UZITO ULIOKITHIRI NA KITAMBI | BongoLife

$hide=mobile

UZITO ULIOKITHIRI NA KITAMBI

UZITO ULIOKITHIRI NA KITAMBI
Ukitaka kujua kua wewe ni mnene pima TUMBO LAKO…
#kwa wanaume ukiwa na zaidi ya nchi 40+ utakua umeshapitiliza
#kwa mwanamke ukizidisha nchi 34 umepitiliza…
Kuna vipimo vingi vya uzito….
Kwanini unene wa tumboni ni hatari zaidi??
#Kwa wenye vitambi kuna mafuta yaliyopo NJE (Subcutaneous fat) na ya NDANI (Visceral fat)
Visceral fat, mafuta ya ndani ni mabaya sana kwa sababu yana minya organi za mwili kama vile ini, figo na utumbo…. Hivyo husababisha matatizo kama
Kisukari, kutobalansi kwa homoni, kuongeza rehemu (cholesterols) nk.

KWANINI WATU WENGI HAWAPATI MATOKEO MAZURI WAKATI WANAPUNGUZA UZITO/UNENE?

Watu wengi hawafahamu uwiano kati ya SUMU na UZITO/UNENE uliokithiri
SUMU tunazipatakatikamazingira mengi, nje na ndani ya mwili.. mfano kwenye vyakula, vinywaji, moshi, mboga na matunda ambayo huzalishwa na kulelewa kwa sumu na mbolea za sumu.
Sumu zina madhara ya fuatayo HASA kwa mtu anaetaka kupungua uzito.
1. Inashusha kiwango cha METABOLISM, ambapo mwili unashindwa kutumia chakula kilichoingia

2. Inaongeza kiwango cha uhitaji wa mafuta… mwili hufanya kazi ya kuzalisha mafuta ili kuzunguuka sumu ili kukinga organ za mwili kama ini, utumbo na figo dhidi ya sumu.. SUMU zikiongezeka MAFUTA pia huongezeka.

3. Sumu hathiri uzalishaji wa HORMONES

4. Sumu huongeza hamu ya kula hovyo hovyo.
HIVYO ili kupungua uzito/unene kitu cha kwanza kuliko vyote…
TOA SUMU na MAFUTA mwilini.. na sio kujinyima kula na kunywa maji ya MOTO.
Watu wengi wanashindwa kupunguza uzito /unene kwakutokutoa SUMU na mafuta mwilini… Hutoa mafuta na kubakisha SUMU… kitu ambacho hupelekea sumu kua nyingi mwilini…
Kwa mandhari hiyo, mwili hulazimika kuzalisha kiasi kikubwa cha mafuta ili kuzizuia SUMU kuathiri Mwili.. hivyo wanapata REBOUND ndio maana mwili hurudia unene kwa kasi tena.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,179,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,213,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,131,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,243,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,10,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : UZITO ULIOKITHIRI NA KITAMBI
UZITO ULIOKITHIRI NA KITAMBI
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/11/uzito-uliokithiri-na-kitambi.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/11/uzito-uliokithiri-na-kitambi.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content