa mawazo wakutosha atimaye usingizi ukampitia.....
Saa kumi na moja alfajili  Recho na John walikuwa nyumbani kwao Sinza wakimuaga Mama yake mkubwa,  Mamkubwa wake akaongea mawili matatu huku akijua John hajui kinachoendelea kumbe daah. Makubwa akamwita Recho CHUMBANI kisha akamwambia ahakikishe John asione kitakacho fanyika huko Sumbawanga, Recho akakubali kwa kutikisa kichwa. Makubwa wake akaongeza kwa kusema atakuwa na shangazi yake ndio atakuwa msimamizi wa shuguli nzima huko Sumbawanga.
Walikuwa tayari wamefika kituo cha mabasi cha Ubungo Bus Terminal, kwakuwa waliwahi walikuta Mabasi yote bado yapo pale. wakachagua kampuni ya Princess Muro waliona izo ndio basi nzuri kwa safari yao, Recho alinunua zawadi kwaajili yakupeleka kwao maana aliondoka akiwa binti mdogo sana, sambamba na John naye alinunua zawadi kwaajili ya babu yake Recho, japokuwa wote hawamjui ata kwa sura tu. Ilipofika saa kumi na mbili asubuhi basi ilianza safari kuelekea huko nyanda za juu kusini, likipitia mikoa kadhaa mpaka kufika mkoani Lukwa.
Saa tisa harasili basi lilikuwa tayari limefunga breki ndani ya mkoa wa Lukwa dakika chache baadaye walitoa wamama wawili wakiwa wameongozana na kavulana kadogo, walikuja kwa furaha wakampokea huku wakimuwao Recho. Ilikuwa furaha pale stendi mpaka watu wakawa wanawashangaa, Recho haraka akamtambulisha John kwa wale wamama wawili wakazidi kufurahi huku wakiongea kabila lao ambalo John akuambua chochote.
Walifika kwenye nyumbani kwa kina Recho, palikuwa pazuri nyumbani za migongo ya tembo palikuwa na watoto wengi wakicheza cheza kwa furaha pale uwanjani huku wengine wakimlukia lukia Recho kwa furaha.
Akaja MTU mzima akawa anazungumza na John,  kisha kikaletwa chakula mezani, ulikuwa ugali wa uwele na kuku wakienyeji aliyenona. John alikula kwa uchu maana Bongo hakuna kuku original kama yule, yule MTU mzima akamwambia kuwa Leo watalala pale kisha kesho asubuhi ndio wataelekea huko kijijini kwenye shughuli kamili iliyowaleta.
Usiku ulipofika na muda wakulala ulipowadia John alishangaa kupewa chumba tofauti na Recho ambaye ni mke wake halali, kwakuwa alikuwa anajua kilichowaleta akatulia tu.
Lakini dakika chache baadaye Recho akaja akamwambia yeye analala na Bibi yake maana alimkumbuka sana,  John akajibu "Poa" kinyonge maana alijua ndio kitombo kinaanza.
Recho akaenda kulala na Bibi yake mzaa Mama, wakiwa Kitandani pamoja yule Bibi alimwambia mengi sana juu sheria za mizimu yao. Akamwambia tangu enzi izo mpaka yeye mwenyewe jinsia yakike wanatolewa bikra na Babu  mzaa Baba vinginevyo kila mtoto utakaye zaa anakufa, au kila mwanaume atakaye kugusa kum* anapata matatizo. Baada ya Bibi kumpa ujumbe mzito Recho, akamwambia sasa aende kwa mumewe John.
Recho alipofika alipo lala John, alimkuta yupo macho huku machozi yakimchuluzika mashavuni mwake. Kwa hali ile Recho alishindwa kujizuia akaanza kulia na yeye huku akivua nguo kisha akamwambia John amungalie kama sio bikra, maana anadhani alikuwa kufanya mapenzi labda...
John hakuvunga akamtia kidole kumani akakuta bado chombo iko silidi yani OG.
Saa moja asubuhi safari ikaanza kuelekea huko kijiji anakoishi huyo babu mtoa bikra wa ukoo wao, walipanda mkokoteni wa ngo'mbe maana njia zilikuwa mbaya ivyo walishindwa kukodi bajaji. Walivuka misitu mpaka wakafika mahali ambapo palikuwa na kama kijiji chenye jadi sana, maana nyumba za pale zilikuwa za misonge alafu kwa juu zimewekwa mapembe. Huku wakazi wengi wakionekana kuvaa ki mila huku miguuni wapo peku shingoni wamevaa vipembe vya swala mwanaume kichwani wamechomeka manyoya.
John alikuwa akiwashangaa sana lakini ata  Recho pia maana amekulia mjini, hajui mambo Yale ata kidogo maishani mwake.
Wakafika kwenye moja ya msonge wakapokelewa na mbibi mmoja mzee sana, awaongoza mpaka ndani huku John akibaki nje pamoja na vijana wawili walio valia lubega. Recho na shangazi yake Ndio waliingia ndani ya ule msonge, ndani ya msonge kulikuwa na vitanda vya kamba vyenye miguu milefu hukupembeni alikuwa amekaa mzee kikongwe akitoa moto. Yule Babu kikongwe akatoa ishala Recho akaanza kuvuliwa nguo na Shangazi yake akisaidiwa na yule Bibi......!
                 ITAENDELEA TENA............>
          ©Jafa,___Share, like, ije nyingine upesi.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,179,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,213,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,131,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,243,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,10,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BIKRA YANGU HAKI YA BABU | SEHEMU YA 04
BIKRA YANGU HAKI YA BABU | SEHEMU YA 04
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-04.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/12/bikra-yangu-haki-ya-babu-sehemu-ya-04.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content