SABABU KUU 3 ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME | BongoLife

$hide=mobile

SABABU KUU 3 ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

*SABABU KUU 3 ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

*1.PUNYETO*

Punyeto(masterbatio) ni kujisisimua kiungo cha tendo la ndoa kwa mkono (au kwa njia nyingine) kwaajili yakuto manii ili kujiridhisha kimapenzi.
kwa watu wengi hasa vijana hivi leo kuishiwa nguvu za kiume ni matokeo ya punyeto. Picha za ngono majarida na magazeti ya uchi huongeza hushawishi wa matamanio kwa vijana na hivyo kushawishi punyeto.
punyeto inamadhara menge mnoo. Mtu yeyote anayepiga punyeto mwili huwa dhaifu mapigo yamoyo huongezeka na kumbu kumbu zake huwa dhaifu sana. punyeto inamadhara mengi mnooo:-
●Hupunguza kiwango chahisia yauume kusisimka na hupunguza kiwango cha shahawa na ubora wa shahawa hivyo basi punyeto inaweza kusababiaha ugumba kwa mwanaume
●mfumo wa neva huathirika zaidi, na hii nikutokana na kuathirika kwa uhusiano kati ya ubongo na mfumo wa neva.
●Mfumo wausagaji chakula, Mfumo wamkojo na mifumo mingine huathiriwa, namatokeo yake mwili huwa nyumba ya maradhi kutokana na udhaifu mkubwa.
●Macho huzama ndani, mifupa ya shavu kuchomoza, nakuona mzingo mweusi katika macho.
●kichwa na mgongo huuma kwa kudumu
●kuona maluwe luwe
●Kushindwa kufanya kazi ngumu ya kutumia nguvu na ya kutumia akili nyingi
●Hupata matatizo yakisaikolojia: huwa msahaulifu sana, huwa nawasi wasi, huwa naaibu nyingi mwoga na mnyonge. hisia zotee huzoofika
●Ukubwa wa uume hupungua sana nahii inasababishwa nakuibana misuli ya uume, na kuathiri uzalishwaji wa kemikali ya NITRIC OXIDE
●Kupungukiwa kwa nguvu zakiume hasa KUWAHI KUFIKA KILELENI NA ULEGEVU WA UUME ni matokeo makuu ya mpiga punyeto
● Mfuko wakorodani huathirika na kuregea sana, mishipa inayopeleka damu kwenda kwenye uume huonekana wazi wazi.

ANGALIZO: Kosa kubwa ambalo hufanywa na baadhi ya watu waliofanya punyeto, ni wale waliofanya punyeto siku zanyuma kisha wakaacha wakijua wamepona bila kutumia tiba, madhara yapunyeto huweza kuonekana muda huo huo na huonekana zaidi kadri muda unavyozidi kwenda, endapo tiba sahihi isipopatikana.

Ikiwa wewe ni muatharika wa punyeto kabla hujafikiria kupata tiba hakikisha kwanza umeacha kabisa mchezo huu, vinginevyo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa

*2.UTAZAMAJI WA PICHA ZA NGONO*

Hili pia limekuwa ni moja kati ya sababu kubwa kupelekea tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa vijana na hata watu wazima. Utazamaji wa picha za ngono hauna tofauti sana na upigaji wa punyeto, ongezeko la upatikanaji wa simu, tablet, na vitu vyenye kusupport acces ya internet vimeongeza kiwango cha utazamaji wa video hizo na hivyo kuongeza athari kwa vijana kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Utazamaji wa video za ngono hupunguza msisimko wa mwili, uwezo wa kukumbuka na kufikiri huathirika kutokana na kuathirika kwa ubongo, huifanya misuli ya uume kuregea, hupunguza uwezo wa mwanaume kusimanisha uume ili kuendelea na tendo la pili baada ya mumiza la kwanza, huongeza tamaa ya kupiga punyeto.

*3.DAWA ZA KEMIKALI ZA KUONGEZA NGUVU ZAKIUME*

(mfano Viagra, Vega, Eractor Tadalif(Cialis), Vardenafil(Levitra)

Wanaume wengi siku hizi hutumia dawa hizo katika kitibu tatizo la nguvu za kiume
Niukweli usiopingika dawa hizo hufanya kazi kwa haraka sana kusukuma damu kwenda kwenye uume, lakini dawa hizi hazileti hamu ya mapenzi wala msisimko wa mwili
Ni muhimu watu wafaham dawa hizo HAZITIBU chanzo cha tatizo. Daw hizi pia zinamadhara mengi kwabinadamu ikiwemo kuumwa kichwa, Mapigo yamoyo yasio yakawaida, hupelekeke kushitua moyo na kuufanya kutanuka na hii ni kutokana na msukumo wa damu wa ghafla unaofanywa na dawa izo, kutoona vizuri, maumivu yakifua. Tafiti iliofanywa nachuo kikuu cha Minnesota nchini Marekani ilisema kwamba watu kadhaa wamepata upofu kutokana namatumizi ya viagra.
Madawa hayo huweza kuongeza matatizo mengi zaidi ya nguvu zakiume, pia humfanya mtu kuwa mlevi (mtumwa) wa dawa hizo
Dawa ipo yenye uwezo wakumrudisha muathirika wa dawa hizo kwenye hali yako yakawaida, wewe uliothirika na dawa hizo wasiliana namimi

COMMENTS

BLOGGER: 2
 1. *MADHARA YA KUJICHUA KWA WANAWAKE NA WANAUME*

  Punyeto ni nini

  Punyeto ni kitendo cha kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.

  Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua au kufanya punyeto;

  1. Inaharibu kizazi

  2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

  3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

  4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

  5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

  6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.


  JibuFuta
  Majibu

  1. 7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

   8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

   9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

   10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

   *Hay ni baadhi ya madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume*

   1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.

   2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili.

   3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

   4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

   5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana

   6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

   7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

   8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

   9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho

   10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.

   11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

   12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.

   Je ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?

   Kama muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:

   •Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.

   •Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi

   •Usikae peke yako muda mrefu bila kuwa bize na shughuli yoyote. Kichwa kitupu ni nyumba ya maasi mengi.

   •Epuka vyakula vyenye mafuta mengi

   •Tumia muda ambao huna kazi kwa kulala na hivyo utakuwa unaipumzisha pia akili yako

   •Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni

   •Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote.

   •Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako ili usiweze kuona na kupata matamanio kumbuka "pornography is a fuel of Mustrebation",epuka kusoma vitabu vya mapenzi kwa muda mrefu,epuka kujiunga na magroup ya mapenzi na ngono maana kumekuwa na mtindo kama huo ambako watu huchochea tamaa zao kwa kutumiana picha za ngono,unatakiwa kuona kama adui yako vitu hivyo na uvichukie.

   Futa
Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,179,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,213,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,131,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,243,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,10,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SABABU KUU 3 ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
SABABU KUU 3 ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/11/sababu-kuu-3-za-upungufu-wa-nguvu-za.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/11/sababu-kuu-3-za-upungufu-wa-nguvu-za.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content