DALILI ZA UGUMBA KWA MWANAUME. NA MWANAMKE | BongoLife

$hide=mobile

DALILI ZA UGUMBA KWA MWANAUME. NA MWANAMKE

Kushindwa kutungisha ujauzito, hii inaweza kuonekana kwa mwanaume pale anapokaa kwenye ndoa kwa zaidi ya mwaka mmoja na mkewe na kushiriki tendo pasipo kutumia kinga na akawa anashindwa kutungisha ujauzito.

Kushindwa kutungisha ujauzito, hii inaweza kuonekana kwa mwanaume pale anapokaa kwenye ndoa kwa zaidi ya mwaka mmoja na mkewe na kushiriki tendo pasipo kutumia kinga na akawa anashindwa kutungisha ujauzito.DALILI ZA UGUMBA KWA MWANAUME

Mwanaume akiona vitu vifuatavyo basi anaweza kuwa na tatizo la kushindwa kutungisha ujauzito.
-Kusikia maumivu kwenye korodani Mwanaume anapokuwa na uvimbe kwenye korodani.
-Erectile dysfunction yaani mwanaume anashindwa kusimama imara anaposhiriki tendo la ndoa. -Maumivu chini ya kitovu kwa mwanaume, na hii inaweza kuashiria kuwa mwanaume huyu anatatizo katika tezi dume yake.
-Na dalili nyingine kubwa ni pale mwanaume anapowahi sana kufika kileleni. Mwanaume kuchoka sana anapomaliza kushiliki tendo na kushindwa kurudia tena tendo.

Basi unapokuwa na dalili kama hizi ni vizuri ukawahi mapema sana kwenye kituo cha afya

DALILI ZA UGUMBA KWA WANAWAKE

Mwanamke kukosa hedhi au kupata matatizo ya hedhi kwa ujumla. Hasa kwa wanawake ambao hedhi zao hazima tarehe maarumu, au hedhi kukoma na wakati umri bado haujafika, hedhi nyingi kupita kiasi, hedhi ndogo kupita kiasi na matatizo yote yanayohusisha hedhi kwa mwanamke.


Dalili nyingine kwa wanawake ni ile hali ya kutokwa na uchafu sehemu za sili, hili ni janga kubwa sana kwa wanawake, kwani swala la wamawake kutokwa na uchafu ni tatizo ambalo linaeaelea kuwa sugu siku adi siku, lakini ni vizuri kuwasiliana na si ili kuondoa tatizo hili. Mwanamke kukosa hedhi au kupata matatizo ya hedhi kwa ujumla. Hasa kwa wanawake ambao hedhi zao hazima tarehe maarumu, au hedhi kukoma na wakati umri bado haujafika, hedhi nyingi kupita kiasi, hedhi ndogo kupita kiasi na matatizo yote yanayohusisha hedhi kwa mwanamke.


Dalili nyingine kwa wanawake ni ile hali ya kutokwa na uchafu sehemu za sili, hili ni janga kubwa sana kwa wanawake, kwani swala la wamawake kutokwa na uchafu ni tatizo ambalo linaeaelea kuwa sugu siku adi siku, lakini ni vizuri kuwasiliana nasi ili kuondoa tatizo hili.

*** IFAHAMU HALI YA UTE WA MLANGO WA UZAZI KWA AKINAMAMA(VAGINAL MUCUS) UNAVYOCHANGIA KUPATIKANA KWA MIMBA***

Dalili nyingine kubwa ni ile hali ambayo mwanamke anakosa hamu kabisa ya kushiliki tendo la ndoa, na anakua anashiliki tu kwa ajili ya kumlidhisha mumewe au mwenza wake, na maumivu haya yanaweza kuwa mwanzoni tu mwa tendo au muda wote wa tendo au mwishoni unapoomaliza tendo. Umapokua na dalili kama hii basi ni vema kufanya matibabu ya haraka kwani dalili kama hii huambatana sana na magonjwa kama U.T.I sugu au fangasi za muda mrefu.


Dalili nyingine ni ile hali ya mwanamke kutokwa na mbegu za mwanaume mala tu baada ya kushiliki tendo la ndoa na wengine wanakaa kama masaa mawili au matatu afu mbegu zile zinakua zinatoka, au unakaa siku moja au mbili afu unaona mbegu zile zinatoka, basi hii nayo ni moja ya dalili kubwa sana ya Ugumba kwa mwanamkE.
COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : DALILI ZA UGUMBA KWA MWANAUME. NA MWANAMKE
DALILI ZA UGUMBA KWA MWANAUME. NA MWANAMKE
Kushindwa kutungisha ujauzito, hii inaweza kuonekana kwa mwanaume pale anapokaa kwenye ndoa kwa zaidi ya mwaka mmoja na mkewe na kushiriki tendo pasipo kutumia kinga na akawa anashindwa kutungisha ujauzito.
https://3.bp.blogspot.com/-b_bGPCBXIPY/WvsqMUw_fDI/AAAAAAAABbs/IGccBV8jqUgJWVQyJe6bS5Qd5uDFHzn2QCLcBGAs/s640/causes-of-male-infertility.png
https://3.bp.blogspot.com/-b_bGPCBXIPY/WvsqMUw_fDI/AAAAAAAABbs/IGccBV8jqUgJWVQyJe6bS5Qd5uDFHzn2QCLcBGAs/s72-c/causes-of-male-infertility.png
BongoLife
https://www.bongolives.com/2018/05/dalili-za-ugumba-kwa-mwanaume.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2018/05/dalili-za-ugumba-kwa-mwanaume.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy