Iklan Billboard 970x250

BIKRA YANGU HAKI YA BABU | SEHEMU YA 01

BIKRA YANGU HAKI YA BABU | SEHEMU YA 01

__BIKRA YANGU HAKI YA BABU__
                 {Love story...+18____Part 1}

Mtunzi: Geofrey Mustafa.
Contact: +2550713024247.


Anaitwa John kijana mchapa kazi mzaliwa kik wa mkoani morogoro, tangu afike Dar amekuwa busy kupambana na ugumu wa maisha. Tangu aondoke kwao kuja mjini ni kama miaka mitatu kwaiyo wazazi wake waliomba aende kuwasalimia kidogo, alienda kuwasalimia lakini wao hawakuwa na haja ya salamu yake zaidi wao walitaka mkwe yani mke wake. Wazazi wake walimsema sana juu yakuoa, John hakuwa na neno zaidi yakukaa kimya tu maana alikuwa tayari na umri wakuoa. Ivyo alitulia tu akawaacha wazee waongee.
Basi alipoludi Dar kichwani aliwaza jambo moja tu ni juu yakutafuta mke, ivyo alikusudia kutafuta mwanamke ambaye akimpeleka kwao wazazi wake watamkubali bila kinyongo.
Siku ya jumapili alipanga kwenda kutembea maeneo mbali mbali ya jiji uenda akabahatika kuku tana na ubavu Wake, alitembea maeneo mbali mbali alikutana na kila aina ya warembo warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba.
Alipofika Coco Beach alikuta watu wengi sana wakubwa kwa wadogo wakipunga upepo uku wengine wakiendelea kufurahia maji ya bahari, Basi  John akenda pembeni kidogo ambako hapakuwa na watu wengi, ghafla aliona binti mmoja mbele akilia uku akionyesha kidole kwenye maji. John alipoona na binti alafu mrembo akamsogerea akauliza:
John: "Vipi binti kuna tatizo gani kwani?"
Binti: "Mtoto kabebwa na maji yuleee kule!"
John akupoteza muda akatoa simu na pesa akampa yule binti kisha akajitupa majini, alimfikia yule mtoto akamsogeza ufuoni.
Walimpa huduma ya kwanza, alikuwa mzima.
Baada ya hapo John akajifanya kuondoka, yule binti akamwita kwa upole;
Binti: "samahani kaka nakuomba"
John; "bila samahani Dada"
Binti; "Nashukuru sana kaka yangu jamani"
John; "Wala usijali Bibie, kawaida mbona"
Binti; "Mimi naitwa Recho, wewe nani?"
John; "oh Recho, jina zuri.. Mimi naitwa John"
Binti: "John karibu kwetu kakaangu?"
John; "Asante, labda tupeane mawasiliano"
Binti: "Sawa John"
Basi ukawa ndio mwanzo wa mahusiano ya John na Recho, mahusiano yakawa makubwa. Siku moja John alimwita Recho faragha akamweleza nia yake juu yake;
John: "Recho Mimi nahitaji mke kwaiyo nataka nikuoe wewe, sijui kama utakuwa tayari?"
Recho: "Mimi nipo tayari kuolewa na wewe japo nilikuwa bado sijapanga kuolewa kwa sasa, lakini kwa jinsi ulivyo unafaa kunioa"
John: "John alifurahi sana kusikia binti mrembo wakuvutia kama Recho akiongea ville"
Basi baada ya mazungumzo waliagana huku John akimpa pesa kidogo Recho.
Mipango yote ilikamilika John akatafuta MTU mzima  wakaribu akampeleka ili akasimame kama baba yake wakati akitoa maali ya Recho.
Recho alikuwa akihishi na mamayake mkubwa hapa Dar, na ndio aliye pokea pesa za maali. Mambo yakakamilika wakabaki kusubiri ndoa tu, ili wawe mume na mke lasmi.
Mipango ya ndoa ilifanyika ikakamilika, Siku ilipofika ilifanyika harusi yakifahari kwenye ukumbi wa Riverside Hall pale Ubungo. Baada ya ndoa kumalizika mke akakabidhiwa bwana John, tayari kwa kuanza maisha mapya akiwa na binti mrembo Recho mwenye umri wa miaka 21 tu, huku yeye John akiwa na 28.
Walipomaliza shamla shamla zote pale Ukumbini, John akaomba waondoke maana alikuwa anamtamani sana Recho, na ukichanya na makeup aliyofanyiwa weee kidume yoyote lazima adate na mtoto.
Mishale ya SAA tatu ivi wakakodi Kilikuuu au Carry, ili wabebe zawadi mbalimbali walizopewa na ndugu jamaa na marafiki, safari ikaanza kuelekea makoka anakoishi John. Walifika alipokuwa kapanga John Recho aliangalia akaona sio pabaya mazingira yalikuwa mazuri tu, John alipanga chumba kikubwa kizuri huku chumbani kwake akiwa kaweka kila kitu kama kijana mwenye pesa kumbe ubishi tu wa mjini.
Recho alionesha kuchoka na zile shamla shamla za harusi harusi yao, maana alipomaliza kuvua gauni la harusi akajitupa kitandani na taiti yake. John alipomuangalia mapaja na chuchu tayari mb*o yake ikaanza kuvimba, kiukweli alikuwa na hamu sana sio kwa Recho hapana, ila amekaa muda mlefu bila kufanya tendo ilo lenye utamu wa pekee. John alipoona uvumilivu unamshinda akaanza kumpapasa mapaja Recho huku akimuangalia uolsoni aliendelea kumpapasa kisha akaamia kwenye matiti yake machongofu yenye chuchu Kali, akayanyonya mpaka Recho mwenyewe akamkumbatia nakuanza kumpa ushirikiano...
         ITAENDELEA  TENA...........>>>
 *Kadri mnavyo onyesha ushirikiano, ndivyo navyo zidi kuleta burudani.
Related Posts
SHARE
Subscribe to get free updates

Related Posts

Chapisha Maoni

Post Central Advertising